Tafuta katika Blogu Hii

Jumatano, 28 Juni 2017

UTAFITI: Wanaume waliochelewa kupata watoto, hupata watoto wenye akili

UTAFITI: Wanaume waliochelewa kupata watoto, hupata watoto wenye akili

millardayo.com.kamgisha blog
 / Farhiyah Adam TZA / 14 hours ago

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Seaver Autism Center ya Marekani umeonesha kuwa Wanaume waliochelewa kupata watoto huwa na uwezo wa kuzaa watoto wapole, wenye akili na uwezo wa kung’amua mambo kwa haraka kuliko waliowahi kupata watoto wakiwa katika umri wa kati. Katika utafiti uliohusisha zaidi ya watoto 7,781 ambao zaidi ya 57% kati yao walizaliwa na baba

Jumapili, 25 Juni 2017

Je Una Tatizo la Nguvu za Kiume, Kukosa Hamu ya Tendo na Maumbele Madogo..Soma Hapa

Je Una Tatizo la Nguvu za Kiume, Kukosa Hamu ya Tendo na Maumbele Madogo..Soma Hapa
Kamgisha Blog / 3 hours ago
JE, UNA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME, KUKOSA HAMU YA TENDO NA MAUMBILE MADOGO? SOMA HAPA 👇👇👇👇
Tatizo la kukosa au upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, sio Tanzania tu bali duniani kote. Kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo sio ugonjwa ila ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili. UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHA MAMBO KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa ☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni ☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa. @Markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye kisukari kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL ni kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @220000@220,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 6.5 @130000@130,000/=
3.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @130000@130,000/= KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI TEMBELEA UKURASA WA @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr.
Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa no 
(+255)0767447444 na 0714335378 na 0743592888
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara kwa mtumiaji.
< WELCOME ALL>

Rasmi, Okwi Ametua Dar Kusaini Mkataba Simba

Rasmi, Okwi Ametua Dar Kusaini Mkataba Simba

KAMGISHA BLOG / 33 minutes ago

Hatimaye ametua Simba. Baada ya kutajwa kwa muda mrefu kwenye vyombo vya habari kama tetesi za kurejea tena mitaa ya Msimbazi, Emanuel Okwi amewasili Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini mkataba wa kucheza Simba kuanzia msimu ujao.

Okwi amewasili uwanja wa ndege wa kimataifa usiku wa Juni 24, 2017 akitokea Uganda akiwa ameambatana na mke wake na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Simba Geoffrey Nyange ‘Kaburu.’

Katikati ya juma hili Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe alionekana kwenye picha akiwa na Okwi jijini Kampala, Uganda wakifanya mazungumzo kwa ajili ya kumrejesha tena Okwi nchini.

Inatajwa Okwi atasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba kisha atarejea tena kwao Uganda kabla ya kurejea tena baadae kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara 2017-2018 pamoja na michuano ya kimataifa (Caf Confederation Cup).

Ronaldo aipeleka Ureno nusu fainali kombe la mabara

Ronaldo aipeleka Ureno nusu fainali kombe la mabara

KAMGISHA BLOG / 27 minutes ago

Cristiano Ronaldo akishangilia kibabe baada ya kuifungia Ureno bao la kwanza kwa penalti dakika ya 33 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya New Zealand baada ya Danilo kuchewa rafu usiku wa Jumamosi Uwanja wa Krestovskyi mjini St Petersburg katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mabara. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 37,  Andre Silva dakika ya 80 na Luis Nani dakika ya 90 na ushei. Matokeo hayo yanaifanya Ureno ifikishe pointi saba na kumalizana kileleni sawa na Mexico iliyomaliza na pointi saba pia baada ya kuifunga Urusi 2-1 na zote zinakwenda Nusu Fainali. Wenyeji Urusi wameungana na New Zealand kupanda jukwaani kitazama mechi za kumalizia michuano ya 2017

Beki wa liverpool ya uingereza ahudhuria mechi ya kumuaga ninja wa yanga

Beki wa Liverpool ya Uingereza ahudhuria mechi ya kumuaga Ninja wa Yanga

KAMGISHA BLOG / 27 min

 Mamadou Sakho (wa tatu kulia waliosimama) akiwa na kikosi cha Taifa Jang'ombe jana

BEKI wa kimataifa wa Ufaransa, Mamadou Sakho anayechezea Liverpool ya England usiku wa jana alikuwa mgeni maalum wakati wa mechi mahsusi ya klabu ya Taifa Jang’ombe kumuaga beki wake, Abdallah Hajji ‘Ninja’ anayehamia Yanga.

Ninja aliyesaini mkataba wa miaka miwili mapema mwezi huu kujiunga na Yanga, alicheza kwa dakika 10 tu baada ya kuingia kutokea benchi dakika ya 46 na Taifa Jang’ombe ikachapwa 2-1 na Mlandege.

Na Sakho alikuwepo uwanjani kama mgeni maalum akasalimiana na wachezaji wote, akapiga picha na vikosi vyote kabla ya kwenda jukwaani kushuhudia mchezo huo, mabao ya Mlandege yakifungwa na Abdallah Edi Mundo dakika ya 60 na Razak Khalfan dakika ya 78, wakati la Taifa lilifungwa na Ali Badru dakika ya 30.

Kabla ya hapo, Sakho alizuru kwenye kituo cha watoto yatima cha SOS Village ambacho kinaazimisha miaka 26 tangu kianzishwe na kutoa misaada mbalimbali.

Sakho yuko Zanzibar tangu Juni 17 baada ya kuwasili akitokea Ufaransa na anatarajiwa kuondoka kesho kurejea nyumbani, kuanza maandalizi ya msimu mpya baada ya mapumziko.

Kabla ya hapo, Sakho alikuwa pia Tanzania Bara kwa wiki moja na akazuru hadi mbuga za wanyama. Vyanzo vya uhakika vinasema, alirejea Ufaransa kabla ya kwenda Zanzibar.   

Mchezaji huyo ambaye msimu uliopita alicheza kwa mkopo Crystal Palace, alizaliwa Februari 13, mwaka 1990 na kisoka aliibukia Paris FC kabla ya kuhamia timu ya vijana ya Paris Saint-Germain mwaka 2002 na Oktoba mwaka 2007 aliweka rekodi ya mchezaji kijana daima kuiongoza timu hiyo kam Nahodha katika Ligue 1.

Sakho amecheza mechi zaidi ya 200 katika klabu hiyo, akishinda nayo mataji yote manne ya nyumbani kabla ya mwaka 2013 kuuzwa Liverpool kwa dau la Pauni Milioni 18.

Mwaka huu alitolewa kwa mkopo Crystal Palace pia ya Ligi Kuu England ambako amekwenda kucheza mechi nane.

Sakho ni mchezaji wa kikosi cha kwanza cha wakubwa cha Ufaransa, ambaye awali amechezea timu zote za vijana na za nchi hiyo.

Tangu acheze mechi yake ya kwanza kikosi cha wakubwa cha Ufaransa mwaka 2010 dhidi ya England, Sakho amecheza mechi zaidi ya 25 na alikuwemo kwenye kikosi cha timu hiyo kwenye Fainali za Kombe la Dunia  mwaka 2014 nchini Brazil.

Mamadou Sakho (wa sita kulia) akiwa na kikosi cha Mlendege jana usiku wa Amaan, Zanzibar

Mwanamke Ni Kiumbe Katili Sana Kuliko Unavyodhani ! Check Out Hapa

Mwanamke Ni Kiumbe Katili Sana Kuliko Unavyodhani ! Check Out Hapa
Udaku Special Blog / 18 minutes ago


Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa. Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.

Au siku moja partner wako akiwa na mimba jaribu kumwambia mimba hii nina mashaka si yangu halafu uone response ya kikatili utakakuta katoto kenyewe kametupwa jalalani huko .

By kamgisha

JE unakubaliana na Wazo la huyu Mdau?

Jumatatu, 12 Juni 2017

Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

KAMGISHA BLOG / 5 hours ago

IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima

HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA

1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako?

Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe

2. BADILISHA HOBBY YAKO KUWA PESA
Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa?

Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine wakawa wankuja huko kuogelea?
Kama unapenda gardening unaweza anza biashara ya kufanya landscape gardening

3. NUNUA BIASHARA AMBAYO TIYARI IPO
Ukishindwa kabisa kupa wazo mwanana unaweza nunua biashara ya mtu mwingine na kuindeleza, siku hizu kuna biashara kibao zinauzwa kwa sababu mbalimbali so unaweza nunua nu kuendelea nayo

4. KUNUNUA FRANCHISE
Hii ni moja ya njiza zinazo tumika kwa sasa na sehemu nyingi sana, Unaweza nunua Popular Brand na kuifanyia kazi, Ingawa mara nyingi kuna mashariti ya kuambatana ikiwemo kuhakikisha unatoa huduma sawa na Brandi yenyewe, nah ii ni popular sana katika MAHOTELI/MIGAHAWA, MASUPERMARKET NA MADUKA MENGINE

Na usijalibu kutumia Brand ya Kampuni Fulani bila kuwapa Taarifa make inaweza kula kwako na ukajikuta unafilisiwa,Na ilisha wahi kutokea kwa Kampuni ya Mabasi ya SABENA baada ya kutimia jina la Shirika la Ndege la Ubeligiji, Ila sijui walimalizana vipi, make jamaa bado wanalitumia

5. TUMIA PERSONALITY YAKO
Kuna watu unakuta either ni Mrembo sana, Handsome na kazalika, unaweza utumia huo urembo na uhendsaamu kufanya biashara, either za marketing na kazalika

6. NINI KINAKOSEKANA MTAANI?
Tazama ni kitu gani hakipo hapo mtaani and then geuza kuwa opportunity, inaweza isiwe ni mtaani ikawa ni kazini kwako, Kijijini kwenum au maeneo unayo enda kustarehe

Ni kitu gani huwa kinaleta usumbufu kwako na kukuchukulia muda mwingi na pesa nyingi?Ni huduma zipi hazipo kabisa mtaani kwako? Na ambazo ni za muhimu?Ni bidhaa zipi ambazo ni vigumu kuzipata mtaani kwenu?Ni kitu gani, wewe, Ndugu, Majirini huwa wanakilalamikia sana mtaani hapo?

7. UTALII KATIKA MAENEO YAKO
Hii nayo ni moja ya wazo, so unaweza angalia furusa za utalii kwenye maeneo uliyopo au hata kwingine na kuyafanyia kazi.

8. TUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUANZISHA BIASHARA
Angalia mfumo wa maisha wa sasa ulivyo, vitu vinavyo tumika kwa sasa na vinavyo tumiwa na watu wengi, so mfumo wa maisha wa watu kwa sasa unaweza kukuongoza kuja na wazo la Biashara

9. ANGALIA MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI NYINGINE WANAHITAJI NINI
Unaweza tumia uwepo wa makampuni Fulani au taasisi Fulani maeneo yako kutengeneza wazo la biashara, taasisi kama Shule, vyuo, Hospitali, Makampuni kama Viwanda Migodi na kazalika, angalia ni kipi hawa watu wanaweza kuwa wanahitaji kwa wingi

10. UNAWEZA KUANGALIA KUHUSU KUUZA BIDHAA ZA WENGINE
Unaweza ukawa unauza bidhaa za watu wengine, unachukua na kuuza

11. ANGALIA HABARI NA MAKALA MBALIMBALI
Kuna chaneli huwa zina makala mazuri sana ya kiuchumi na biashara, hata TBC huwa ina makala Fulani nzuri sana, na kuna chaneli za kimataifa siku huzi kazi yao ni hiyo tu, ni kuonyesja ubunifu wa wajasirimali, so TV, radio na magazeti yanaweza toa mchango w akutosha kwa wewe kupata wazo la biashara

12. COPY BUSINESS IDEA AMBAYO IMEFANIKIWA KWINGINEKO
Hii ni moja ya njia zinazo tumika kwa sasa, unaweza copy idea kutoka hata India, China, na kwingineko na ukaja kuifanyia kazi huku kwa kufanya marekebisho madogo kulingana na mahitaji ya eneo husika

13. TUMIA NJIZA ZOTE ZA KIUTAFITI KUPATA WAZO LA biashara- maonyesho ya biashara

Magazeti,Kwenye taasisi za uma zinazo husika na biasharaKwa marafiki

14. UNAWEZA GUNDUA KITU?
Unaweza ukaja na ugunduzi wako kama walivyo fanya wakina Thomas Edson Michael Dell na wengineo, na ikawa ndo mwanzo wa mafanikio kwako

Saida Karoli: Pesa ndio ilinikimbiza kwenye muziki


KAMGISHA BLOG / 1 hour ago

Mkongwe wa muziki wa asili wenye ladha ya bongo fleva, Saida Karoli amefunguka na kusema kwamba ukosefu wa pesa na mapromota waongo ndicho kitu pekee kilichomfanya apotee katika ramani ya muziki nchini.

Saida amefunguka hayo baada ya ujio wake mpya kwa kuachia  video inayokwenda kwa jina la 'Orugambo'  na kuongeza kwamba aliamua kurudi kijijini kwao baada ya kukosa muelekeo maalumu.

"Nisingeweza kufanya kitu chochote bila kuwa na pesa, mapromota waliniangusha sana kipindi kile kitu ambacho kilinifanya nipotee. Sasa hivi nimerudi nashukuru Mungu japo sijapata uongozi lakini kuna watu wameamua kujitolea ili kipaji changu kisipotee", Saida alifunguka
Kuhusiana na suala la kutengeneza muziki mzuri, Saida amesema muziki wake unaonekana kuwa mzuri  kwa sababu anatumia vitu vya asili katika kuutengeza .

"Muziki wangu mimi siandiki kabisa mashairi kwenye karatasi, huwa natunga mashairi wakati nikiwa studio napiga ngoma za asili. Huwa sipendi vionjo vya ngoma vinavyotengenezwa na kompyuta, na hiyo ndiyo sababu muziki wangu unakuwa na ladha ya tofauti"' Saida alizidi kufunguka.

Saida amewahi ametamba na nyimbo mbalimbali ikiwemo, Maria Salome, Kizunguzungu na nyinginezo nyingi.

Nina Uhakika Baba wa Taifa huku alipo Machozi yanamtoka- JPM

Nina Uhakika Baba wa Taifa huku alipo Machozi yanamtoka- JPM

KAMGISHA BLOG / 8 hours ago



"Tumechezewa vya kutosha sasa tunasema hapana

"Ni lazima tuchukue maamuzi magumu, bila kujali yanamuhusu nani" JPM

"Hata tulipokuwa tukiwapeleka mahakamani tukishinda, Wana Appeal"- JPM

" Baba wa taifa Mwl Nyerere alisubiri kwanza akasema mpaka tutakapokuwa tayari, Nina uhakika hata huko aliko Machozi yatakuwa yanamtoka"

"Kwa wele watakaokuwa wanaropoka Bungeni tutadili nao Vizuri, Sasa spika nenda ka deal nao vizuri, Na wakisema nje ninatawashughulikia"
"Saa nyingine unakaa unajiuliza kwanini Mungu ulinipa nafasi hii? Why me?"-

VIDEO:Hawa hapa Vigogo Waliosaini Mikataba Mibovu.

VIDEO:Hawa hapa Vigogo Waliosaini Mikataba Mibovu.

KAMGISHA BLOG / 5 hours ago



Kamati ya Pili ya  Rais John Magufuli iliyochunguza Michanga  ya dhahabu  iliyoundwa na Wataalamu wa Masuala ya uchumi na sheria imeataja Vigogo waliosaini Mikataba yenye Ubadhalifu

Kamati hiyo iliyongozwa na Nehemiah Osoro ambaye ndio Mwenyekiti wa kamati hiyo amweka wazi watumishi na watendaji wa Juu kabisa wa Serikali.

Tazama Video hii kisha share na  Usisahau Ku-Subscribe Muungwana Tv.

 hapa Vigogo Waliosaini Mikataba Mibovu.

KAMGISHA BROG/ 5 hours ago


Kamati ya Pili ya  Rais John Magufuli iliyochunguza Michanga  ya dhahabu  iliyoundwa na Wataalamu wa Masuala ya uchumi na sheria imeataja Vigogo waliosaini Mikataba yenye Ubadhalifu

Kamati hiyo iliyongozwa na Nehemiah Osoro ambaye ndio Mwenyekiti wa kamati hiyo amweka wazi watumishi na watendaji wa Juu kabisa wa Serikali.

Tazama Video hii kisha share na  Usisahau Ku-Subscribe Muungwana Tv.


JPM awaoneshea Kidole wasomi

JPM awaoneshea KidoleWASOMI.KAMgisha BLOG / 4 hours ago


Rais John Magufuli amewashangaa wasomi wa nchi hii na kuhoji ni namna gani elimu yao inaisaidia Tanzania.

Ameyasema hayo leo (Jumatatu) baada ya kupokea ripoti ya pili ya kamati ya mchanga wa madini.

Amesema wasomi hao wameshindwa kusimamia sheria na kuifanya Tanzania kupoteza kiasi kikubwa cha fedha za kodi.

Amesema ni lazima serikali ichukue maamuzi magumu bila kujali yanamhusu nani.

“Pale Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuna Phd 17, tuna wanasheria wengi wamefundishwa na Profesa Kabudi lakini wamefundishwa nini? Wakirudi huku wanapindisha sheria tu,” amehoji.

 Ameongeza; “This is the country, tumelogwa na nani, basi mkatuombee wachungaji kama ni mapepo yakaondoke.”

VIDEO: Atakayepona ni Kigoda tu aliyefariki- JPM

VIDEO: Atakayepona ni Kigoda tu aliyefariki- JPM

KAMGISHA BLOG / 4 hours ago

"Wanasheria na vyombo vya dola Mpo hapa, waliotajwa wapo nendeni mkawahoji, isipokuwa rafiki yangu Abdallah Kigoda aliyetangulia mbele ya haki"-amesema Rais Magufuli baada ya kukabidhiwa ripoti ya pili ya kamati maalumualiyoiunda kuchunguza sakata la mchanga wa Madini Leo Ikulu Jijini Dar es salaam

 TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI


Rais Magufuli: Hata shetani anatushangaa kwa umasikini huu.

Rais Magufuli: Hata shetani anatushangaa kwa umasikini huu.KAMGISHA BLOG / 1 hour ago

Rais John Pombe Magufuli amesema hata shetani huko alipo atakuwa anawacheka Watanzania kutokana na umaskini wa kujitakia.

Amesema Mungu amelibariki taifa kuwa na kila aina ya madini lakini umaskini umeendelea kuwatafuna Watanzania.

Kauli hiyo ameitoa leo baada ya kupokea ripoti ya kamati ya pili ya kuchunguza kiwango cha madini yaliyomo katika mchanga wa madini .

Kamati hiyo inaongozwa na Mwenyekiti wake, Profesa Nehemiah Osolo, imewasilisha ripoti hiyo ikiwa ni siku 18 baada ya kamati ya kwanza kuwasilisha ripoti yake.

Amesema Mungu alitupenda Watanzania, akatuweka katika nchi ya Tanzania, lakini kwa upendo mkubwa, akatuwekea maliasili nyingi, ili ziwalishe Watanzania.

“Ukiangalia madini tuliyonayo ni ya kila aina, si machache, tuna copper, silver…madini yote yako Tanzania , tumepewa hadi hellion, inayopatikana katika nchi tatu tu duniani, lakini pamoja na madini hayo yote, hadi Tanzanite inapatikana Tanzania tu, lakini pamoja na mali hiyo yote Mungu kutupendelea, Watanzania tumebakia maskini nina uhakika hata shetani huko aliko anatucheka kwa kuwa umaskini wetu ni wa kujitakia,"amesema.

Rais Magufuli amesema lakini inawezekana shetani huyo huyo aliwatumia baadhi ya viongozi wa taifa hili kulifanya maskini.

Ameongeza; “lakini shetani huyo huyo bado hajachoka amekuwa akiwatumia Watanzania baadhi kupinga juhudi tunazozifanya katika kulikomboa taifa.”

"Waheshimiwa mara baada ya kupokea ripoti kama hii, inayotia uchungu sana nina uhakika kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu ukisikia ripoti kama hii itakutia uchungu sana, ndiyo maana nashindwa nianzie wapi, nashindwa nizungumze nini lakini nisije kusahau ninawapongeza kamati, mliofanya kazi kwa niaba ya Watanzania.

"Nafahamu wapo wengine walitaka hata kuhatarisha maisha yenu, mlitanguliza maslahi ya Taifa, Watanzania wanaopenda mali yao itumike kwa maslahi yao wataendelea kuwaombea,"amesema.

Jumapili, 11 Juni 2017

Maisha ya mahusiano

    MAPENZISioni Aibu Kuolewa na Mwanaume Niliyemzidi Miaka 7 – Riyama MAPENZIZitambue Hasara za Kuzama Chumvini Kwa Mwanamke MAPENZIExperience Yangu Jinsi Ngono Zinavyotokea Wakati wa Kusafirisha Misiba..!!! MAPENZIMapenzi ya Video za Ngono Yameniharia Penzi Langu MAPENZINisha Adai Kuwa Na Uhusiano Na Mbwa Zitto Kabwe Aibua Mazito Kutimuliwa Kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ewura..!!! Zitto Kabwe  Zitto Kabwe, Mb Ni muhimu sana Rais afahamu kwamba kuna kazi kubwa ya chinichini inafanywa na wasaidizi wake ( sina hakika kama yeye Rais anajua na au ameruhusu kazi hiyo ) kuendeleza wizi huu wa watu wa PAP ya Harbinder Singh Seth na IPTL. Kwenye kesi ya Standard Chartered Bank dhidi ya TANESCO huko mahakama ya ICSID ambapo TANESCO wanatakiwa kulipa shilingi 352 bilioni kwa Benki hiyo, Wanasheria wa TANESCO na wale wa PAP/IPTL wanashirikiana kwa karibu mno. Kwenye rufaa, TANESCO wametakiwa waweke fedha hizo kwanza kwenye akaunti ya Benki ya nje kabla ya rufaa kusikilizwa. PAP/IPTL wanalinda ufisadi wao kwa kujifanya wanashirikiana na TANESCO kwenye kesi. Kwenye Taarifa ya PAC kuhusu Tegeta Escrow Account, tuliweka wazi kuwa PAP/IPTL waliweka dhamana kuwa ikitokea madai yeyote yale dhidi ya TANESCO basi PAP/IPTL italipa. Madai yametokea, matapeli hawa wanajifanya kushirikiana na Shirika letu na Wanasheria wa Serikali wanawasaidia matapeli hawa na sasa wanataka kuwaongezea leseni ya Biashara. Kwanini Serikali isitumie ile Indemnity kuwataka PAP kulipa hizi fedha? Kwanini Serikali inayosema inapambana na ufisadi inawakumbatia mafisadi wa PAP/IPTL? Kwanini Serikali iliyoonyesha ujasiri wa kupambana na Kampuni kubwa kama Acacia/Barrick inayumbishwa na matapeli hawa? Tena tapeli mmoja tu Harbinder Singh Seth? Vyombo vya Serikali pia vinahusika na kuwalinda hawa matapeli. Kwa mfano, huko ICSID Shirika letu la TANESCO kupitia wanasheria wake wamepeleka hoja kwamba Maazimio ya Bunge kuhusu Tegeta Escrow hayana msingi wowote wa kisheria na kwamba Bunge linapiga porojo tu. Wanasheria hawa wameomba Ofisi ya Bunge iwape barua kuthibitisha kuwa Maamuzi ya bunge hayana msingi wowote na ni maoni tu yanaweza kudharauliwa na kutupiliwa mbali. Shirika la Umma linalosimamiwa na Bunge linapeleka barua kwenye vyombo vya kibeberu kuwa Bunge porojo tupu. Pia kwa kudanganywa na PAP/IPTL, TANESCO wamepeleka madai kuwa PAC ilihongwa kufikia maamuzi yaliyofikiwa na Bunge. Wametengeneza barua pepe za kujaribu kushawishi madai yao hayo na hata Taasisi muhimu kama PCCB waliingia kwenye mkenge huo na kuniita kunihoji. Niliwapa ushirikiano wote na kuwapa simu na computer zangu wachunguze barua pepe zile za kuchonga wakakuta hakuna lolote. Sikuwaacha, niliwaambia kuwa wao ni mawakala wa mashetani. Wanashirikiana na matapeli kuwaibia Watanzania. Idara ya Usalama wa Taifa, inahusika moja kwa moja na kazi hii inayofanywa na PAP/IPTL ili kufanikisha mradi huu wa kitapeli. Sina hakika kama Rais aliidhinisha haya maana TISS na PCCB wanawajibika kwa Rais moja kwa moja. Hivyo, inawezekana kabisa mpango wa kuongeza leseni ya IPTL akawajibishwa mtu wa EWURA kwa sababu ndiye alitoa tangazo la leseni, lakini huyo mtu wa EWURA anaweza kuwa ameshinikizwa na watu wa Usalama wa Taifa kufanya hivyo. Mimi naamini Rais, kwa jinsi alivyo, hawezi kuwa anahusika na haya matapeli, lakini Rais mtumbuaji anakaaje miezi 20 kwenye Kiti za Enzi bila kumaliza suala la IPTL ilhali kuna Maazimio ya Bunge yanayopaswa kutekelezwa? Nawapa kazi ndogo Watanzania, tazameni lile Tangazo la EWURA kuhusu IPTL nililowawekea hapa siku limetoka. Tazameni umiliki na wamiliki wa IPTL hivi sasa. Kuna hisa 16% kwa kampuni mbili zenye majina ya ujanja ujanja. Kina nani hao wamegawiwa hizo hisa tena wakati wa Uongozi wa Rais John Pombe Magufuli.  Maoni Yako Hapa Chini  Share This: ZITTO KABWE Zitto Kabwe Aibua Mazito Kutimuliwa Kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ewura..!!! Jun 11, 2017 ZITTO KABWE Zitto: Tumemtoa Mghwira Ili Kuondoa Dhana Kwamba ACT ni "CCM B"..!!!!! Jun 09, 2017 ZITTO KABWE Zitto Kabwe na Profesa Kitila Mkumbo watofautiana kwa mara ya kwanza hadharani Jun 09, 2017 Newer PostOlder Post BLOGGER No comments:  NAFASI ZA KAZI AJIRA YAKO  Job at TGNP Mtandao, Young Feminist Movement Building Advisor - [image: Nafasi za Kazi TGNP Mtandao] *Young Feminist Movement Building Advisor* *Based in Dar-es-Salaam, TGNP Mtandao* has been in existence since 1993, du... Popular Posts  Experience Yangu Jinsi Ngono Zinavyotokea Wakati wa Kusafirisha Misiba..!!! mimi ni mfanyabiashara,ambapo nilianza na biashara hizi juakali tangu miaka ya 2009 baada ya kustop chuo nilikokua nasomea bachelor of ...  Jay Moe - Nilisoma na Rais wa Congo Joseph Kabila..Kipindi Hiko Nilikua Sijui Kama Tz Kuna Nyumba za Udongo..!!! Msanii wa Bongo Fleva, Jay Moe ameeleza changamoto alizokumbana nazo shule hadi kupelekea kutoa albamu ya Ulimwengu Ndio Mama, licha ya...  Je Unajua Marehemu Ivan Don Alipotajirikia...Hii Hapa Historia Yake Fupi Itakayo Inspire Wengi RIP Ivan Don Moja kati ya watu waliopata kuniinspire ni huyu Ivan - huyu jamaa nilimfahamu tangu hata Zari hajaachana nae... Jamaa aliza...  Exclusive. Hatimaye Nabii Frank Afichua Kiini cha Mauaji ya Kibiti na Rufiji..!!! Akizungumza mapema asubuhi ya leo na Kituo cha Luninga cha Channel Ten na Magic fm Radio Nabii anayekuja kwa Kasi nchini Nabii Frank le...  Kajala Aibuka na Haya Kuhusu Wema Sepetu..Adai Hata Mwanae ni Shahidi..!!! TASNIA ya filamu nchini imepambwa na wasanii wa kike wenye urembo unaovutia macho na hakika kwenye orodha ya waingizaji wenye kipaji, u...  Kimenukaa..Zile Sauti za Kimahaba Mtandaoni za Wema na Mbowe..Kumbe Mchezo Mzima Hivi Ndivyo Ilivyokuwa A- Z..!!! Siku chache baada ya kusambaa kwa sauti katika mitandao ya kijamii, ikiwemo WhatApp na Facebook, inayodaiwa kutengenezwa kwa lengo la k...  WABUNGE Wenye Hali Mbaya "Uchaguzi 2020" "TATHMINI MAJIMBONI" Mpaka tulipo fika sisi kama wananchi ni hakika kua tunaweza kutathmini hali halisi ya Utendaji wa Wabunge...  LISSU: Magufuli Akiniteua Sitokubali, Siwezi Kutumikia Utawala wa Katiba ya Kidikteta...!!! Leo akiongea kutokea mahakamani na waandishi wa habari, Mwanasheria mkongwe na kada wa Chadema, Tundu lissu amesema kamwe hawezi kukuba...  Ubuyu wa Moto Moto..Idris Sultan Afilisika Milioni 500 Alizoshinda Big Brother..Ashindwa Kulipia Kodi ya Ghorofa Alilokuwa Anaishi..!!! Wapenda ubuyu wanakuambia hakuna kinachodumu milele duniani! Ndiyo maneno unayoweza kusema kutokana na maisha ya Mshindi wa Big Brother...  Mtatiro - Mwenyekiti wa Cuf Amepigwa Risasi na Polisi Kibiti..Siyo Majmbazi Waliohusika..!!! Jana usiku Katika Oparesheni ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wamempiga Risasi Mwenyekiti wa Kitongoji wa CUF pamoja na raia mwingine, ... Mapenzi Experience Yangu Jinsi Ngono Zinavyotokea Wakati wa Kusafirisha Misiba..!!! Udaku SpecialJun 10, 2017 Mapenzi ya Video za Ngono Yameniharia Penzi Langu Udaku SpecialJun 09, 2017 Nisha Adai Kuwa Na Uhusiano Na Mbwa Udaku SpecialJun 09, 2017 Sioni Aibu Kuolewa na Mwanaume Niliyemzidi Miaka 7 – Riyama Udaku SpecialJun 09, 2017 Hot Gossip MWANAUME Afariki Dunia Akiwa Gesti Udaku SpecialJun 10, 2017 SHAMSA Ford :Ninaweza Kufa Kwa Presha Nikiongezewa Mke wa Pili Udaku SpecialJun 10, 2017 CHID Benz Aibuka, Afunguka Mazito …Baada ya Kuacha Kutumia Madawa ya Kulevya Udaku SpecialJun 10, 2017 SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Udaku SpecialJun 10, 2017 Siasa Mkurugenzi mkuu Ewura asimamishwa kazi Udaku SpecialJun 11, 2017 Washauri wakuu wa waziri mkuu wa Uingereza wajiuzulu Udaku SpecialJun 11, 2017 IGP Sirro: Hatulali Tunafanya uchunguzi wa Kina mauaji ya Kibiti Udaku SpecialJun 10, 2017 TAARIFA ya Ikulu kuhusu kamati ya Pili Mchanga wa Dhahabu Udaku SpecialJun 10, 2017 Created By Sora Templates & Free Blogger Templates