Tafuta katika Blogu Hii

Alhamisi, 30 Mei 2019

Kauli Kumi(10) Zitakazobadili Mtazamo Wako Kuhusu Furaha Na Kukuwezesha Uwe Na Furaha Ya Kudumu.


AMKA MTANZANIA

Kauli Kumi(10) Zitakazobadili Mtazamo Wako Kuhusu Furaha Na Kukuwezesha Uwe Na Furaha Ya Kudumu.

 Dr. Makirita Amani

4 years ago

Habari mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA? Karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza tena mambo ambayo yanabadilisha maisha yetu kiujumla.
‘’Mimi ni mwamini mkubwa kwamba kama ukitafuta furaha,mafanikio yatafuata’’ maneno haya nimenukuu kutoka kwa bilionea Richard Branson ambaye niliyasoma katika moja ya makala zake kupitia tovuti yake ‘’ I’m a big believer that if you find happiness, then success will follow’’ ni kweli kabisa furaha huwa ina leta mafanikio katika maisha yako.
Furaha hufungua milango ya fursa kubwa, ukiwa na furaha maisha yako yatakuwa mazuri kila siku. Furaha hujenga uhusiano mzuri. Ni vema kuwa na furaha na maamuzi ya kuwa na furaha yako mikononi mwako acha maisha ya kuwa na kisirani, tabasamu, cheka nakadhalika.

 
Furaha ya kweli katika maisha itakupa hamasa kubwa ya kufanya kazi ili kufikia katika mafanikio makubwa. Makirita Amani aliandika hivi katika falsafa mpya ya maisha ‘’kila mmojawetu anafanya anachofanya kutafuta furaha kwenye maisha. Juhudi zote tunazofanya kwenye maisha ni kwa ajili ya kupata furaha’’ kwa hiyo kila mtu anapigania kuwa na mafanikio ili kutafuta furaha ya kudumu na siyo furaha ya muda mfupi.
Chagua kuishi maisha ya falsafa yako ambayo yatakupa furaha ya kudumu katika maisha yako na ukiendelea kuishi maisha ambayo si yako, maisha ya kushindana basi ni dhahiri kabisa utakuwa unaikimbiza furaha. Njia nzuri ya kupata furaha kwanza kuwa na shukrani kwa kile ambacho unacho sasa na kwa kile ambacho unakipata hii itakusaidia kukupa hamasa ya maisha, itakuletea furaha na itakuongezea juhudi na maarifa ya kutafuta zaidi na utaziona fursa lakini kama hutoshukuru kwanza kwa kile ambacho unacho ni ngumu kupata furaha ya kudumu.
SOMA; Kama Unafikiri Vitu Hivi Ndivyo Vitakupa Furaha Ya Kweli Katika Maisha Yako, Unajidanganya Mwenyewe.
Dale Carnegie katika kitabu chake cha How to stop worrying and start livingaliandika hivi ‘’ Think and Thank’’ yaani fikiri na na shukuru. Fikiri vyote ambavyo tunapaswa kutoa shukrani na mshukuru Mungu.
Zifuatazo ni kauli kumi zinazohusiana na furaha kutoka kwa watu mbalimbali;
10. ‘’Happines is not something ready made.it comes from your own actions’’ – Dalai Lama
Furaha siyo kitu ambacho tayari kimetengenezwa. huwa inakuja kutoka katika matendo yako mwenyewe’’
9.’’ Happiness is like a kiss. You must share it to enjoy it’’– Bernard Meltezer
Furaha ni kama busu. Lazima mgawane ili mfurahie
8. The greater part of our misery or unhappiness is determined not by our circumstance but by our disposition’’– Martha Washington
Sehemu kubwa ya kutokuwa na furaha kwetu inatambulika siyo kwa mazingira yetu bali kwa ubora halisi wa tabia ya mtu.
7. ‘’ Remember that the happiest people are not those getting more, but those giving more’’-H.Jackson Brown,jr
Kumbuka kwamba watu wenyewe furaha sana siyo wanaopata zaidi, bali wale wanaotoa zaidi.
6. ‘’Action may not always bring happiness; but there is no happiness without action’’ -Benjamini Disraeli 
Matendo mara nyingi siyo lazima yalete furaha, lakini hakuna furaha bila matendo.
SOMA; Starehe za Muda Mfupi Zinakukosesha Furaha ya Muda Mrefu.
5. ‘’Happiness is not the absence of problems,it’s the ability to deal with them– Steve Maraboli
Furaha siyo hali ya kutokuwepo na matatizo, bali ni uwezo wa kukabiliana nayo
4. If you want happiness for an hour take a nap.
If you want happiness for a day –go fishing
If you want happiness for a year – inherit a fortune.
If you want happiness for a lifetime-help someone else
-chinese proverbs
Kama unahitaji furaha kwa saa moja pata usingizi wa muda mfupi.
Kama unataka furaha kwa siku moja, nenda kavue samaki.
Kama unataka furaha kwa mwaka mmoja, rithi mali.
Kama unahitaji furaha kwa maisha saidia watu wengine.
Hizi ni nukuu kutoka katika methali za kichina
3. Happy people are beautiful. They become like a mirror and they reflect that happiness’’- Drew Barrymore
Watu wenye furaha ni wazuri. wako kama kioo na wana akisi furaha hiyo.
2. ‘’everyone wants to live on top of the mountain, but all the happiness and growth occurs while you’re climbing it-Andy Rooney
Kila mmoja huwa anapenda kuishi juu ya kilele cha mlima, lakini furaha yote na kukua huwa inaonekana wakati ukipanda mlima.
SOMA; Mambo Sita(6) Muhimu Ya Kuzingatia Ili Kuwa Na Maisha Yenye Furaha Na Mafanikio Makubwa.
1. Happiness is not a goal…it’s by –product of a life well lived’’ – Eleanor Roosevelt
Furaha siyo malengo bali ni zao la kuishi maisha mazuri
Kwa hiyo mpenzi msomaji mpaka hapo umepata kujifunza umuhimu wa wewe kuwa na furaha hivyo basi chukua hatua leo furaha iwe sehemu ya maisha yako siku zote.
Makala hii imeandikwa na Deogratius Kessy ambaye ni mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali, unaweza kuwasiliana naye kupitia namba 0717101505 au kwa barua pepe deokessy.dk@gmail.com au unaweza kutembelea tovuti yake www.actualizeyourdream.blogspot.com

Categories: MAFANIKIO NA HAMASA


AMKA MTANZANIA

Blog at WordPress.com.

Back to top

Jumatano, 8 Mei 2019

Wakabet

Naanzaje?
Unaweza kubashiri kwa kutumia njia 2 katika Wakabet.

Unaweza kujisajili katika [kiunganishi] na kisha kuingia na kuweka pesa zako kwenye Pochi ya Waka. Uwapo na pesa unaweza kufanya ubashiri.
Njia ya pili ni kutengeneza tiketi ya ubashiri unaoutaka na kufanya malipo kwa simu katika [kiunganishi].
Nawekaje pesa kwenye akaunti yangu?
Unapokuwa umejisajili na Wakabet, unaweza kuweka pesa kwenye Pochi yako ya Waka kwa kufuata hatua zifuatazo [kiunganishi].

Tigo

Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*01#.
Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
Ingiza kumbukumbu namba 000.
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.
Mpesa

Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*00#.
Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
Ingiza kumbukumbu namba 000.
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.
Natowaje pesa kwenye Pochi ya Waka?
Fuata hatua zifuatazo:

Nenda kwenye kiunganishi: Toa pesa.
Kwenye sehemu ya "Toa pesa" ingiza kiasi unachotaka kutoa kisha bofya kwenye "Ombi la kutoa pesa".
Kiasi ulicho chagua kitaongezwa kwenye akaunti ya simu yako na kutolewa kutoka kwenye salio la pochi yako.
Nini kinatokea nikishinda ubashiri wangu?
Kama tiketi yako uliitengeneza kwa kutumia pochi ya Wakabet, unaposhinda kiasi ulicho shinda kitaongezwa moja kwa moja kwenye pochi yako. Kama ulilipia tiketi yako kwa 'simu'; Faida yako itahamishiwa kwenye akaunti yako moja kwa moja.

* Iwapo umefanya malipo kwa njia ya 'simu'; ndani ya muda usio pungua masaa matatu kutoka mechi ya mwisho kwenye mkeka wako. Kama malipo yatacheleweshwa kidogo itakuwa kwasababu matokeo ya mechi hayajathibitishwa.

Kipi kitatokea ikiwa nimebashiri na mchezo umeahirishwa au kufutwa?
Kama baadhi ya michezo itafutwa, mambo 2 yatatokea:

Iwapo michezo yote itaahirishwa kwa mazingira hayo mteja atarudishiwa pesa yake yote ya mkeka husika.
Kama baadhi ya michezo haijafutwa kwenye mkeka, Kwa mazingira hayo utalipwa kwa mechi ulizo shinda bila kuhusisha michezo iliyofutwa, lakini ni lazima uwe umeshinda michezo yote iliyobaki.
Nini maana ya 1, X na 2?
Maneno yaliyo orodheshwa la kwanza ni 1 (timu ya nyumbani), na la pili ni 2 (timu ya ugenini) na sare ni X.

Je! Wakabet wana App yao?
Wakabet wana App inayopatikana kwenye simu zenye mfumo na uwezo wa Android.

Unaweza kupakua App hiyo Kutoka kwewnye [kiunganishi] kifuatacho.

kucheza Kubashiri na kushinda na Wakabet ni rahisi zaidi. Jinsi ya kubet bila kujisajili.

Toggle navigationWakabet



 Jisajili

Jinsi ya kucheza

Kubashiri na kushinda na Wakabet ni rahisi zaidi.

Jinsi ya kubet bila kujisajili.

Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wako bets michezo na mechi unayotaka.


Eelekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.


Chagua muamala wako na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kulipa bet yako.


Bonyeza kwenye tuma tiketi ili utume mkeka wako.


Chini utaona muktasari wa mkeka ulio ufanya na maagizo kutoka kwa operator wako.

Jinsi ya kujisajili na kunufaika na bets za bure.

Katika tovuti yetu bofya chaguo la kuingia.


Ingiza jina lako na namber ya simu (utaweza kutoa ela na kuweka kwa kutumia namber hiyo tu) utaweka neno lako la siri mara 2.


Kubaliana na sera zetu na masharti ya tovuti yetu.


Kukubali bofya kujiandikishaili utume data kwenye mfumo wetu na kukubali masharti ya tovuti yetu


Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wa michezo na mechi unazo taka


Elekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.


Chagua mfumo wa kulipa na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kwa ajili ya kulipa bet yako


Bonyeza tuma ticket ili kutuma mkeka wako


Kama umeweka Barua pepe yako, utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya barua kwenye mtililiko huu. Bonyeza kwenye kitufe kukubali, na utaweza kupata nafasi ya kujiunga na kucheza bure (utapata nafasi ya kucheza bure**)

Aina ya bets

Mpira wa miguu

Normal.Ubashiri wa kawaida juu ya hitimisho ya matokeo ya mwisho yatakavyo kuwa ndani ya dakika 90.dakika za ziada na penati hazita hesabiwa.


45 Minutes 1st.Dakika 45 YA 1(mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda) katika kumaliza dakika 45 za kwanza.


45 Minutes 2nd.KIPINDI CHA PILI (mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda katika kumalizia kipindi cha mwisho cha pili.


Handicap Home. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya mchezo laki timu ya nyumbani inapata faida ya goli moja ambalo litahesabiwa katika matokeo ya mwisho.


Handicap Away. Bashirinjuu ya matokeo ya mwisho ya mchezo lakin timu mgeni inapata faida ya goli moja ambalo liotahesabika katika matokeo ya mwisho.


Double Chance. Bet to 2 of the 3 game options of type normal game.

1X – timu ya mwenyeji ishinde au mchezo uishe kwa sare


12 – timu mwenyeji au timu mgeni ishinde


X2 – mchezo uishe kwa sare au timu mgeni ishinde


Over/Under 2.5. Bashiri kuwa jumla ya magoli mwisho wa pambano yatakua ni zaidi ya 2.5 au chini ya 2.5.

OVER = +2.5 MAGOLI


UNDER = -2.5 MAGOLI


Over/Under 1st Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho wa pambano la kipindi cha kwanza yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.

OVER = +1.5 MAGOLI


UNDER = -1.5 MAGOLI


Over/Under 2nd Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho ya pambano la kipindi cha pili yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.

OVER = +1.5 MAGOLI


UNDER = -1.5 MAGOLI


Both team Scores. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya dakika 90 na utachagua ndiyo au hapana.


Both Scores 1st Hf. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya kipindi cha kwanza na utachagua ndiyo au hapana.


Both Scores 2nd Hf. Bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga kwenye kipindi cha pili utachagua ndiyo au hapana.


Correct Score. Matokeo halisi ya mechi. Idadi ya magoli ambayo kila timu itashinda


Draw No Bet.Bashiri kwa timu moja kushinda,ikiwa matokeo ya mwisho ni sare,ubashiri utafutwa na odd itahesabiwa kama 1.


Masumbwi

Normal. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya pambano.


Over/Under 8.5. Bashiri jumla ya rounds za mwisho wa pambano kama litakua juu ya 8.5 au chini ya 8.5.

OVER = +8.5 MIZUNGUKO


UNDER = -8.5 MIZUNGUKO


Over/Under 9.5. Bashiri jumla ya rounds za pambanao la mwisho kama litakua juu ya +9.5 au chini ya -9.5

OVER = +9.5 MIZUNGUKO


UNDER = -9.5 MIZUNGUKO


Draw No Bet. Mbashirie mmoja wa wapambanaji kama mchezo ukiisha kwa sare basi kiasi kitarejeshwa


KO, TKO or DQ. Bashiri kama pambano litaisha kwa mbinu KO, KO au kushindwa kwa masharti (chagua ndiyo) au mshindi apatikane kwa alama au maamuzi (chagua hapana).


Kikapu

Normal. Bashiri wa kawaida juu ya matokeo ya mwisho na dakika za nyongeza zitahesabika.


Over/Under Score. Bashiri kuwa matokeo ya timu ya 2 zinazocheza yatazidi au hayatakua kama yalizopendekezwa.

OVER = + magoli


UNDER = - magoli


Even/Odd. Bashiri kuwa magoli yatakayo patikana mwisho wa mchezo yatakua yanagawanyika kwa mbili au yasigawanyike.


Tenisi

Normal. Bashiri matokeo yatakayo kuwa ya mwisho kwenye Mechi ya tenisi. Ushindi wa Nyumbani au ugenini.


Number of Sets. Bashiri jumla ya seti kwenye mechi ya tennis. Kwa mfano:

3-1 = 4 Seti


0-2 = 2 Seti


Both win a Set. Bashiri kama wachezaji wa tenisi watashinda japo seti moja kwenye mechi. Machagulio ni Yes au No


Correct Score. Matokea halisi ya mechi. Idadi ya seti ambazo kila mchezaji wa tenisi atashinda


* Kampuni yetu ina haki ya kufuta au kusimamisha matangazo ya bonasi bila taarifa.

** Wakabet itaweza kubadilisha masharti ya matangazo na bonasi wakati wowote na bila onyo la awali isipokuwa vinginevyo, matangazo yetu yana uhalali wa siku 90. Bonasi au promotion yoyote itatolewa baada ya kipindi icho na bila ya taarifa.

MAELEZO NA USAIDIZI

How to play


Terms and Conditions


Responsible Game


Financial Intelligence Unit


Gaming Act 2003


Gaming Regulations 2003


Sports Betting Rules 2016


18+

Wakabet is an adult site intended for players aged 18 or over.

"Winners know when to stop."


Umejitoa kwenye promosheni na matangazo

MSAADA

0677 045 926 / 0677 045 927


0743 555 013 / 0743 555 014 0743592888


0789 834 929. 0692403469 


0622 598 611   0620566634 


LESENI


All correspondence to Director General
Physical Address: 3rd Floor, Harbour View Towers, Samora Avenue
Postal Address: PO Box 1717, Dar es Salaam, TANZANIA
 Phone Number: +255 22 2124703 / +255 22 2124704
 Fax: +255 22 2124705
Gaming Board of Tanzania Licence Number 00526. Issued on 2017-12-13.

WAKABET

WakaBet Sport betting:
TIN: 133-619-526
Reg. Company N: 428765
Tanzania, Dar Es Salaam, Ilala District

Office Address:
Ohio Street, 606, Block 39, Plot 778, P.O.BOX: 76421
WASHIRIKA WETU
  - Tigo: +255-07-16123103
  - Vodacom: +255-07-54705000
  - Airtel: +255-07-84105400
  - Halotel: +255-06-20100100
08:00-22:00 Jumatatu mpaka Jumapili
msaada@wakabet.co.tz / info@wakabet.co.tz


© 2019 Wakabet Sport Betting. All rights reserved ®



Triventure Investments Limited


JIFUNZE HAPA KU BETI KISANYANSI BUREEE!!!!!!



JIFUNZE HAPA KU BETI KISANYANSI BUREEE!!!!!!


1.Mambo muhimu kujifunza wakati wa kuanza ku beti

Kama wewe ni mgeni  na ndo kwanza unaanza ku beti  na haufahamu kwa kuazia, basi jua hapa upo mahala sahihi kujifunza na kuwa bingwa.Ku beti mtandaoni (online betting) ni rahisi sana kuliko unavyo  fikiria, hapa chini vime orodheshwa vipengele muhimu vi 5 vyakujua kwa mtu yeyote anaye anza ku beti :

 



 

1.Uelewa mzuri wa dhamira ya ubashiri matokeo  ya michezo mtandaoni.

2. Fahamu aina tofauti za beti.

3.Elewa ni jinsi gani  biashara ya ubashiri matokeo mtandaoni ina endeshwa

4. Chagua kampuni bora ya kubashiri utakayo tumia kucheza.

5.Fahamu baadhi ya vidokezo vya kucheza beti .

 

2. Uelewa mzuri wa dahmira ya ubashiri matokeo ya michezo mtandaoni

Beti katika michezo ni mjumuisho wa jumla ya kiasi cha fedha kinacho husiana na matokeo baada ya mechi au tukio la michezo.

Unapo beti kwenye michezo,unachopata ni kiasi cha pesa ulicho weka kwenye hiyo beti (stake) zidisha na  muamala (Odds) za hiyo beti ulio cheza .

Kiasi cha fedha unacho weka kwenye beti kinaitwa hisa "Stake".

"odds" Hii ni namba inayo patikana kwa uwiano wa malipo kamili unayopata nay ale ya hisa (stake) uliyo weka na inakua katika namba za desimali

Faida katika beti ni kiasi ulicho pata baada ya kushinda beti utoe kiasi cha fedha ulicho weka kwenye beti (hisa), hii inwasilisha kiasi cha mwanzoni ulichowekeza

Chukulia mafano huu rahisi,: Umwamua ku beti mechi kati ya Barcelona na arsenal.. Kampuni imeipa Barcelona kipaumbele kushinda mechi hii kwa mfano, basi hapa kwenye hii mechi kuna mambo matatu muhimu  matatu unaweza kushiriki katika beti hii:

Barcelona anashinda: 1.4

Mechi itaisha bila mshindi (droo)  4.2

Arsenal anashinda 5.8

Mfano kama umeweka beti tzs 1000 kuwa Barcelona anashinda mchi hii, odds za barca kushinda ni 1.4 kwa maana hii ukishinda beti hii utapata jumla ya kiasi cha fedha 1000x1.4  = 1400Tzs. Kwa maana hyo faida yako katika beti hii chukua jumla ya pesa uloshinda toa kiasi cha fedha ulicho weka kwenye beti hii (1400-100=400). Faida yako ni 400Tzs kama uliweka 1000 arsenal anashinda, beti yako ikipita utapata jumla ya fedha 1000x5.8=5800. Faida ya beti hii ni sawa na 5800-1000=4800,.Kama  hukupatia ubashiri wako unapoteza hela yote, 1000 uliyoweka kama beti .

 

 

3. Kufahamu aina tofauti za beti

Kuweza kuwa bingwa wa ku beti  ni muhimu ufahamu aina mbalimbali za ku beti, kila aina ya beti tutakayo zungumzia hapa ina masharti na vigezo, kabda hujachagua beti aina gani unataka ufanye unashauriwa soma kwa makini maelezo, vigezo vya kushirik na sharia ya beti husika.Hapa chini tutajifunza aina tofauti ya beti zinazotolewa na kampuni mbali mbali za ku beti.

Beti moja(The single bet)

Hii ni aina maarufu sana ya beti kwa sasa, kwenye aina hii ya beti mchezaji ana weza kubashiri matokeo  chaguzi tatu tu,( Ushindi timu 1, sare, ushindi timu 2)

Beti ya matokeo matokeo mara 2 (The double chance bet)

Kwenye betii hii kama inavyo jieleza yenyewe, inakupa uhuru wa kuchagua matokeo mawili katika timu moja, (Timu 1 kushinda au droo,Ushindi timu 2 au droo, Ushindi kati ya timu mojawapo W1 au W2)

Beti mjumuisho au mkeka (Combos bet or combined bet)

Kwenye aina hii hapa, ni ngumu kidogo ukilinginishana mbili zilizotangulia kwani inajumuisha beti katika mechi Zaidi ya moja kwa wakati mmoja, hapa ushindi katika hii beti utategemea matokeo ya jumla katika mechi zote ulizo chagua. Na  Odds pia ni jumla ya kila mechi uliyo ingiza katika mechi hii wakati wa ychaguzi

Humu utakutana na maneno "over/under". Tafsiri yake ni over=juu ya…, (Zaidi)  under= chini ya…(pungufu) inategemeana na tukio lilotajwa katika mechi hii, kwa mfano magoli..

Beti matokeo kamili (The exact score bet)

Kwenye aina hii ya beti inabidi mchezaji atabiri matokeo kamili  katika mechi husika..

Bei kipindi cha kwanza/  mechi nzima (The Halftime / Fulltime bet)

Kwenye beti hii inakupa ruhusa kubashiri matokeo katika  meci nzima au kipindi cha kwanza cha mchezo.

Beti ya uso kwa uso (The Face to Face bet)

Beti ya aina hii haihusishi matokeo ya timu bali ni mtu mmoja mmoja, mfano mechi ya box. Unachotakiwa kufanya hapa ni kutabiri matokeo nani anashinda kati ya wawili wapambanao..

Handicap bets

Katika beti hii kampuni ya beti inaipa timu dhaifu uongozi ambapo utaongezewa kwenye matokeo ya mwisho. Beti hapa itahusika katika matokeo aina tatu ( ushindi timu 1, ushindi timu 2, droo).

Asian handicap betting

Hii ni kama beti iliyo zungumziwa hapo juu, tofauti kwenye hii asia handicap matokeo ya droo hayajumuishwi (hayahusiki)

 

 

4.Elewa ni jinsi gani biashara ya kubashiri matokeo mtandaoni inaendeshwa

Kabda hujachagua kampuni yak u beti ,tizama kwanza ni kwanjia gani kampuni inajishindia

 

Kwa uelewa Zaidi tuchague mechi ambayo imepewa matokeo  sawa kama droo.(hakuna mshindi). Kwa kawaida odds katika huu uchaguzi ni 1.9. mchezaji anapo beti 1000 tzs akishinda anapata faida 900Tzs.Kampuni itaingia mfkoni na kumpatia mtu mwenye bahati aliyeshinda 1900Tzs..

Hapa nataka nikupe mwongozo kwamba uliposhinda hii beti kwa droo sio kwamba umeikomoa kampuni, kampuni hata siku moja haishindwi, hapa mnashindana wenyewe kwa wenyewe. Wewe  umepatia mechi imeisha droo, mpinzani wako hapa ni mchezaji mwenzako aliyechagua matokeo ya ushindi kwa moja wapo ya timu. kwa Kiswahili kirahisi watu walopoteza hela kwa kusema W1 au W2 wameipa kampuni fedha nyingi na kampuni inachukua kiasi hicho kikubwa ilichopata, inakulipa wewe ulosema mechi ni droo..

Hii inatufundisha ili uweze kushinda beti inabidi uichambue kwa makini mechi unayotaka ku beti..

 

5. Chagua kampuni bora utayo tumia ku beti.

Uchaguzi wa kampuni bora yaku beti

Kuna kampuni nyingi sana za ku beti katika mtandao, kuchagua na kuweza kufahamu kwamba una beti katika kampuni madhubuti inaweza kuwa tatizo sana kwa wachezaji.

Kukusaidia kufanya uchaguzi sahihi tume ainisha baadhi ya vigezo muhimu hapa chini :

Uchaguzi kampuni bora ya kubashiri matokeo mtandaoni

Kuweza kujihakikishia usalama wa fedha zako unazo shinda kwenye beti, ni muhimu kuchagua kampuni ambayo ipo kwenye biashara  hii muda mrefu na pia iwe safi kwa maoni ya wachezaji..

Kwa ushauri tizama hapa Ratings of bookmakers.

Aina za michezo iliyopo

Kabda ya kujiunga kwenye kampuni yaku beti, tunakushaurib tizama ni michezo mibgapa ambayo imejumuishwa kwenye hiyo kampuni.

Matukio ya michezo

Baadhi ya kampuni hutoa matukio ya kubeti Zaidi ya 100 kwenye beti moja hii inafanya beti iwe na ladha zaidi.

Mrahaba (Odds) za kuvutia

Odds ndio zinzofanya beti uliyo fanya iwe na faida pindi unapo shinda, kwa mantiki hii inakulazimu kuchagua kampuni inayo toa odds (mrahaba) mkubwa

Bonansi

Kampuni nyingi za kubeti mtandaoni zinatoa aina mbali mbali za bonansi kwa wateja wao, itakubidi  kutizama kampuni inayo toa bonansi bora Zaidi kwani hii itakusaidia kuongeza kiasi cha fedha kwa kutumia hizi bonansi

Huduma kwa wateja

Kupata majibu na utatuzi wa maswali mengi itakulazimu kuchagua kampuni ambayo inatoa huduma hii kwa masaa 24/7 na iwe inatumia njia nyingi Zaidi za mawasiliano.

 

6. Fahamu baadhi ya vidokezo vya ku beti

Ukiondoa bahati, kuna vidokezo na mbinu tofauti vingi sana ambazo ukizifahamu itakusaidia kuongeza uwezo wa kushinda na kujiongezea kipato kwa ku beti.

Hapa ni baadhi ya vidokezo muhimu kufahamu:

- Beti katika kiasi kidogo cha mechi

Uwezekano wa kushinda beti yako unapungua kutokana na kuongezeka kiasi cha mechi unazo weka kwenye mkeka. Tunashauri usizidishe meche 5 kwenye mkeka. Kama ukichagua kuanzia mechi 5 kushuka chini nafasi yako ya kushinda mkeka ni kubwa zaidi-

Unapo beti chagua odds zilizo za wastani

Hapa tunamaanisha huna haja ya kuchagua odd (mrahaba) mkubwa sana ambapo ki uhalisia kushinda nafasi ni finyu sana, jiepushe kutumia mrahaba (odds) zinazozidi 2..

- Kuwa mvumilivu

Sisi sote tunahitaji kushinda kila siku,, Ila siku zote mshindi ni aliye na uvumilivu.Jiepushe ku beti katika kila mchezo au kila tukio unaloliona mbele yako, jaribu ku beti katika mchezo unao uelewa vizuri.

- Fuatilia utafiti wa timu kwa undani zaidi

Kabda hujachagua mechi ya ku beti, tunakushauri tizama mirahaba (odds), matokeo ya kila timu kwa mechi zake za nyuma,

- fuatilia ukuaji wa klabu

Kwa kutizama ukuaji wa mirahaba, unaweza kupata njia ya kuwea beti yenye tija Zaidi.

- Tumia kwa busara mtaji wako

Hata siku moja usiache fedha unazoshinda kwenye akaunti yako ya kubetia

 

 

 Share


 Tweet


INFO






MOST POPULAR BLOG ARTICLES

JIFUNZE HAPA KU BETI KISANYANSI BUREEE!!!

Mambo muhimu kujifunza wakati wa kuanza ku beti

05.06.2018

JINSI YA KUJIUNGA NA 1XBET TANZANIA

1xBet ni kampuni ya mikeka ambayo ni bora na iliyokidhi vigezo vya ...

31.05.2018

TANGAZO TANGAZO, TANGAZO WADAU WOTE 1XBET.

kutokana na Maombi ya wadau wengi, kwa members wetu wote wa magroup...

07.06.2018

JINSI GANI UNAPATA BONAS YA KUJIUNGA 1XBET.?

JINSI GANI UNAPATA BONAS YA KUJIUNGA 1XBET.?

01.06.2018

 

 

King Mafla furniture design


Lang:                                                                    English                                                                    Kiswahili                                                             

Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi


PRIMARY MENU

Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi

Kwanza kabisa ninaomba nieleweke ktk hili, kama ambavyo Serikali imeagiza kwa mujibu wa sheria kuwa watoto wote (umri chini ya miaka 18 kubashirihawaruhusiwi kubashiri, hivyo basi sitegemei maelezo haya yakatumiwa na mtoto chini ya miaka 18.

Kama Umetimiza umri wa miaka 18 na kuendelea tafadhali tumia maelezo haya kama yalivyo, ukiyakiuka ukafeli au kuliwa pesa zako sitahusika.

Kama ambavyo watu wengi wamezoea kubeti karibu kila siku bila mafanikio, basi leo ninakuletea maujanja fulani hivi halafu twende sawa.

Kutokana na kuwa maelezo haya hayajakopiwa sehemu yoyote, basi ninaomba nikupe sheria zangu kwanza kabla hata haujaanza kubeti.

Sheria na Onyo kabla ya Kubeti

Kuanza kubeti kwa njia hii haijalishi kama unafahamu timu, au historia ya timu, sababbu utatumia akili za Software maalum


Unapobeti katika makampuni yoyote haupaswi kuwa unaongelea mikeka ya watu wengine kwa kuwatania kuwa hatashinda (utajichafulia nyota ya ushindi)


Katika kila mkeka hautakiwi kuweka timu zaidi ya 4


Hakikisha kila timu unayoweka umeitoa ktk Software hii nitakayokuonyesha hapa chini


Kama ndio mara yako ya kwanza kubeti na haujazoea kuliwa pesa zako basi ninakushauri kubeti kwa kiwango kidogo sana kwa kila mkeka, kwa mfano unaweza kuweka shilingi mia tano (500/=) kwa kila mkeka


Sheria ngumu ni hii hapa, hautakiwi kuwaza kushinda pesa nyingi kama mtaji wako ni mdogo


Aindha kwa wale wenye mitaji mikubwa wanaweza kuweka hadi kiwango cha laki na nusu kwa mkeka mmoja


Hakikisha kila mkeka unaoweka hauzidi Odds 5 (yaani ukizidisha points zote za timu zako ulizozipa ushindi basi zisizidi point 5)


Hautakiwi kubeti kila siku kwa sababu kuna siku zingine hakuna timu za ushindi zinazocheza


Ukitaka kubeti na kula kila siku basi utaweza endapo utakuwa mvumilivu kwa kiasi kidogo utakachokuwa unakipata


Ukibeti usimuonyeshe mtu mkeka wako (kwa mfano ukiwa unasafiri halafu watu wakakuombea ajali basi utasafiri kwa wasiwasi) same applied kwenye mikeka, kuna watu wana mikosi, yaani huwa hawashindi, na watu hao wakitazama mkeka wako wakakosoa timu 1 tu basi utapata wakati mgumu sana kushinda


Mwisho kabisa, Kubeti ni Siri na sio Matangazo


Baada ya Sheria, sasa twende kwenye hatua za uchaguzi wa timu

Kwanza kabisa unatakiwa uwe na smartphone au uazime ya mtu mwingine


Fungua playstore


Tafuta application imeandikwa (Football Prediction) chini yake utaona neno (SauzanaProd)


Ukiandika hilo neno Football Prediction kwa usahihi basi itatokea ya kwanza kabisa na picha ya ni hii hapa chini,


Baada ya kuipata sasa install na uifungue


Ukifungua ndani utaona imefunguka kama picha hii hapa chini inavyoonyesha,



Kama inavyofahamika kuwa (1) ashinde wa nyumbani, (2) ashinde wa ugenini na (x) ni droo, sasa basi ukiangalia picha hiyo hapo juu utaona kuna sehemu imekolezwa rangi nyekundu, na ndani ya hiyo rangi unaona namba


Kwa mfano Mechi ya kwanza hapo anacheza (Santiago) dhidi ya (Colo Colo) ukiangalia kulia mwao utaona upande wa (1) kuna namba 23, upande wa (2) kuna namba 50, maana yake hizo ni asilimia za Ushindi, yaani hapo wanakwambia kuwa (Colo Colo anaushindi kwa asilimia 50)


Onyo ⇒ huwa tunachukua timu zenye asilimia kuanzia 70 na kuendelea, na ukipuuza kwenye hili basi tusilaumiane


Kwa mfano subiri siku anacheza (Real Madrid, Barcelona, Bayern, Borusia Dortmund, Atletico Madrid, PSG, na wengine wengi tu ambao huwa wanaitwa wa uhakika) kisha njoo huku kwenye hii application angalia kwa umakini sana, kama wamepewa Asilimia chini ya 70 basi ujue wana game ngumu na wanaweza kutoa suluhu au kufungwa


Zipo timu nyingi sana ambazo utakuta zina asilimia 70 na kuendelea, basi usiwe na tamaa sana, fuata sheria zangu, kuwa kila mkeka weka timu 3 au 4 baaaaas, kisha weka mia tano yako kula elfu 3 au 5, na kwa wale wenye mitaji basi mtavuna


Kuna ile tabia ya kujaza timu nyingi, ndio hiyo pia ni nzuri lakini unatakiwa kuifanya kwa kutumia Megamix, angalia vizuri hapo kwenye picha hiyo juu utaona chini ya saa pale kuna kama kigaloni (lahasha hicho sio kigaloni bali ni kalenda, hivyo basi ukikibonyeza tu kitakuletea mechi nyingine za siku 3 mbele


Basi, chagua timu zenye asilimia 70 na kuendelea kisha ziunganishe (hata zikifika 6,7 au 8 sio mbaya) kisha weka ktk mkeka mmoja, weka mpunga na iwe siri yako


Siku ukikosa timu hizo za asilimia 70 basi chukua mwisho 60 baaaas


Tafadhali usikiuke sheria zangu kwani utamchangia Muhindi, Mchina na Mzungu mpaka siku yako ya Mwisho unapoiaga betting


Nani anasema betting ni kamari?

Kamari = Unatumia jasho lako na kwa wakati huohuo unapata au unakosa ulichokitolea jasho

Bahati nasibu = Hautoki jasho wewe, anaetoka jasho ni mwingine na utapata au kukosa ulichokibahatisha baada ya muhusika kushinda au kushindwa

Ukibeti kwa akili zako hizohizo za kila siku ambazo hazina kitu kipya utaumia kichwa, ninakushauri ubeti baada ya kuangalia timu kwenye hii application kwani kila siku timu zinasajili wachezaji na uwezo unaongezeka, na hii application inaonyesha uwezo wa timu kwa kutumia huo mfumo wa asilimia.

Kama hupendi kubeti au unachukulia kubeti ni kamari basi kwenye hii posti pita kama haujaona kitu, tuendelee na maisha ya kila siku.

Powered by Max IT Club

Rudi Juu Ya Page

Rundi Mwanzo

 

Advertisements


REPORT THIS AD

REPORT THIS AD

Like na Kushare Site Yetu

SHARE


Telegram


WhatsApp


Share


30 THOUGHTS ON “NJIA NYEPESI ZA KUBETI NA KUSHINDA MAHELA MENGI”

JOSIAH

September 1, 2016 at 10:42 am

Hahaha,,, nilkua naitafuta kitambo xaana,,, Naxhukukru Max,,

Liked by 1 person

Reply

MAXDULLAH

September 6, 2016 at 9:30 am

pamoja ana Josiah

Liked by 1 person

Reply


VITUS

December 20, 2016 at 10:32 am

Naomba unisaidie ukisha bet kwenye simu pesa unaipataje na kwa njia gani

Like

Reply

VITUS

December 20, 2016 at 10:53 am

Naomba unitumie hapahapa maana email inagoma kuangalia

Like

Reply

BENJAMIN

October 10, 2018 at 10:36 pm

Brother mambo vp

Like

Reply


KELVINHO HUNJU

December 31, 2016 at 12:58 pm

Ahsante sana blaza tisha xana mzazi

Like

Reply


LENUS MSIGALA

January 15, 2017 at 4:18 pm

Tupo pamoja max,endelea kutulisha chakul cha bongo zetu.Respect to u brothr

Like

Reply

HERRY MBILINYI

January 31, 2017 at 4:17 pm

Sasa inakuwaje kuripia sasa

Like

Reply


MIKEPERRES

June 12, 2017 at 11:36 am

hakuna program nyingine kaka?

Like

Reply


JOHN VEDASTO

August 9, 2017 at 11:14 pm

sasa ukibet unazipataje izo ela maan sijaelewa mm

Like

Reply

SALUM

August 29, 2017 at 3:20 pm

Namba ya simu uliyo tumia kujisajilia katka kampuni ya kubetia Mf….Mbet ndipo utakapo shinda iyo hiyo hiyo watakayo kutumia pesa….

Like

Reply


NTALE

August 18, 2017 at 9:17 pm

nice one

Like

Reply


DANFORD NGAJENI

September 5, 2017 at 1:29 pm

Najisajilije na pesa baada ya kubeti naitumaje kwa njia ya simu?

Like

Reply


MESHAKI MTENGA

September 7, 2017 at 8:44 am

Yeeeeee tunazidi kuliwa tuu hamna lolote

Like

Reply


PASCHAL MAHONA

September 15, 2017 at 11:54 am

pamoja sana mzazi

Like

Reply


JOSEPHAT MTWEVE

September 24, 2017 at 12:39 pm

Pamoja sana mkuu,

Like

Reply


YOBOY

October 2, 2017 at 1:10 pm

ok sawaaa

Like

Reply


ASAJILE

December 17, 2017 at 2:19 pm

Mmh hiyo app niliwai kuitumia kitambo flan nikaona ina wrong xana

Like

Reply


BABA SHAQUR

January 3, 2018 at 3:55 pm

Betting ni umaskini,tafuteni kazi xingine za kufanya..haya maneno yasiwafariji,we cheza 1000/- yako mi naitia kwenye kibubu,siku ukila na mie navunja kibubu changu tuone.

Like

Reply


EMANUEL ATILIO

March 19, 2018 at 12:07 pm

umewsomeka sana kaka asante

Like

Reply


HUSSIN KAKOSSO

July 6, 2018 at 10:08 am

sawa mkuu na alama za kubeti zinakuwaje

Like

Reply


MANDELA

July 21, 2018 at 12:46 am

Sorry naombeni tuwe tunachambua na 12 perfect

Like

Reply


TYSON

August 27, 2018 at 11:52 am

nataka kuifanya beti kamanjia yakunipatia kipato naomba unisaidie mbunu zaidi kaka

Like

Reply


MWANAMALUNDI TZ

September 10, 2018 at 8:25 am

UMESOMEKA MKUU IKO SAWA KABISA

Like

Reply


ADAM

October 29, 2018 at 3:19 pm

Hamna kitu hapa

Like

Reply


GGG

February 16, 2019 at 8:37 am

Jamani Fanyen Huruwa Mi Bonanza La Mchina Linaniumiza

Like

Reply

MANDELA MLAKI

February 18, 2019 at 11:40 am

Ww kwa uelewa wako unaweza tengeneza correct score

Like

Reply


DAVID

March 21, 2019 at 9:25 am

Nimejiunga na premium member lakin bado sijaunganishwa naomba msaada wenu nimejiunga kwenye app yenu
Nimelipia kupitia tigo pesa namba yangu ni 0674261127

Like

Reply


JAPHET SAMSON

April 14, 2019 at 6:32 pm

ngoj nijarb

Like

Reply


TARABTY

May 7, 2019 at 1:49 pm

sawa sawa tuna fanya ili tukuze kipato maana maisha magumu sana sana

Like

Reply


LEAVE A REPLY

Your email address will not be published.Required fields are marked *

Comment 

Name * 

Email * 

Website 

 Notify me of new comments via email.

HABARI YA MOTO SANA

Habari Mpya Za IT/WanaIT


Kuactivate Windows


Antivirus Nzuri


MASOMO YA AWALI NA KINA

Masomo 10 Ya Awali Yapo Hapa


Masomo 13 Ya Kina Yapo Hapa


ZILIZOSOMWA NA WALIO WENGI

Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi


Kuangalia Chaneli Za Televisheni Za Tanzania Kwa Kutumia Simu Au Computer


Kutest Power Supply Ya Desktop Computer Kama Nzima au Mbovu


Mbinu za ushindi kwenye Kubeti


Masomo 10 Ya Awali Yapo Hapa


Yaliyojiri Leo


Unajua Namna Ya Kutafuta Simu Iliyopotea?


Fahamu MB unazotumia Na Spidi Ya Internet Ya Simu Yako Kwa Urahisi


Faida za kufanya usafi na Hasara za kutokufanya usafi ktk Computer Yako


MAWASILIANO

Dar Es Salaam, Tanzania

0767251022 au 0656251022

Siku Za Kazi = JumaTatu hadi Jumamosi 

Masaa Ya Kazi 
Kuanzia = Saa Mbili (2) Asubuhi 
Hadi = Saa Kumi na Mbili (12) Jioni

Advertisements


REPORT THIS AD

Search for:

UTUNDU BY MAX IT CLUB

Mbinu za ushindi kwenye Kubeti


Faida za kufanya usafi na Hasara za kutokufanya usafi ktk Computer Yako


Fahamu MB unazotumia Na Spidi Ya Internet Ya Simu Yako Kwa Urahisi


Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi


Zuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Computer Yako


Kuangalia Chaneli Za Televisheni Za Nje Ya Tanzania Kwa Kutumia Simu Au Computer


Kuangalia Chaneli Za Televisheni Za Tanzania Kwa Kutumia Simu Au Computer


IDADI YA WAGENI WALIOTUTEMBELEA

84,414


MAY 2019MTWTFSS    12345678910111213141516171819202122232425262728293031 

Powered by WordPress.com.