List mpya ya wachezaji 10 wanaolipwa mshahara mkubwa duniani, Afrika yupo mmoja tu
KAMGISHA BROGG / 6 hours ago
List mpya ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani imetoka October 31 2016. Staa wa timu ya taifa ya Wales ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Gareth Bale ameingia katika TOP 3 ya wachezaji wa soka wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani ambapo ameingia katika list hiyo kutokana na mkataba wake mpya alio saini na Real Madrid.
Mchezaji kutoka Afrika yupo mmoja tu katika list hiyo, kiungo wa Man City na raia wa Ivory Coast Yaya Toure yupo nafasi ya 10 katika list ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni