Tafuta katika Blogu Hii

Jumatatu, 31 Oktoba 2016

Kitu cha kwanza Rais Magufuli alichowaambia Wakenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameomba Wakenya kuja kufanya biashara Tanzania.

Ameyasema hayo akiwa katika ziara ya siku mbili nchini humo na kuwaeleza kuwa wanaweza kuja kufanya biashara hata leo.
“Ninawakaribisha tena Wakenya wote wanaotaka kufanya biashara Tanzania, waje hata leo” amesema Magufuli. Dkt Magufuli yupo jijini Nairobi, katika ziara yake ya kiserikali ya siku mbili nchini humo.
Chini ni picha za mapokezi yake nchini humo.

Rais Dkt Magufuli akisalimiana na naibu rais wa Kenya Mh. Willam Ruto

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni