Tafuta katika Blogu Hii

Jumatano, 2 Novemba 2016

LADY JAYDEE APATIKANA NA HATIA, KESI YAKE NA CLOUDS MEDIA GROUP

Lady Jaydee Apatikana na Hatia, Kesi Yake na Clouds Media Group
Kamgisha brogg/ 9 hours ago

 Soma:MWILI WA BONDIA THOMAS MASHALI WAAGWA LEO LEADERS CLUB,KUZIKWA JIONI YA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
Mahakama ya wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imemkuta na hatia ya Judith ‘Lady Jaydee’ Wambura katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Clouds Media Group miaka takriban mitatu iliyopita.Hukumu hiyo imetolewa Jumatano hii (November 2) na Hakimu Boni Lyamike. Katika kesi hiyo, Lady Jaydee alifunguliwa mashtaka na Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Joseph Kusaga pamoja na Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba ya kuwachafua/kuwakashfu kupitia blog yake.
Soma:TAZAMA PICHA KALI KUTOKA KWA MREMBO HUYU NI BALAH

Hakimu huyo amemwamuru Lady Jaydee kuwaomba wawili hao radhi kupitia vyombo vya habari kwa kuchafua taswira zao na pia kuwalipa fidia kutokana na madhara waliyoyapata. Jide atatakiwa kulipa gharama za wanasheria ilizotumiwa na Clouds Media kwenye kesi hiyo.

Jaydee aliyekuwa shahidi pekee kwenye kesi hiyo alikiri kuandika maneno ya kuwachafua Kusaga na Ruge kupitia blog yake.

Moja kati ya maneno yaliyomtia hatiani Jaydee ni wosia aliouandika May 2013 kupitia blog yake.

Wosia huo ulisomeka:
Soma:CHECK VIDEO MTOTO MWINGINE ALIYEZUA MAMBO MTANDAONI,ANAJUA KILA KITU LIVE

Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi. Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari. Nasimama na kusema kuwa sitokata tamaa, kwani lengo lao kubwa ni kuona na kuhakikisha nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.

Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu mwenye maamuzi yangu na misimamo yangu bila kuburuzwa. Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote unakatika, na hiyo ni kutaka kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwa hakuna msanii anaeweza ku survive bila wao.

Mimi ni msanii tofauti na hao mnaofikiria. Nadhani mnafahamu tangu niachane na Tuzo zenu mnazo influence nani apate nani asipate, na tangu niachane na Fiesta nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho na kuamua kuunda Band ili nijiajiri na kupata shows zangu mwenyewe, ikafanikiwa sana jambo ambalo limewauma na kuamua kufanya kitu cha kuiangusha Band yangu.

Nita survive kwa njia zozote MUNGU alizonipangia. Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi kabisa, Naamini fika hawataweza kunipenda hata siku nitakapokuwa nimekufa. Na huu ndio wosia wangu kwa watu hao. Natambua wanaweza kutumia redio yao kutangaza sana kifo changu na kusema marehemu alikuwa mtu mzuri na pengine kupiga nyimbo zangu kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu. Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige. Enyi mtakaokuwa hai baada yangu. Kama wamenifitini, na hawajanipenda nikiwa hai. Hakuna haja ya kujifanya kunipenda nikiwa marehemu. Sina haja wanipende pia kwakuwa mimi sio ndugu yao, Ila ubaya wanaoundeleza mioyoni mwao wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.

Niliamua kujiepusha nao miaka mingi na kufanya biashara zangu, nimekaa kimya watu wanafikiri nabebwa lakini sijabebwa chochote sikutaka ugomvi haya mambo yalianza baada ya Album yangu ya pili ya Binti mwaka 2003 nilipojitoa Smooth Vibes chini ya Ruge.

Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka. Na hii ni kwasababu wanaogopa msanii akiwa mkubwa watashindwa kumuamrisha, Hamuwezi kumiliki dunia..
Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..

Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??.

Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu. Mnawatishia wasanii kuwa yoyote atakaefanya nyimbo na mimi hazitapigwa, vikao vinne mmeshakaa kunijadili. Mnadhani je! nitapungukiwa nini endapo wasanii wengine wakiacha kufanya kazi na mimi?? nyimbo hazitakuwa nzuri.

Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni nani, Binadamu nani?? Kwahiyo mtaamrisha watu pia wasikae na mimi?? Ilikuwa niseme majina matatu huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili. Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu. Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma?? Roho gani hiyo?? Naishia hapo na sitabatilisha kauli yangu

Meneja wake, Seven Mosha, ameiambia Bongo5 kuwa Lady Jaydee atatoa maelezo yake kuhusu hukumu hiyo muda si mrefu.

January 8, 2014, Ruge alizungumza kupitia kipindi cha Power Breakfast kuhusu tuhuma mbalimbali alizowahi kutupitiwa na Jide ikiwemo hila za kuipoteza bendi yake ya Machozi.

Alisema anasikitishwa na jinsi Jaydee anavyoendesha harakati zake na kudai kuwa anapigana kwenye vita isiyo sahihi.

“Jaydee akaze buti, anapigana na wrong war, vita yake ameidirect tofauti na mizinga yake, bunduki zake amezielekeza kusiko. Skylight Band inamsumbua, akubaliane na ukweli kwamba Skylight ndio iliyoisababishia Nyumbani Lounge kushuka ilivyoshuka, sio Lady Jaydee kama msanii. Vita yake na bunduki zake azielekezee Skylight Band. Hajazungumza hata mara moja kwamba ndio kitu kinachosumbua. Mimi naamini kabisa akifanya hiyo kazi, Jaydee bado ni msanii mzuri, ana nguvu, afanye kazi kubwa ya kuweza kurudisha mapambano yake kisanii, kufanya kazi na aangalie tatizo lililotokea Nyumbani Lounge labda anaweza akatatua matatizo lakini sio kushambulia watu kwenye mitandao,” alisema Ruge.

Pia alisema yupo tayari kukaa meza moja na Lady Jaydee kuzungumza na kumaliza tofauti zao.

“Mimi niko tayari, kesho, kesho kutwa, kama yupo tayari na ana watu wengine wengi tu ambao wanahisi kuna matatizo binafsi ya kuongea na Clouds, twende sehemu nyingine neutral tu, tukodishe, tukae pale tusikie matatizo. Haisaidii muziki wetu kuonekana Bongo Flava ni watu ambao kutwa ni kulalamika, kutwa ni maneno na matusi tu pale panapokuwa na matatizo.”

Bongo5
The only paperwork needed is a signed, clear title. Please have your title with you when you call in your donation. A clear title indicates the title is in the name of the donor without a lien.

Will I get a tax receipt for my donation?
Yes, you will receive an IRS Form 1098-C in the event that the sale of the vehicle exceeds $500. If the vehicle does not exceed $500, the thank you letter that you will receive can be used as a tax receipt.

How does the tax deduction work?
You can deduct the value of the vehicle only if you itemize deductions. A receipt indicating the vehicle sales price will be sent to you within a few days after the pickup of your vehicle. Please consult a tax professional for further information.
If your vehicle is operable, it will be auctioned at the monthly Salvation Army online auction. It typically results in a much higher sale price for vehicles compared to sales at conventional car auctions. The price it sells for at auction will determine the amount of your tax deduction, according to new IRS rules. The Salvation Army will mail you the information for your tax records within 30 days of the sale. If your vehicle is not operable, the Salvation Army will make arrangements to pick up the vehicle and you will receive the information for your tax records within 30 days of its salvage.
Visit website

View comments

By donating your vehicle to the humane society of the United States, you'll be helping animals and people

By donating your vehicle to The Humane Society of the United States, you’ll be helping animals and people
BONGO YETU / 7 hours ago

How does the tax deduction work?
Read:Man Stuc k In Friend’s Wife While Com mitting Adu*lte.ry(Download Video)
You can deduct the value of the vehicle only if you itemize deductions. A receipt indicating the vehicle sales price will be sent to you within a few days after the pickup of your vehicle. Please consult a tax professional for further information.
What can I claim as a deduction?Read:Amazing Snake: Big Anaconda attack Plane Watch Video
According to the tax law effective January 1, 2005, if the claimed value of the donated vehicle exceeds $500, the taxpayer is limited to the gross proceeds of the sale. An IRS Form 1098-C, “Contributions of Motor Vehicles, Boats, and Airplanes” will be mailed to you within 30 days of the sale stating the amount of gross proceeds received from your car, provided your vehicle sold for more than $500 and you have submitted your social security number. This will be your tax receipt for your charitable contribution. Please consult a tax professional for further information.
Visit website

View comments

MBINU MBALIMBALI ZA KUMPATA MWENZI BORA

je wajua,zifahamu mbinu mbalimbali za kumpata mwenzi bora
Kamgisha brogg / 31 minutes ago

KILA mtu anapenda kuwa na mwenza mzuri, mwenye kumfaa katika maisha yake. Hata hivyo kwa bahati mbaya ni kwamba wengi wanashindwa kupata wenza wazuri. Ziko sababu nyingi lakini kubwa ni uwezo wa mtu wa kumtambua mwingine na kujua kama ni kweli anafaa au anafaa  kuendana nae au la.Wakati wa uchumba, wengi wa watu huonekana kutumiana kadi, zawadi na mambo mengine  mbalimbali yenye lengo la kuonyesha wanapendana.

Aidha, wapo ambao wanashindwa kujua namna ya kutongoza; kwa ujumla kutongoza ni uwezo wa ushawishi kwamba unamwambia mwanamke unamuhitaji na kumpenda awe wako au wakati mwingine hata mwanamke anaweza kuanza.
Ndio ukweli wenyewe

Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza. Kuna wengine hata kumsimamisha mwanamke hawezi au anaogopa. Ndio unaweza kukuta mwanamume anajikanyaga namna ya kuongea.

Wapo wengine wanafikiri njia sahihi ya kutongoza ni kuhonga aidha fedha au mali nk, lakini sicho hasa wanachotaka wanawake au wanaume katika mapenzi.

Maneno ya kusikia kutoka kwa wanawake
Wakati wa kumtongoza mwanamke tarajia maneno kama;

1. Nina mume au mchumba
Inakuwa kuwa ni kweli au njia ya kukataa

2. Niko bize na kazi`
Hii humaanisha kwamba hana muda wa kuzungumza au hata kuonana, ni dalili pia ya kukataa au kuvuta muda ili aendelea kukutafiti

3. Nimeokoka nampenda Mungu
Hii huwa na maana kwamba yeye ni mtu asiyependa uchafu hasa kama unamtongoza kwa lengo la kufanya ngono tu

4.Mimi nasoma, sitaki hayo hadi nimalize
Sitaki! Ni kwamba anaweza kujisemea kwamba hataki uhusiano uwepo. Anaweza kueleza sababu au kutoeleza.

6. Wewe sio mwanaume wa aina yangu;
Hapo huwa mwanamke anamaanisha labda una sifa tofauti na anazotaka, huenda wewe mwanaume ni mfupi, mweusi au tabia zingine zozote ambazo haziendani nae.

Msingi wa kuomba urafiki 
Kwa mwanamume mwenye umakini, huwa hakosi kupata anachotaka. Jiwe lake lazima litapiga anachokitaka, hasa kama atakuwa mwenye kufanya utafiti wa kina kabla ya kuamua kufanya kitu. Msingi sahihi wa kutongoza ni kufanya utafiti na kuongea kwa mitego, kabla ya kumfikia msichana unayemuhitaji.

Kwa mfano badala ya kusema twende tukale chakula cha mchana, sema utakuwa na muda kweli tukale, au uko bize? Maana yake ni kwamba huenda ni kweli akawa bize au la, lakini kama hataki atakwambia niko bize kama ndivyo unaweza kumuuliza nikuletee nini ninapotoka kula. Kwa namna anavyojibu vibaya au vizuri unaweza kupata mwelekeo wa nini unaweza kujibiwa kama unaongea wazi unachokitaka kwake.

Wanawake wanajua fika nini ambacho mwanaume anakitaka anapoanza kuongea hiki na kile, mara nyingi huwa wanafanya kana kwamba hawajui.

Mambo ya kuzingatia katika hatua ya uchumba
Ukweli ni kuwa uchumba ni wakati mzuri sana wa kuangaliana tabia ili hatimaye kuwa na chaguo jema. Hata hivyo ili kuwa na uhusiano mzuri ni lazima kufahamu kuwa wanadamu wanatofautiana, aidha kitabia au kimuonekano. Ni lazima kujifunza namna gani unaweza kuishi na watu wengine wenye hali tofauti.

Unaweza kuona watu wanatofautiana kitabia, huyo ni mzunguzaji sana, mwingine ni mpole, kiasi kwamba hata ukiwa nae ni kama uko peke yako. Kumlazimisha asiye na uwezo wa kuzungumza sana, awe mzungumzaji, sio sahihi sana, wala kumzuia mzungumzaji asifanye hivyo, pia sio sahihi
Wachumba wanaweza kutofautiana kwa kiwango cha elimu, uchumi, ufahamu juu ya mambo mbalimbali, kikabila, umri na hata kwa rangi pia. Kufahamu hili ni suala la msingi sana ili kuhakikisha.

Ingawa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilazimisha kwamba wawe wanaoana na wale ambao ni wa kutoka kwenye madhehebu yao tu, wachumba wanaweza wakatoka katika madhehebu/makanisa tofauti na hili ni kwa kuzingatia madhehebu/makanisa mengi yaliyopo.

Jumanne, 1 Novemba 2016

Sorry madam

ILIPOISHIA
Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti
yake ya bandia nikiificha kwa nyuma ili
asiione.Madam Mery akanitazama kwa
macho yanayo ashiria kitu ila sijui ni kiti
gani na taratibu akaanza kupita mbele
yangu na kwenda alipo tundika taulo lake
na kuanza kujifuta maji huku akiwa
amenipa mgongo huku mguu wake mmoja
akiuweka juu ya meza kisha akainama
kidogo ili kuvifikia vidole vya mguu huo alio
uweka katika meza na khanga aliyoivaa kwa
jinsi ilivyonaatana na mwili wake imeingia
kidogo katikati ya mstari wa makalio yake na
kuyafanya yagawanyike kama vilima viwili
vya Kibo na Mawezi tunavyoviona katika
mlima Kilimanjaro
ENDELEA
Madama akaendelea na kazi yake ya
kujifuta maji pasipo kunijibu
chochote.Nikapiga hatua za taratibu huku
nikinyata kuelekea mlango wa kutokea ndani
ya chumba hicho kabla sijaufungua Madam
Mery akaniita
“Eddy unakwenda wapi?”
Swali la Madam likanifanya nikae kimya
wala sikujua nijibu kitu gani kwani
ninapokwenda ninapajua ni sebleni ila jinsi
ya kuzungumza nikajikuta mdomo mzima
unakuwa mzito kama ninakunywa uji wa
dengu.
Madam akageuka na kunitazama jinsi
ninavyo babaika mlangoni nilipo simama
“Umeficha nini huko nyuma kwako?”
“Eheeee!”
“Nikitu gani ulicho kificha huko nyuma
kwako?”
Nikakaa kimya huku nafsi yangu
ikinishawishi niitoe karoti ya bandia
niliyoikuta chini ya uvungu nikitafuta panya
kuepuka kujiongezea matatizo kwani hapo
nilipo ninatatizo la kusimamishwa masomo
kwa wikimoja.Nikaitoa karoti yake ya bandia
na kumuonyesha Madam nikadhani
atakasirika ila nikashangaa akitabasamu na
kutoa kicheko kidogo
“Iweke tu hapo kwenye kitanda”
Nikaiweka kitandani huku akiwa
ananitazama kwa umakini.Nikafungua
mlango na kutoka na kwenda sebleni kukaa
huku nikiyasikilizia mapigo yangu ya moyo
jinsi yanavyo kwenda kwa kasi japo kuna
baridi kali ila jasho usoni lina nitiririka.
Baada ya muda kadhaa Madam Mery
akatoka chumbani kwake huku akiwa
amevalia nguo nyingine zilizo mpendezesha
na kuzifanya umbo lake kuonekena viziri
huku nywele zake ndefu akiwa amezibana
kwa nyuma
“Sasa mwanangu mimi ninaondoka
tutaonana mchana.Kama utahitaji kunywa
chai utachukua mkate kwenye friji pia kuna
soseji kama wewe ni mlaji unaweza kuzila”
“Sawa Madam je chai ipo wapi?”
“Chai sijapika.Njoo nikuonyeshe jikoni”
Nikanyanyuka na Madam akaende
kunionyesha jiko lililopo humo humo ndani
ya nyumba yake ambayo kila kitu muhimu
kinachohitajika katika nyumba kipo ndani
na imezungushiwa ukuta mrefu.
“Si unaweza kutumia jiko la gesi?”
“Ndio”
“Basi ukiwa na njaa chai utakuja kuipikia
hukuu.Eheee kuna jengine?”
“Mmmmm hakuna”
“Sasa mbona hujaniuliza visufuria vipo wapi
au utapikia mikono yako?”
Madam alizungumza huku akinipiga kibao
kidogo cha shavuni huku akitabasamu na
kunifanya nibaki ninashangaa.Nikazidi
kushangaa zaidi pale Madam Mery alipo
nipiga busu la mdomoni na kutoka ndani ya
chumba hicho cha jiko huku akitingisha
makalio yake na kuelekea zake shule hata
visufuria akasahau kunionyesha ameviweka
wapi.
Nikarudi sebleni nikachungulia dirishani
kama Madam Mery tayari ameshatoka
getini.Nikamuona ndio analibana vizuri geti
la kuingilia katika nyumba hii.Nikaiwasha TV
(Luninga) ambayo mwanzoni nilikuwa
nimeizima kutokana na filamu ya.......
==> Endelea Nayo <<kwa Kubofya Hapa>

http://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1135880/ Kwanini Nyerere aliondoka madarakani?

LIST MPYA YA WACHEZAJI 10 WANAOLIPWA MSHAHARA MKUBWA DUNIANI ,AFRIKA YUPO MMOJA TU

List mpya ya wachezaji 10 wanaolipwa mshahara mkubwa duniani, Afrika yupo mmoja tu
KAMGISHA BROGG / 6 hours ago

List mpya ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani imetoka October 31 2016. Staa wa timu ya taifa ya Wales ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Gareth Bale ameingia katika TOP 3 ya wachezaji wa soka wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani ambapo ameingia katika list hiyo kutokana na mkataba wake mpya alio saini na Real Madrid.

Mchezaji kutoka Afrika yupo mmoja tu katika list hiyo, kiungo wa Man City na raia wa Ivory Coast Yaya Toure yupo nafasi ya 10 katika list ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani.

UNAIJUA THAMANI YA MSAMAHA KATIKA MAPENZI?

Hebu jiulize unaelewaje juu ya msamaha? Umewahi kuomba, kuombwa au kusamehe? Kuna faida zozote za kuomba msamaha? Mada hii itakupa majibu ya mswali haya na utaona thamani kubwa ya msamaha.

Kwanza kabisa msamaha ni nini? Ni neno dogo, maarufu sana katika jamii yetu ambalo kwa hakika hutumiwa na watu wengi, lakini lina maana kubwa zaidi ya litumiwavyo.

Ni kawaida sana kumsikia mtu akisema: “Nisamehe bwana, nisamehe mshkaji wangu” kirahisi tu, mtu anazungumza,Hata hivyo, Wanasaikolojia wanasema asilimia 60 ya wanaoomba msamaha huwa hawaombi kutoka mioyoni mwao.

Matokeo hayo yalipatikana kutokana na utafiti uliofanywa ukiwahusisha ndugu na wapenzi waliokoseana, Aidha, inaelezwa kwamba, asilimia 30 ya wanaokubali kusamehe, hawasamehi moja kwa moja kutoka mioyoni mwao.

Yaani anakubali usoni lakini moyoni kuna kitu tofauti na
kinachoonekana machoni mwa mhusika, Msamaha sahihi ni ule ambao muombaji anapoomba kusamehewa anakuwa anaamaanisha anachozungumza, ni rahisi kusoma hilo katika mboni za macho yake, lakini pia hata yule anayesamehe ni vyema kama atakubali kusamehe kwa moyo wake. Huo ndiyo msamaha wa kweli rafiki zangu.

Hata katika uhusiano wako au ndoa, samahani ni neno lenye hadhi kubwa sana litumie kukufanya mwenye furaha siku zote za maisha yako, naamini mada hii imekuwa dawa tosha katika uhusiano wako.