JIFUNZE HAPA KU BETI KISANYANSI BUREEE!!!!!!
1.Mambo muhimu kujifunza wakati wa kuanza ku beti
Kama wewe ni mgeni na ndo kwanza unaanza ku beti na haufahamu kwa kuazia, basi jua hapa upo mahala sahihi kujifunza na kuwa bingwa.Ku beti mtandaoni (online betting) ni rahisi sana kuliko unavyo fikiria, hapa chini vime orodheshwa vipengele muhimu vi 5 vyakujua kwa mtu yeyote anaye anza ku beti :
1.Uelewa mzuri wa dhamira ya ubashiri matokeo ya michezo mtandaoni.
2. Fahamu aina tofauti za beti.
3.Elewa ni jinsi gani biashara ya ubashiri matokeo mtandaoni ina endeshwa
4. Chagua kampuni bora ya kubashiri utakayo tumia kucheza.
5.Fahamu baadhi ya vidokezo vya kucheza beti .
2. Uelewa mzuri wa dahmira ya ubashiri matokeo ya michezo mtandaoni
Beti katika michezo ni mjumuisho wa jumla ya kiasi cha fedha kinacho husiana na matokeo baada ya mechi au tukio la michezo.
Unapo beti kwenye michezo,unachopata ni kiasi cha pesa ulicho weka kwenye hiyo beti (stake) zidisha na muamala (Odds) za hiyo beti ulio cheza .
Kiasi cha fedha unacho weka kwenye beti kinaitwa hisa "Stake".
"odds" Hii ni namba inayo patikana kwa uwiano wa malipo kamili unayopata nay ale ya hisa (stake) uliyo weka na inakua katika namba za desimali
Faida katika beti ni kiasi ulicho pata baada ya kushinda beti utoe kiasi cha fedha ulicho weka kwenye beti (hisa), hii inwasilisha kiasi cha mwanzoni ulichowekeza
Chukulia mafano huu rahisi,: Umwamua ku beti mechi kati ya Barcelona na arsenal.. Kampuni imeipa Barcelona kipaumbele kushinda mechi hii kwa mfano, basi hapa kwenye hii mechi kuna mambo matatu muhimu matatu unaweza kushiriki katika beti hii:
Barcelona anashinda: 1.4
Mechi itaisha bila mshindi (droo) 4.2
Arsenal anashinda 5.8
Mfano kama umeweka beti tzs 1000 kuwa Barcelona anashinda mchi hii, odds za barca kushinda ni 1.4 kwa maana hii ukishinda beti hii utapata jumla ya kiasi cha fedha 1000x1.4 = 1400Tzs. Kwa maana hyo faida yako katika beti hii chukua jumla ya pesa uloshinda toa kiasi cha fedha ulicho weka kwenye beti hii (1400-100=400). Faida yako ni 400Tzs kama uliweka 1000 arsenal anashinda, beti yako ikipita utapata jumla ya fedha 1000x5.8=5800. Faida ya beti hii ni sawa na 5800-1000=4800,.Kama hukupatia ubashiri wako unapoteza hela yote, 1000 uliyoweka kama beti .
3. Kufahamu aina tofauti za beti
Kuweza kuwa bingwa wa ku beti ni muhimu ufahamu aina mbalimbali za ku beti, kila aina ya beti tutakayo zungumzia hapa ina masharti na vigezo, kabda hujachagua beti aina gani unataka ufanye unashauriwa soma kwa makini maelezo, vigezo vya kushirik na sharia ya beti husika.Hapa chini tutajifunza aina tofauti ya beti zinazotolewa na kampuni mbali mbali za ku beti.
Beti moja(The single bet)
Hii ni aina maarufu sana ya beti kwa sasa, kwenye aina hii ya beti mchezaji ana weza kubashiri matokeo chaguzi tatu tu,( Ushindi timu 1, sare, ushindi timu 2)
Beti ya matokeo matokeo mara 2 (The double chance bet)
Kwenye betii hii kama inavyo jieleza yenyewe, inakupa uhuru wa kuchagua matokeo mawili katika timu moja, (Timu 1 kushinda au droo,Ushindi timu 2 au droo, Ushindi kati ya timu mojawapo W1 au W2)
Beti mjumuisho au mkeka (Combos bet or combined bet)
Kwenye aina hii hapa, ni ngumu kidogo ukilinginishana mbili zilizotangulia kwani inajumuisha beti katika mechi Zaidi ya moja kwa wakati mmoja, hapa ushindi katika hii beti utategemea matokeo ya jumla katika mechi zote ulizo chagua. Na Odds pia ni jumla ya kila mechi uliyo ingiza katika mechi hii wakati wa ychaguzi
Humu utakutana na maneno "over/under". Tafsiri yake ni over=juu ya…, (Zaidi) under= chini ya…(pungufu) inategemeana na tukio lilotajwa katika mechi hii, kwa mfano magoli..
Beti matokeo kamili (The exact score bet)
Kwenye aina hii ya beti inabidi mchezaji atabiri matokeo kamili katika mechi husika..
Bei kipindi cha kwanza/ mechi nzima (The Halftime / Fulltime bet)
Kwenye beti hii inakupa ruhusa kubashiri matokeo katika meci nzima au kipindi cha kwanza cha mchezo.
Beti ya uso kwa uso (The Face to Face bet)
Beti ya aina hii haihusishi matokeo ya timu bali ni mtu mmoja mmoja, mfano mechi ya box. Unachotakiwa kufanya hapa ni kutabiri matokeo nani anashinda kati ya wawili wapambanao..
Handicap bets
Katika beti hii kampuni ya beti inaipa timu dhaifu uongozi ambapo utaongezewa kwenye matokeo ya mwisho. Beti hapa itahusika katika matokeo aina tatu ( ushindi timu 1, ushindi timu 2, droo).
Asian handicap betting
Hii ni kama beti iliyo zungumziwa hapo juu, tofauti kwenye hii asia handicap matokeo ya droo hayajumuishwi (hayahusiki)
4.Elewa ni jinsi gani biashara ya kubashiri matokeo mtandaoni inaendeshwa
Kabda hujachagua kampuni yak u beti ,tizama kwanza ni kwanjia gani kampuni inajishindia
Kwa uelewa Zaidi tuchague mechi ambayo imepewa matokeo sawa kama droo.(hakuna mshindi). Kwa kawaida odds katika huu uchaguzi ni 1.9. mchezaji anapo beti 1000 tzs akishinda anapata faida 900Tzs.Kampuni itaingia mfkoni na kumpatia mtu mwenye bahati aliyeshinda 1900Tzs..
Hapa nataka nikupe mwongozo kwamba uliposhinda hii beti kwa droo sio kwamba umeikomoa kampuni, kampuni hata siku moja haishindwi, hapa mnashindana wenyewe kwa wenyewe. Wewe umepatia mechi imeisha droo, mpinzani wako hapa ni mchezaji mwenzako aliyechagua matokeo ya ushindi kwa moja wapo ya timu. kwa Kiswahili kirahisi watu walopoteza hela kwa kusema W1 au W2 wameipa kampuni fedha nyingi na kampuni inachukua kiasi hicho kikubwa ilichopata, inakulipa wewe ulosema mechi ni droo..
Hii inatufundisha ili uweze kushinda beti inabidi uichambue kwa makini mechi unayotaka ku beti..
5. Chagua kampuni bora utayo tumia ku beti.
Uchaguzi wa kampuni bora yaku beti
Kuna kampuni nyingi sana za ku beti katika mtandao, kuchagua na kuweza kufahamu kwamba una beti katika kampuni madhubuti inaweza kuwa tatizo sana kwa wachezaji.
Kukusaidia kufanya uchaguzi sahihi tume ainisha baadhi ya vigezo muhimu hapa chini :
Uchaguzi kampuni bora ya kubashiri matokeo mtandaoni
Kuweza kujihakikishia usalama wa fedha zako unazo shinda kwenye beti, ni muhimu kuchagua kampuni ambayo ipo kwenye biashara hii muda mrefu na pia iwe safi kwa maoni ya wachezaji..
Kwa ushauri tizama hapa Ratings of bookmakers.
Aina za michezo iliyopo
Kabda ya kujiunga kwenye kampuni yaku beti, tunakushaurib tizama ni michezo mibgapa ambayo imejumuishwa kwenye hiyo kampuni.
Matukio ya michezo
Baadhi ya kampuni hutoa matukio ya kubeti Zaidi ya 100 kwenye beti moja hii inafanya beti iwe na ladha zaidi.
Mrahaba (Odds) za kuvutia
Odds ndio zinzofanya beti uliyo fanya iwe na faida pindi unapo shinda, kwa mantiki hii inakulazimu kuchagua kampuni inayo toa odds (mrahaba) mkubwa
Bonansi
Kampuni nyingi za kubeti mtandaoni zinatoa aina mbali mbali za bonansi kwa wateja wao, itakubidi kutizama kampuni inayo toa bonansi bora Zaidi kwani hii itakusaidia kuongeza kiasi cha fedha kwa kutumia hizi bonansi
Huduma kwa wateja
Kupata majibu na utatuzi wa maswali mengi itakulazimu kuchagua kampuni ambayo inatoa huduma hii kwa masaa 24/7 na iwe inatumia njia nyingi Zaidi za mawasiliano.
6. Fahamu baadhi ya vidokezo vya ku beti
Ukiondoa bahati, kuna vidokezo na mbinu tofauti vingi sana ambazo ukizifahamu itakusaidia kuongeza uwezo wa kushinda na kujiongezea kipato kwa ku beti.
Hapa ni baadhi ya vidokezo muhimu kufahamu:
- Beti katika kiasi kidogo cha mechi
Uwezekano wa kushinda beti yako unapungua kutokana na kuongezeka kiasi cha mechi unazo weka kwenye mkeka. Tunashauri usizidishe meche 5 kwenye mkeka. Kama ukichagua kuanzia mechi 5 kushuka chini nafasi yako ya kushinda mkeka ni kubwa zaidi-
Unapo beti chagua odds zilizo za wastani
Hapa tunamaanisha huna haja ya kuchagua odd (mrahaba) mkubwa sana ambapo ki uhalisia kushinda nafasi ni finyu sana, jiepushe kutumia mrahaba (odds) zinazozidi 2..
- Kuwa mvumilivu
Sisi sote tunahitaji kushinda kila siku,, Ila siku zote mshindi ni aliye na uvumilivu.Jiepushe ku beti katika kila mchezo au kila tukio unaloliona mbele yako, jaribu ku beti katika mchezo unao uelewa vizuri.
- Fuatilia utafiti wa timu kwa undani zaidi
Kabda hujachagua mechi ya ku beti, tunakushauri tizama mirahaba (odds), matokeo ya kila timu kwa mechi zake za nyuma,
- fuatilia ukuaji wa klabu
Kwa kutizama ukuaji wa mirahaba, unaweza kupata njia ya kuwea beti yenye tija Zaidi.
- Tumia kwa busara mtaji wako
Hata siku moja usiache fedha unazoshinda kwenye akaunti yako ya kubetia
Share
Tweet
INFO
MOST POPULAR BLOG ARTICLES
JIFUNZE HAPA KU BETI KISANYANSI BUREEE!!!
Mambo muhimu kujifunza wakati wa kuanza ku beti
05.06.2018
JINSI YA KUJIUNGA NA 1XBET TANZANIA
1xBet ni kampuni ya mikeka ambayo ni bora na iliyokidhi vigezo vya ...
31.05.2018
TANGAZO TANGAZO, TANGAZO WADAU WOTE 1XBET.
kutokana na Maombi ya wadau wengi, kwa members wetu wote wa magroup...
07.06.2018
JINSI GANI UNAPATA BONAS YA KUJIUNGA 1XBET.?
JINSI GANI UNAPATA BONAS YA KUJIUNGA 1XBET.?
01.06.2018
King Mafla furniture design
Lang: English Kiswahili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni