Tafuta katika Blogu Hii

Jumapili, 11 Juni 2017

Maisha ya mahusiano

    MAPENZISioni Aibu Kuolewa na Mwanaume Niliyemzidi Miaka 7 – Riyama MAPENZIZitambue Hasara za Kuzama Chumvini Kwa Mwanamke MAPENZIExperience Yangu Jinsi Ngono Zinavyotokea Wakati wa Kusafirisha Misiba..!!! MAPENZIMapenzi ya Video za Ngono Yameniharia Penzi Langu MAPENZINisha Adai Kuwa Na Uhusiano Na Mbwa Zitto Kabwe Aibua Mazito Kutimuliwa Kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ewura..!!! Zitto Kabwe  Zitto Kabwe, Mb Ni muhimu sana Rais afahamu kwamba kuna kazi kubwa ya chinichini inafanywa na wasaidizi wake ( sina hakika kama yeye Rais anajua na au ameruhusu kazi hiyo ) kuendeleza wizi huu wa watu wa PAP ya Harbinder Singh Seth na IPTL. Kwenye kesi ya Standard Chartered Bank dhidi ya TANESCO huko mahakama ya ICSID ambapo TANESCO wanatakiwa kulipa shilingi 352 bilioni kwa Benki hiyo, Wanasheria wa TANESCO na wale wa PAP/IPTL wanashirikiana kwa karibu mno. Kwenye rufaa, TANESCO wametakiwa waweke fedha hizo kwanza kwenye akaunti ya Benki ya nje kabla ya rufaa kusikilizwa. PAP/IPTL wanalinda ufisadi wao kwa kujifanya wanashirikiana na TANESCO kwenye kesi. Kwenye Taarifa ya PAC kuhusu Tegeta Escrow Account, tuliweka wazi kuwa PAP/IPTL waliweka dhamana kuwa ikitokea madai yeyote yale dhidi ya TANESCO basi PAP/IPTL italipa. Madai yametokea, matapeli hawa wanajifanya kushirikiana na Shirika letu na Wanasheria wa Serikali wanawasaidia matapeli hawa na sasa wanataka kuwaongezea leseni ya Biashara. Kwanini Serikali isitumie ile Indemnity kuwataka PAP kulipa hizi fedha? Kwanini Serikali inayosema inapambana na ufisadi inawakumbatia mafisadi wa PAP/IPTL? Kwanini Serikali iliyoonyesha ujasiri wa kupambana na Kampuni kubwa kama Acacia/Barrick inayumbishwa na matapeli hawa? Tena tapeli mmoja tu Harbinder Singh Seth? Vyombo vya Serikali pia vinahusika na kuwalinda hawa matapeli. Kwa mfano, huko ICSID Shirika letu la TANESCO kupitia wanasheria wake wamepeleka hoja kwamba Maazimio ya Bunge kuhusu Tegeta Escrow hayana msingi wowote wa kisheria na kwamba Bunge linapiga porojo tu. Wanasheria hawa wameomba Ofisi ya Bunge iwape barua kuthibitisha kuwa Maamuzi ya bunge hayana msingi wowote na ni maoni tu yanaweza kudharauliwa na kutupiliwa mbali. Shirika la Umma linalosimamiwa na Bunge linapeleka barua kwenye vyombo vya kibeberu kuwa Bunge porojo tupu. Pia kwa kudanganywa na PAP/IPTL, TANESCO wamepeleka madai kuwa PAC ilihongwa kufikia maamuzi yaliyofikiwa na Bunge. Wametengeneza barua pepe za kujaribu kushawishi madai yao hayo na hata Taasisi muhimu kama PCCB waliingia kwenye mkenge huo na kuniita kunihoji. Niliwapa ushirikiano wote na kuwapa simu na computer zangu wachunguze barua pepe zile za kuchonga wakakuta hakuna lolote. Sikuwaacha, niliwaambia kuwa wao ni mawakala wa mashetani. Wanashirikiana na matapeli kuwaibia Watanzania. Idara ya Usalama wa Taifa, inahusika moja kwa moja na kazi hii inayofanywa na PAP/IPTL ili kufanikisha mradi huu wa kitapeli. Sina hakika kama Rais aliidhinisha haya maana TISS na PCCB wanawajibika kwa Rais moja kwa moja. Hivyo, inawezekana kabisa mpango wa kuongeza leseni ya IPTL akawajibishwa mtu wa EWURA kwa sababu ndiye alitoa tangazo la leseni, lakini huyo mtu wa EWURA anaweza kuwa ameshinikizwa na watu wa Usalama wa Taifa kufanya hivyo. Mimi naamini Rais, kwa jinsi alivyo, hawezi kuwa anahusika na haya matapeli, lakini Rais mtumbuaji anakaaje miezi 20 kwenye Kiti za Enzi bila kumaliza suala la IPTL ilhali kuna Maazimio ya Bunge yanayopaswa kutekelezwa? Nawapa kazi ndogo Watanzania, tazameni lile Tangazo la EWURA kuhusu IPTL nililowawekea hapa siku limetoka. Tazameni umiliki na wamiliki wa IPTL hivi sasa. Kuna hisa 16% kwa kampuni mbili zenye majina ya ujanja ujanja. Kina nani hao wamegawiwa hizo hisa tena wakati wa Uongozi wa Rais John Pombe Magufuli.  Maoni Yako Hapa Chini  Share This: ZITTO KABWE Zitto Kabwe Aibua Mazito Kutimuliwa Kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ewura..!!! Jun 11, 2017 ZITTO KABWE Zitto: Tumemtoa Mghwira Ili Kuondoa Dhana Kwamba ACT ni "CCM B"..!!!!! Jun 09, 2017 ZITTO KABWE Zitto Kabwe na Profesa Kitila Mkumbo watofautiana kwa mara ya kwanza hadharani Jun 09, 2017 Newer PostOlder Post BLOGGER No comments:  NAFASI ZA KAZI AJIRA YAKO  Job at TGNP Mtandao, Young Feminist Movement Building Advisor - [image: Nafasi za Kazi TGNP Mtandao] *Young Feminist Movement Building Advisor* *Based in Dar-es-Salaam, TGNP Mtandao* has been in existence since 1993, du... Popular Posts  Experience Yangu Jinsi Ngono Zinavyotokea Wakati wa Kusafirisha Misiba..!!! mimi ni mfanyabiashara,ambapo nilianza na biashara hizi juakali tangu miaka ya 2009 baada ya kustop chuo nilikokua nasomea bachelor of ...  Jay Moe - Nilisoma na Rais wa Congo Joseph Kabila..Kipindi Hiko Nilikua Sijui Kama Tz Kuna Nyumba za Udongo..!!! Msanii wa Bongo Fleva, Jay Moe ameeleza changamoto alizokumbana nazo shule hadi kupelekea kutoa albamu ya Ulimwengu Ndio Mama, licha ya...  Je Unajua Marehemu Ivan Don Alipotajirikia...Hii Hapa Historia Yake Fupi Itakayo Inspire Wengi RIP Ivan Don Moja kati ya watu waliopata kuniinspire ni huyu Ivan - huyu jamaa nilimfahamu tangu hata Zari hajaachana nae... Jamaa aliza...  Exclusive. Hatimaye Nabii Frank Afichua Kiini cha Mauaji ya Kibiti na Rufiji..!!! Akizungumza mapema asubuhi ya leo na Kituo cha Luninga cha Channel Ten na Magic fm Radio Nabii anayekuja kwa Kasi nchini Nabii Frank le...  Kajala Aibuka na Haya Kuhusu Wema Sepetu..Adai Hata Mwanae ni Shahidi..!!! TASNIA ya filamu nchini imepambwa na wasanii wa kike wenye urembo unaovutia macho na hakika kwenye orodha ya waingizaji wenye kipaji, u...  Kimenukaa..Zile Sauti za Kimahaba Mtandaoni za Wema na Mbowe..Kumbe Mchezo Mzima Hivi Ndivyo Ilivyokuwa A- Z..!!! Siku chache baada ya kusambaa kwa sauti katika mitandao ya kijamii, ikiwemo WhatApp na Facebook, inayodaiwa kutengenezwa kwa lengo la k...  WABUNGE Wenye Hali Mbaya "Uchaguzi 2020" "TATHMINI MAJIMBONI" Mpaka tulipo fika sisi kama wananchi ni hakika kua tunaweza kutathmini hali halisi ya Utendaji wa Wabunge...  LISSU: Magufuli Akiniteua Sitokubali, Siwezi Kutumikia Utawala wa Katiba ya Kidikteta...!!! Leo akiongea kutokea mahakamani na waandishi wa habari, Mwanasheria mkongwe na kada wa Chadema, Tundu lissu amesema kamwe hawezi kukuba...  Ubuyu wa Moto Moto..Idris Sultan Afilisika Milioni 500 Alizoshinda Big Brother..Ashindwa Kulipia Kodi ya Ghorofa Alilokuwa Anaishi..!!! Wapenda ubuyu wanakuambia hakuna kinachodumu milele duniani! Ndiyo maneno unayoweza kusema kutokana na maisha ya Mshindi wa Big Brother...  Mtatiro - Mwenyekiti wa Cuf Amepigwa Risasi na Polisi Kibiti..Siyo Majmbazi Waliohusika..!!! Jana usiku Katika Oparesheni ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wamempiga Risasi Mwenyekiti wa Kitongoji wa CUF pamoja na raia mwingine, ... Mapenzi Experience Yangu Jinsi Ngono Zinavyotokea Wakati wa Kusafirisha Misiba..!!! Udaku SpecialJun 10, 2017 Mapenzi ya Video za Ngono Yameniharia Penzi Langu Udaku SpecialJun 09, 2017 Nisha Adai Kuwa Na Uhusiano Na Mbwa Udaku SpecialJun 09, 2017 Sioni Aibu Kuolewa na Mwanaume Niliyemzidi Miaka 7 – Riyama Udaku SpecialJun 09, 2017 Hot Gossip MWANAUME Afariki Dunia Akiwa Gesti Udaku SpecialJun 10, 2017 SHAMSA Ford :Ninaweza Kufa Kwa Presha Nikiongezewa Mke wa Pili Udaku SpecialJun 10, 2017 CHID Benz Aibuka, Afunguka Mazito …Baada ya Kuacha Kutumia Madawa ya Kulevya Udaku SpecialJun 10, 2017 SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Udaku SpecialJun 10, 2017 Siasa Mkurugenzi mkuu Ewura asimamishwa kazi Udaku SpecialJun 11, 2017 Washauri wakuu wa waziri mkuu wa Uingereza wajiuzulu Udaku SpecialJun 11, 2017 IGP Sirro: Hatulali Tunafanya uchunguzi wa Kina mauaji ya Kibiti Udaku SpecialJun 10, 2017 TAARIFA ya Ikulu kuhusu kamati ya Pili Mchanga wa Dhahabu Udaku SpecialJun 10, 2017 Created By Sora Templates & Free Blogger Templates

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni