UTAFITI: Wanaume waliochelewa kupata watoto, hupata watoto wenye akili
millardayo.com.kamgisha blog
/ Farhiyah Adam TZA / 14 hours ago
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Seaver Autism Center ya Marekani umeonesha kuwa Wanaume waliochelewa kupata watoto huwa na uwezo wa kuzaa watoto wapole, wenye akili na uwezo wa kung’amua mambo kwa haraka kuliko waliowahi kupata watoto wakiwa katika umri wa kati. Katika utafiti uliohusisha zaidi ya watoto 7,781 ambao zaidi ya 57% kati yao walizaliwa na baba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni