PRIMARY MENU
Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi
Kwanza kabisa ninaomba nieleweke ktk hili, kama ambavyo Serikali imeagiza kwa mujibu wa sheria kuwa watoto wote (umri chini ya miaka 18 kubashiri) hawaruhusiwi kubashiri, hivyo basi sitegemei maelezo haya yakatumiwa na mtoto chini ya miaka 18.
Kama Umetimiza umri wa miaka 18 na kuendelea tafadhali tumia maelezo haya kama yalivyo, ukiyakiuka ukafeli au kuliwa pesa zako sitahusika.
Kama ambavyo watu wengi wamezoea kubeti karibu kila siku bila mafanikio, basi leo ninakuletea maujanja fulani hivi halafu twende sawa.
Kutokana na kuwa maelezo haya hayajakopiwa sehemu yoyote, basi ninaomba nikupe sheria zangu kwanza kabla hata haujaanza kubeti.
Sheria na Onyo kabla ya Kubeti
Kuanza kubeti kwa njia hii haijalishi kama unafahamu timu, au historia ya timu, sababbu utatumia akili za Software maalum
Unapobeti katika makampuni yoyote haupaswi kuwa unaongelea mikeka ya watu wengine kwa kuwatania kuwa hatashinda (utajichafulia nyota ya ushindi)
Katika kila mkeka hautakiwi kuweka timu zaidi ya 4
Hakikisha kila timu unayoweka umeitoa ktk Software hii nitakayokuonyesha hapa chini
Kama ndio mara yako ya kwanza kubeti na haujazoea kuliwa pesa zako basi ninakushauri kubeti kwa kiwango kidogo sana kwa kila mkeka, kwa mfano unaweza kuweka shilingi mia tano (500/=) kwa kila mkeka
Sheria ngumu ni hii hapa, hautakiwi kuwaza kushinda pesa nyingi kama mtaji wako ni mdogo
Aindha kwa wale wenye mitaji mikubwa wanaweza kuweka hadi kiwango cha laki na nusu kwa mkeka mmoja
Hakikisha kila mkeka unaoweka hauzidi Odds 5 (yaani ukizidisha points zote za timu zako ulizozipa ushindi basi zisizidi point 5)
Hautakiwi kubeti kila siku kwa sababu kuna siku zingine hakuna timu za ushindi zinazocheza
Ukitaka kubeti na kula kila siku basi utaweza endapo utakuwa mvumilivu kwa kiasi kidogo utakachokuwa unakipata
Ukibeti usimuonyeshe mtu mkeka wako (kwa mfano ukiwa unasafiri halafu watu wakakuombea ajali basi utasafiri kwa wasiwasi) same applied kwenye mikeka, kuna watu wana mikosi, yaani huwa hawashindi, na watu hao wakitazama mkeka wako wakakosoa timu 1 tu basi utapata wakati mgumu sana kushinda
Mwisho kabisa, Kubeti ni Siri na sio Matangazo
Baada ya Sheria, sasa twende kwenye hatua za uchaguzi wa timu
Kwanza kabisa unatakiwa uwe na smartphone au uazime ya mtu mwingine
Fungua playstore
Tafuta application imeandikwa (Football Prediction) chini yake utaona neno (SauzanaProd)
Ukiandika hilo neno Football Prediction kwa usahihi basi itatokea ya kwanza kabisa na picha ya ni hii hapa chini,
Baada ya kuipata sasa install na uifungue
Ukifungua ndani utaona imefunguka kama picha hii hapa chini inavyoonyesha,
Kama inavyofahamika kuwa (1) ashinde wa nyumbani, (2) ashinde wa ugenini na (x) ni droo, sasa basi ukiangalia picha hiyo hapo juu utaona kuna sehemu imekolezwa rangi nyekundu, na ndani ya hiyo rangi unaona namba
Kwa mfano Mechi ya kwanza hapo anacheza (Santiago) dhidi ya (Colo Colo) ukiangalia kulia mwao utaona upande wa (1) kuna namba 23, upande wa (2) kuna namba 50, maana yake hizo ni asilimia za Ushindi, yaani hapo wanakwambia kuwa (Colo Colo anaushindi kwa asilimia 50)
Onyo ⇒ huwa tunachukua timu zenye asilimia kuanzia 70 na kuendelea, na ukipuuza kwenye hili basi tusilaumiane
Kwa mfano subiri siku anacheza (Real Madrid, Barcelona, Bayern, Borusia Dortmund, Atletico Madrid, PSG, na wengine wengi tu ambao huwa wanaitwa wa uhakika) kisha njoo huku kwenye hii application angalia kwa umakini sana, kama wamepewa Asilimia chini ya 70 basi ujue wana game ngumu na wanaweza kutoa suluhu au kufungwa
Zipo timu nyingi sana ambazo utakuta zina asilimia 70 na kuendelea, basi usiwe na tamaa sana, fuata sheria zangu, kuwa kila mkeka weka timu 3 au 4 baaaaas, kisha weka mia tano yako kula elfu 3 au 5, na kwa wale wenye mitaji basi mtavuna
Kuna ile tabia ya kujaza timu nyingi, ndio hiyo pia ni nzuri lakini unatakiwa kuifanya kwa kutumia Megamix, angalia vizuri hapo kwenye picha hiyo juu utaona chini ya saa pale kuna kama kigaloni (lahasha hicho sio kigaloni bali ni kalenda, hivyo basi ukikibonyeza tu kitakuletea mechi nyingine za siku 3 mbele
Basi, chagua timu zenye asilimia 70 na kuendelea kisha ziunganishe (hata zikifika 6,7 au 8 sio mbaya) kisha weka ktk mkeka mmoja, weka mpunga na iwe siri yako
Siku ukikosa timu hizo za asilimia 70 basi chukua mwisho 60 baaaas
Tafadhali usikiuke sheria zangu kwani utamchangia Muhindi, Mchina na Mzungu mpaka siku yako ya Mwisho unapoiaga betting
Nani anasema betting ni kamari?
Kamari = Unatumia jasho lako na kwa wakati huohuo unapata au unakosa ulichokitolea jasho
Bahati nasibu = Hautoki jasho wewe, anaetoka jasho ni mwingine na utapata au kukosa ulichokibahatisha baada ya muhusika kushinda au kushindwa
Ukibeti kwa akili zako hizohizo za kila siku ambazo hazina kitu kipya utaumia kichwa, ninakushauri ubeti baada ya kuangalia timu kwenye hii application kwani kila siku timu zinasajili wachezaji na uwezo unaongezeka, na hii application inaonyesha uwezo wa timu kwa kutumia huo mfumo wa asilimia.
Kama hupendi kubeti au unachukulia kubeti ni kamari basi kwenye hii posti pita kama haujaona kitu, tuendelee na maisha ya kila siku.
Powered by Max IT Club
Advertisements
REPORT THIS AD
REPORT THIS AD
Like na Kushare Site Yetu
SHARE
Share
30 THOUGHTS ON “NJIA NYEPESI ZA KUBETI NA KUSHINDA MAHELA MENGI”
JOSIAH
Hahaha,,, nilkua naitafuta kitambo xaana,,, Naxhukukru Max,,
Liked by 1 person
MAXDULLAH
pamoja ana Josiah
Liked by 1 person
VITUS
Naomba unisaidie ukisha bet kwenye simu pesa unaipataje na kwa njia gani
Like
VITUS
Naomba unitumie hapahapa maana email inagoma kuangalia
Like
Brother mambo vp
Like
Ahsante sana blaza tisha xana mzazi
Like
LENUS MSIGALA
Tupo pamoja max,endelea kutulisha chakul cha bongo zetu.Respect to u brothr
Like
HERRY MBILINYI
Sasa inakuwaje kuripia sasa
Like
hakuna program nyingine kaka?
Like
JOHN VEDASTO
sasa ukibet unazipataje izo ela maan sijaelewa mm
Like
SALUM
Namba ya simu uliyo tumia kujisajilia katka kampuni ya kubetia Mf….Mbet ndipo utakapo shinda iyo hiyo hiyo watakayo kutumia pesa….
Like
nice one
Like
DANFORD NGAJENI
Najisajilije na pesa baada ya kubeti naitumaje kwa njia ya simu?
Like
MESHAKI MTENGA
Yeeeeee tunazidi kuliwa tuu hamna lolote
Like
PASCHAL MAHONA
September 15, 2017 at 11:54 am
pamoja sana mzazi
Like
JOSEPHAT MTWEVE
September 24, 2017 at 12:39 pm
Pamoja sana mkuu,
Like
YOBOY
ok sawaaa
Like
ASAJILE
Mmh hiyo app niliwai kuitumia kitambo flan nikaona ina wrong xana
Like
Betting ni umaskini,tafuteni kazi xingine za kufanya..haya maneno yasiwafariji,we cheza 1000/- yako mi naitia kwenye kibubu,siku ukila na mie navunja kibubu changu tuone.
Like
EMANUEL ATILIO
umewsomeka sana kaka asante
Like
HUSSIN KAKOSSO
sawa mkuu na alama za kubeti zinakuwaje
Like
Sorry naombeni tuwe tunachambua na 12 perfect
Like
TYSON
nataka kuifanya beti kamanjia yakunipatia kipato naomba unisaidie mbunu zaidi kaka
Like
MWANAMALUNDI TZ
UMESOMEKA MKUU IKO SAWA KABISA
Like
ADAM
Hamna kitu hapa
Like
GGG
Jamani Fanyen Huruwa Mi Bonanza La Mchina Linaniumiza
Like
MANDELA MLAKI
Ww kwa uelewa wako unaweza tengeneza correct score
Like
DAVID
Nimejiunga na premium member lakin bado sijaunganishwa naomba msaada wenu nimejiunga kwenye app yenu
Nimelipia kupitia tigo pesa namba yangu ni 0674261127
Like
JAPHET SAMSON
ngoj nijarb
Like
sawa sawa tuna fanya ili tukuze kipato maana maisha magumu sana sana
Like
LEAVE A REPLY
Your email address will not be published.Required fields are marked *
Comment
Name *
Email *
Website
Notify me of new comments via email.
HABARI YA MOTO SANA
MASOMO YA AWALI NA KINA
ZILIZOSOMWA NA WALIO WENGI
Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi
Kuangalia Chaneli Za Televisheni Za Tanzania Kwa Kutumia Simu Au Computer
Kutest Power Supply Ya Desktop Computer Kama Nzima au Mbovu
Mbinu za ushindi kwenye Kubeti
Unajua Namna Ya Kutafuta Simu Iliyopotea?
Fahamu MB unazotumia Na Spidi Ya Internet Ya Simu Yako Kwa Urahisi
Faida za kufanya usafi na Hasara za kutokufanya usafi ktk Computer Yako
MAWASILIANO
Siku Za Kazi = JumaTatu hadi Jumamosi
Masaa Ya Kazi
Kuanzia = Saa Mbili (2) Asubuhi
Hadi = Saa Kumi na Mbili (12) Jioni
Advertisements
REPORT THIS AD
Search for:
UTUNDU BY MAX IT CLUB
Mbinu za ushindi kwenye Kubeti
Faida za kufanya usafi na Hasara za kutokufanya usafi ktk Computer Yako
Fahamu MB unazotumia Na Spidi Ya Internet Ya Simu Yako Kwa Urahisi
Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi
Zuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Computer Yako
Kuangalia Chaneli Za Televisheni Za Nje Ya Tanzania Kwa Kutumia Simu Au Computer
Kuangalia Chaneli Za Televisheni Za Tanzania Kwa Kutumia Simu Au Computer
IDADI YA WAGENI WALIOTUTEMBELEA
84,414
MAY 2019MTWTFSS 12345678910111213141516171819202122232425262728293031
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni