Naanzaje?
Unaweza kubashiri kwa kutumia njia 2 katika Wakabet.
Unaweza kujisajili katika [kiunganishi] na kisha kuingia na kuweka pesa zako kwenye Pochi ya Waka. Uwapo na pesa unaweza kufanya ubashiri.
Njia ya pili ni kutengeneza tiketi ya ubashiri unaoutaka na kufanya malipo kwa simu katika [kiunganishi].
Nawekaje pesa kwenye akaunti yangu?
Unapokuwa umejisajili na Wakabet, unaweza kuweka pesa kwenye Pochi yako ya Waka kwa kufuata hatua zifuatazo [kiunganishi].
Tigo
Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*01#.
Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
Ingiza kumbukumbu namba 000.
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.
Mpesa
Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*00#.
Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
Ingiza kumbukumbu namba 000.
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.
Natowaje pesa kwenye Pochi ya Waka?
Fuata hatua zifuatazo:
Nenda kwenye kiunganishi: Toa pesa.
Kwenye sehemu ya "Toa pesa" ingiza kiasi unachotaka kutoa kisha bofya kwenye "Ombi la kutoa pesa".
Kiasi ulicho chagua kitaongezwa kwenye akaunti ya simu yako na kutolewa kutoka kwenye salio la pochi yako.
Nini kinatokea nikishinda ubashiri wangu?
Kama tiketi yako uliitengeneza kwa kutumia pochi ya Wakabet, unaposhinda kiasi ulicho shinda kitaongezwa moja kwa moja kwenye pochi yako. Kama ulilipia tiketi yako kwa 'simu'; Faida yako itahamishiwa kwenye akaunti yako moja kwa moja.
* Iwapo umefanya malipo kwa njia ya 'simu'; ndani ya muda usio pungua masaa matatu kutoka mechi ya mwisho kwenye mkeka wako. Kama malipo yatacheleweshwa kidogo itakuwa kwasababu matokeo ya mechi hayajathibitishwa.
Kipi kitatokea ikiwa nimebashiri na mchezo umeahirishwa au kufutwa?
Kama baadhi ya michezo itafutwa, mambo 2 yatatokea:
Iwapo michezo yote itaahirishwa kwa mazingira hayo mteja atarudishiwa pesa yake yote ya mkeka husika.
Kama baadhi ya michezo haijafutwa kwenye mkeka, Kwa mazingira hayo utalipwa kwa mechi ulizo shinda bila kuhusisha michezo iliyofutwa, lakini ni lazima uwe umeshinda michezo yote iliyobaki.
Nini maana ya 1, X na 2?
Maneno yaliyo orodheshwa la kwanza ni 1 (timu ya nyumbani), na la pili ni 2 (timu ya ugenini) na sare ni X.
Je! Wakabet wana App yao?
Wakabet wana App inayopatikana kwenye simu zenye mfumo na uwezo wa Android.
Unaweza kupakua App hiyo Kutoka kwewnye [kiunganishi] kifuatacho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni