VIDEO:Hawa hapa Vigogo Waliosaini Mikataba Mibovu.
KAMGISHA BLOG / 5 hours ago
Kamati ya Pili ya Rais John Magufuli iliyochunguza Michanga ya dhahabu iliyoundwa na Wataalamu wa Masuala ya uchumi na sheria imeataja Vigogo waliosaini Mikataba yenye Ubadhalifu
Kamati hiyo iliyongozwa na Nehemiah Osoro ambaye ndio Mwenyekiti wa kamati hiyo amweka wazi watumishi na watendaji wa Juu kabisa wa Serikali.
Tazama Video hii kisha share na Usisahau Ku-Subscribe Muungwana Tv.
hapa Vigogo Waliosaini Mikataba Mibovu.
KAMGISHA BROG/ 5 hours ago
Kamati ya Pili ya Rais John Magufuli iliyochunguza Michanga ya dhahabu iliyoundwa na Wataalamu wa Masuala ya uchumi na sheria imeataja Vigogo waliosaini Mikataba yenye Ubadhalifu
Kamati hiyo iliyongozwa na Nehemiah Osoro ambaye ndio Mwenyekiti wa kamati hiyo amweka wazi watumishi na watendaji wa Juu kabisa wa Serikali.
Tazama Video hii kisha share na Usisahau Ku-Subscribe Muungwana Tv.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni