VideoFUPI: List ya wachezaji 25 wa Everton wanaokuja Tanzania Rooney akiwemo
millardayo.com / Rama Mwelondo TZA / 7 hours ago
Usiku wa July 11 2017 kikosi cha kwanza cha timu ya Everton ya England kimeanza safar ya kuja Tanzania kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Bingwa wa SportPesa Super Cup Gor Mahia ya Kenya, Everton ambao watawasili asubuhi ya July 12 wametaja majina ya wachezaji 25 wanaokuja Tanzania. Katika List ya majina ya wachezaji wa […]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni