Wachumba Na Marafiki Online
Ili kutafuta mchumba, rarafiki, mpenzi, mke, mume hapa Online, Unatuma ujumbe wako kwenda No. 0743592888 kamgishadickison@gmail.com. Gharama ya huduma hii ni Tsh 1000/= unayotuma kwa M-pesa au Vocha ya Vodacom. Ujumbe ambao haujalipiwa Tshs 1000/= hautachapishwa hapa
Alex nipo Dar natafuta mchumba wa kike baadae tuishi pamoja kama mke na mume
2/11/2016
Naitwa Alex Godifrey. Mimi ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa naishi Mbezi Beach Dar es salaam. Natafuta mchumba wa kike na baadae tuishi pamoja kama mume na mke. Nina umri wa miaka 26, ni mweupe, si mrefu sana-size ya kati. Sifa za mchumba ninayemuhitaji; awe dini yoyote ila awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu, awe na kazi yoyote ile, awe mwaminifu kwangu, awe na umbo la kawaida au umbo lolote lile, Atakaependezwa na ombi langu naomba anitafute kwa No. 0714477759, 0757031171
Naitwa Jackson nipo Dodoma, natafuta mchumba wa kike
31/10/2016
Kwa jina naitwa Jackson, napatikana Dodoma. Nipo serious kabisa, natafuta mchumba wa kike mwenye umri wa miaka 17-20, mimi umri wangu ni miaka 25. Awe mweupe au maji ya kunde, sichagui dini lakini awe tayari kuhamia dini yangu anglican Church. Kwa aliye tayari anitafute kwa namba 0717698479
Mimi ni msichana nahitaji mume wa kunioa
24/10/2016
Shalom. Mimi ni msichana, natafuta mume wa kunioa lakini awe ameokoka, mwenye upendo wa dhati, mwenye nia ya kuoa, awe na umri wa miaka 29-35, mimi umri wangu ni miaka 28, namba yangu ya simu ni 0753840842.
Naitwa Joseph nipo Dar, nahitaji mpenzi sio mchumba
24/10/2016
0 Comments
Habari! Mimi kwa jina naitwa Joseph, nipo Dar. Natafuta mpenzi wa kike sio mchumba. Asiwe tapeli, awe mwaminifu, awe na umri usiozidi miaka 28, mimi nina umri wa miaka 26. Mwenye hitaji kama langu anitafute . Kama hatajali tutapima afya au kutumia kinga. Kwa aliye tayari anitafute apate vitu adimu, Namba yangu 0762282595, sms zitajibiwa
0 Comments
Francis J. Shirima nipo Iringa, natafuta marafiki jinsia zote
23/10/2016
0 Comments
Kwa jina naitwa Francis J. Shirima, ni kijana wa miaka 26, dini yangu mkristo (Roman Catholic), kazi yangu me ni mjasiriamali mdogo, naishi mkoani Iringa mjini. Natafuta marafiki wa jinsia zote wenye umri wa miaka kuanzia 18-27. mawasiliano yangu ni 0753337209 au 0718088001
0 Comments
Natafuta mfadhili wa kike ambae atanisaidia mtaji nataka kufungua clinic ya tiba asili
20/10/2016
0 Comments
Naitwa Joshua Alois Mvanda kwa jina maarufu Dokta Mvanda, nipo Mbeya. Mimi nahitaji kufungua Clinic ya tiba asili lakini sina mtaji kwa hiyo natafuta mfadhili wa kike ambae atanisaidia mtaji wa kutosha mahitaji ya Clinic. Gharama inayohitajika ni kiasi cha Tshs 1500000/= (milioni moja na laki tano. Yeyote atakaenisaidia napenda tuwe shirika katika ofisi hiyo. Atakae kuwa tayari anipigie kwa simu No. 0765944411. Pia kwa yeyote mwenye matatizo ya magonjwa mfano; kisukari, kifua kikuu, fangasi, ngili, VVU nae anitafute kwa namba hiyo, Ahsante!
0 Comments
Daudi George nipo Shinyanga, natafuta mchumba wa kike
18/10/2016
0 Comments
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nipo Shinyanga, naitwa Daudu George. Natafuta mchumba wa kike wa kuoa. Kwa dada yeyote aliye tayari anitafute kwa namba 07540690240 au 0785575740
0 Comments
Naitwa Happy nipo Dodoma, natafuta mume sio mchumba
15/10/2016
2 Comments
Naitwa Happy nipo Dodoma, ni muhitimu wa chuo kikuu. Natafuta mume sio mchumba. Mume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 29 na kuendelea, awe serious please, kabila lolote. Mimi ni mcha Mungu. Kwa aliye tayari anipigie kwenye No. 0755102999
2 Comments
Frenk Yohana nipo Arusha, natafuta mchumba wa kike wa kuoa
14/10/2016
Kwa jina naitwa Frenk Yohana, nipo Arusha. Natafuta mchumba wa kike aliye tayari kuwa mke wangu kama mchakato ukienda vizuri. Msichana ninayemuhitaji awe na umri wa miaka 18 hadi 20, mimi nina umri wa miaka 17. Awe na sifa hizi; awe na elimu ya kidato cha nne, mnene wastani. Nipo Arusha napatikana kwa namba 0686304382
Richad nipo Dar, natafuta mchumba wa kike wa kuoa
14/10/2016
0 Comments
Nipo very serious kuhusu suala hili kwa hiyo pia nahitaji msichana aliye serious vinginevyo usinisumbue. Ok, jina langu naitwa Richad, naishi Dar. Natafuta mchumba wa kike ambaye kama tukiridhiana tuoane. Awe na umri wa miaka 20 hadi 27. Kwa aliye tayari atume sms kwenda namba 0769591964
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni