Toggle navigationWakabet
Jinsi ya kucheza
Kubashiri na kushinda na Wakabet ni rahisi zaidi.
Jinsi ya kubet bila kujisajili.
Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wako bets michezo na mechi unayotaka.
Eelekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.
Chagua muamala wako na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kulipa bet yako.
Bonyeza kwenye tuma tiketi ili utume mkeka wako.
Chini utaona muktasari wa mkeka ulio ufanya na maagizo kutoka kwa operator wako.
Jinsi ya kujisajili na kunufaika na bets za bure.
Katika tovuti yetu bofya chaguo la kuingia.
Ingiza jina lako na namber ya simu (utaweza kutoa ela na kuweka kwa kutumia namber hiyo tu) utaweka neno lako la siri mara 2.
Kubaliana na sera zetu na masharti ya tovuti yetu.
Kukubali bofya kujiandikishaili utume data kwenye mfumo wetu na kukubali masharti ya tovuti yetu
Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wa michezo na mechi unazo taka
Elekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.
Chagua mfumo wa kulipa na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kwa ajili ya kulipa bet yako
Bonyeza tuma ticket ili kutuma mkeka wako
Kama umeweka Barua pepe yako, utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya barua kwenye mtililiko huu. Bonyeza kwenye kitufe kukubali, na utaweza kupata nafasi ya kujiunga na kucheza bure (utapata nafasi ya kucheza bure**)
Aina ya bets
Mpira wa miguu
Normal.Ubashiri wa kawaida juu ya hitimisho ya matokeo ya mwisho yatakavyo kuwa ndani ya dakika 90.dakika za ziada na penati hazita hesabiwa.
45 Minutes 1st.Dakika 45 YA 1(mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda) katika kumaliza dakika 45 za kwanza.
45 Minutes 2nd.KIPINDI CHA PILI (mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda katika kumalizia kipindi cha mwisho cha pili.
Handicap Home. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya mchezo laki timu ya nyumbani inapata faida ya goli moja ambalo litahesabiwa katika matokeo ya mwisho.
Handicap Away. Bashirinjuu ya matokeo ya mwisho ya mchezo lakin timu mgeni inapata faida ya goli moja ambalo liotahesabika katika matokeo ya mwisho.
Double Chance. Bet to 2 of the 3 game options of type normal game.
1X – timu ya mwenyeji ishinde au mchezo uishe kwa sare
12 – timu mwenyeji au timu mgeni ishinde
X2 – mchezo uishe kwa sare au timu mgeni ishinde
Over/Under 2.5. Bashiri kuwa jumla ya magoli mwisho wa pambano yatakua ni zaidi ya 2.5 au chini ya 2.5.
OVER = +2.5 MAGOLI
UNDER = -2.5 MAGOLI
Over/Under 1st Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho wa pambano la kipindi cha kwanza yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.
OVER = +1.5 MAGOLI
UNDER = -1.5 MAGOLI
Over/Under 2nd Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho ya pambano la kipindi cha pili yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.
OVER = +1.5 MAGOLI
UNDER = -1.5 MAGOLI
Both team Scores. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya dakika 90 na utachagua ndiyo au hapana.
Both Scores 1st Hf. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya kipindi cha kwanza na utachagua ndiyo au hapana.
Both Scores 2nd Hf. Bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga kwenye kipindi cha pili utachagua ndiyo au hapana.
Correct Score. Matokeo halisi ya mechi. Idadi ya magoli ambayo kila timu itashinda
Draw No Bet.Bashiri kwa timu moja kushinda,ikiwa matokeo ya mwisho ni sare,ubashiri utafutwa na odd itahesabiwa kama 1.
Masumbwi
Normal. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya pambano.
Over/Under 8.5. Bashiri jumla ya rounds za mwisho wa pambano kama litakua juu ya 8.5 au chini ya 8.5.
OVER = +8.5 MIZUNGUKO
UNDER = -8.5 MIZUNGUKO
Over/Under 9.5. Bashiri jumla ya rounds za pambanao la mwisho kama litakua juu ya +9.5 au chini ya -9.5
OVER = +9.5 MIZUNGUKO
UNDER = -9.5 MIZUNGUKO
Draw No Bet. Mbashirie mmoja wa wapambanaji kama mchezo ukiisha kwa sare basi kiasi kitarejeshwa
KO, TKO or DQ. Bashiri kama pambano litaisha kwa mbinu KO, KO au kushindwa kwa masharti (chagua ndiyo) au mshindi apatikane kwa alama au maamuzi (chagua hapana).
Kikapu
Normal. Bashiri wa kawaida juu ya matokeo ya mwisho na dakika za nyongeza zitahesabika.
Over/Under Score. Bashiri kuwa matokeo ya timu ya 2 zinazocheza yatazidi au hayatakua kama yalizopendekezwa.
OVER = + magoli
UNDER = - magoli
Even/Odd. Bashiri kuwa magoli yatakayo patikana mwisho wa mchezo yatakua yanagawanyika kwa mbili au yasigawanyike.
Tenisi
Normal. Bashiri matokeo yatakayo kuwa ya mwisho kwenye Mechi ya tenisi. Ushindi wa Nyumbani au ugenini.
Number of Sets. Bashiri jumla ya seti kwenye mechi ya tennis. Kwa mfano:
3-1 = 4 Seti
0-2 = 2 Seti
Both win a Set. Bashiri kama wachezaji wa tenisi watashinda japo seti moja kwenye mechi. Machagulio ni Yes au No
Correct Score. Matokea halisi ya mechi. Idadi ya seti ambazo kila mchezaji wa tenisi atashinda
* Kampuni yetu ina haki ya kufuta au kusimamisha matangazo ya bonasi bila taarifa.
** Wakabet itaweza kubadilisha masharti ya matangazo na bonasi wakati wowote na bila onyo la awali isipokuwa vinginevyo, matangazo yetu yana uhalali wa siku 90. Bonasi au promotion yoyote itatolewa baada ya kipindi icho na bila ya taarifa.
MAELEZO NA USAIDIZI
Wakabet is an adult site intended for players aged 18 or over.
"Winners know when to stop."
Umejitoa kwenye promosheni na matangazo
MSAADA
0743 555 013 / 0743 555 014 0743592888
0789 834 929. 0692403469
0622 598 611 0620566634
LESENI
All correspondence to Director General
Physical Address: 3rd Floor, Harbour View Towers, Samora Avenue
Postal Address: PO Box 1717, Dar es Salaam, TANZANIA
Phone Number: +255 22 2124703 / +255 22 2124704
Fax: +255 22 2124705
Gaming Board of Tanzania Licence Number 00526. Issued on 2017-12-13.
WAKABET
WakaBet Sport betting:
TIN: 133-619-526
Reg. Company N: 428765
Tanzania, Dar Es Salaam, Ilala District
Office Address:
Ohio Street, 606, Block 39, Plot 778, P.O.BOX: 76421
WASHIRIKA WETU
- Tigo: +255-07-16123103
- Vodacom: +255-07-54705000
- Airtel: +255-07-84105400
- Halotel: +255-06-20100100
08:00-22:00 Jumatatu mpaka Jumapili
msaada@wakabet.co.tz / info@wakabet.co.tz
© 2019 Wakabet Sport Betting. All rights reserved ®
Triventure Investments Limited
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni