CUF Lipumba, CUF Maalimu Seif Wazichapa tena Mahakamani
KAMGISHA BLOG / 10 hours ago
HALI ya Taharuki Kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeibuka Leo wakati wafuasi wa pande wa Chama cha Wanachi (CUF) kukutana kwenye kesi zilizfunguliwa na bodi ya wadhamini ikidai ruzuku za chama hicho zilizodaiwa kuzuiliwa na Msajili wa vyama vya siasa Nchini.
Wafuasi hao waligawanyika kundi moja likiwa upande wa katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Ahmad na wengine kuwa kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Professa Ibrahimu Lipumba walishikana na mashati na kurushina maneno mahakamani hapo.
Tazama Full Video Hapa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni