Tafuta katika Blogu Hii

Alhamisi, 22 Agosti 2019

Kanuni za ndoa

#KANUNI_ZA_NDOA_KWA_WANAWAKE

👉Nakusihi Acha uvivu tenga dkika 3 Soma mpaka mwisho Utapata kituu

✍️#Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.

#Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa mumeo, naye ni mlinzi wako.

#Usitumie mhemko yako hasi kuwasiliana na mumeo, hujui namna mumeo atakavyoitafsiri. Wanawake wenye hulka ya kujihami huwatengenezi nyumba yenye furaha.

#Usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui maisha yao halisi yalivyo. Ukiibomoa hadhi yake, upendo wake kwako utashuka.

#Usiwatendee vibaya marafiki wa mumeo kwa sababu huwapendi, mtu anayetakiwa kuwa wa kwanza kujitenga nao ni mumeo.

#Usisahau kuwa mumeo alikuoa, yeye si mfanyakazi wako au mtu mwingine tofauti. Tekeleza majukumu yako.

#Usimpe mtu mwingine fursa ya kumhudumia mumeo, watu wanawaweza kufanya mambo mengine, lakini huduma za mumeo ni jukumu lako mwenyewe.

#Usimlaumu mumeo akija nyumbani mikono mitupu. Badala yake mpe nguvu, mhamasishe na kumshajiisha.

#Usiwe mke mwenye matumizi ya hovyo, jasho la mumeo halitakiwi kutumiwa hovyo.

#Usijifanye kuwa mgonjwa kwa lengo la kumnyima tendo la ndoa. Mpe kwa namna apendavyo. Tendo la ndoa ni muhimu sana kwa wanaume, ukiendelea kumnyima haitachukua muda mrefu kabla mwanamke mwingine hajatimiza jukumu hilo. Hakuna mwanaume anayeweza kustahmili kukosa tendo la ndoa kwa muda mrefu.

#Usimlinganishe mumeo na mwanaume wako wa zamani kitandani. Ukifanya hivyo, nyumba yako inaweza kupata mtikisiko wa aina yake.

#Usijibishane na mumeo hadharani. Hilo litashusha hadhi na heshima yake. Hitajio namba moja la mwanaume ni heshima.

#Usimpe changamoto mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye busara hawafanyi hivyo.

#Usisahau kumuandaa mumeo na kuhakikisha kuwa yuko maridadi kabla hajatoka nyumbani.

#Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mumeo.

#Usiwe na haraka unapokuwa bafuni na kwenye dressing table. Huko nje mumeo anakutana na wanawake ambao wanatumia muda wao kujiremba vizuri bila haraka yoyote ili waonekane maridhawa.

#Wazazi au familia yako hawana uamuzi wa mwisho katika ndoa yenu. Endelea kuwaheshimu, lakini wasiwe na uamuzi wa mwisho kuhusu ndoa yenu.

#Usiegemeze upendo wako kwenye vitu vya pesa. Endelea kumheshimu mumeo licha ya kwamba unapata pesa zaidi yake.

#Usisahau kuwa mume anahitaji mtu anayemakinika naye na kumsikiliza vizuri, hivyo unapozungumza naye acha mambo mengine. Mawasiliano mazuri ndiyo msingi wa nyumba yenye furaha.

#Iwapo mawazo yako yamefanikisha jambo kuliko mawazo yake, usijilinganishe naye. Bali ishini na mfanye kazi kama timu.

#Usiwe msumbufu kwa mumeo. Hakuna mume anayependa mke msumbufu.

#Mke mvivu hajali. Hata hajui kwamba anatakiwa kuoga na kuwa msafi.

#Je, mumeo anapenda chakula fulani? Kuwa makini sana kwenye namna ya utayarishaji wa chakula. Hakuna mume anayefanya maskhara na suala la chakula.

#Usiwe mtu wa kumkamua sana mumeo, ukataka kila kitu uwe nacho wewe. Furahia kile kinachopatikana kulingana na uwezo wake.

#Ifanye glasi ya maji kuwa ukaribisho wa kwanza kwa mumeo na kwa kila mgeni anayeingia nyumbani kwenu. Ukarimu maridhawa ndiyo uzuri wa kweli.

#Usisuhubiane na wanawake wenye mtazamo hasi na wa kimakosa kuhusu ndoa.

#Ndoa yako itakuwa na thamani kama utaipa thamani. Uzembe na kutojali ni sumu ya ndoa.

#Watoto ni zawadi adhimu kutoka kwa Mungu, wapende na uwafunze mambo mazuri.

#Umri usiwe kikwazo cha kuwa na ushawishi kwenye nyumba yako. Kamwe usipunguze kiwango cha huduma kwa familia yako kwa hali yoyote ile. Ifanye huduma yako kuwa yenye kujaa ubunifu maridhawa.

#Mke anayemuabudu Mungu ni mke maridadi, daima muombee mumeo na familia yako.

Ninakutakia ndoa njema. Usisahau ku share na wenzako kusambaza ujumbe huu muhimu kwako na kwa wengine wapenda maendeleo.

Jumapili, 21 Julai 2019

Mambo yatakayo mfanya mwanamke akupende zaidi

N/A · 6 hours ago

Hakuna kitu chenye thamani kubwa kwa msichana yeyote yule  kama kumfanya mtu huyo afurahi, hivyo kila wakati mwanaume unatakiwa kumfanya mpenzi wako afurahi ili uwezo kuongeze asilimia nyingi za upendo kutoka kwake kuja kwako. 

Yafautayo ndiyo mambo ya kufanya ili kufurahisha mwanamke katika mahusianao ya mapenzi; 

Mtanie  
Unapoongea na msichana, ni rahisi sana kumfanya na yeye aongee na wewe hatakama hakupenda mwanzo. Lakini hiyo haitoshi. Kama unataka kujua ni jinsi gani ya kuongea na msichana/mwanamke, utapaswa kumfanya yeye ajisikie huru na mwenye kujiamini(confortable), lakini pia mfanye ajue kuwa unampenda hatakama haujamwambia. 

Kumbuka, kama utaongea nae kama rafiki, lazima awaze na ajue kuwa wewe ni mwanaume noma sana(great guy), lakini hatahisi kwamba wewe ni mwanaume unaeweza kumchangamsha au kumfurahisha. Ili kuonekana kama mwanaume anayefurahisha kwa mwanamke yeyote, inatakiwa akuone kama mtu muhimu wa kukutana nae, na ili kufanya hivyo, msukume sukume hata bega katikati ya maongezi. Lakini usizidishe sana utaishia kumboa, fanya hivyo pale tu anapoongea jambo linalochekesha au lenye utani ndani yake. 

Ila usiende na kumwambia maneno ya kawaida kama “unamuonekano mzuri”, “wewe ni mzuri sana”, au maneno yenye kufanana na hayo. Inawakera sana na haioneshi utofauti na watu wengine wa mtaani. Badala yake, jaribu kuwa specific wakati unamuambia jambo fulani mnapokutana. Mwambie maneno kama “umependeza sana leo. Huo ni mtindo mpya wa nywele?”, Hayo ni maneno mazuri sana kwa mwanamke kwa sababu ni wanaume wachache sana huyatumia kwao. Kwa hiyo unavyosema “leo umekua mrembo zaidi” inamfanya ajue ni jinsi gani unamaanisha mpaka umevunja ukimya. 

Kwa kumtania huko  unaweza kufanya mambo matatu. Unaweza kumshtua na kumfanya atabasamu. Unaweza kumfanya ajue kwamba wewe unamuona mtu wa tofauti sana. Au tatu, unaweza kumfanya atambue kwamba umemwona wa kuvutia sana. Kumbuka hayo yote unamfanya yeye aone ni mtu mzuri ambaye anaweza kudate na wewe. 

Kuwa mcheshi 
Baada ya kumfanya atabasamu na kuyafurahia maongezi yako na yeye, ni muda wa kumuingia ndani zaidi kidogo. Kila mmoja wetu ana mambo yake ya siri ambayo hatupendi watu wote wajue labda mtu ambaye tunamwamini sana. Ili kumfanya ajiamini kwako, unatakiwa kumfanya awe na good time sana na wewe. Sasa hatuwezi kukuambia kabisa jinsi ya kumfanya mwanamke acheke. Lakini tunaweza kukupa mambo mawili ya kutumia. Usimwambie utani wowote wakati unaongea nae. Kuwa mwenye furaha muda wote unaoongea nae. 

Hii inaweza kukutatiza kidogo. Kwanza kuongea utani wa moja kwa moja kama mtu aliyekariri ni ujinga. Badala yake, ongea nae maongezi yatakayomfanya aone unamtania, na hapo naye ataanza utani. 

Jitahidi kuonesha unafurahia maongezi wakati unaongea nae kama unataka kumchangamsha. Ukiwa na furaha, dunia nzima inatabasamu pamoja nawe!. Kama unatabasamu na kujisikia furaha, naye atatabasamu pia na kuwa na furaha. Lakini kama unauoga, utamfanya naye awe  mwoga (unconfortable). 

Unaweza kumsukuma kidogo kati kati ya maongezi  
Najua unaelewa ninaposema kusukumana, hii utokea mara nyingi pale mvulana na msichana wanapukua wamezoeana, kwa hiyo kuifanya na mwanamke kwa mara ya kwanza inatakiwa uwe mwangalifu na makini ili usije kuharibu. Unapofanikiwa kufanya hivyo, jitahidi isiwe kila saa maana utamkera kama nilivyosema hapo awali. 

Ili uweze kufanya hivyo inatakiwa uwe wa kawaida, chukulia kama ni mtu wa kawaida japo wewe unajua ni special. Muulize alifanya nini weekend au baada ya kutoka kazini, muulize anapenda kwenda wapi akitoka out au ni mgahawa gani anaupenda au anatamani kwenda au kitu kingine chochote ambacho ni binafsi(very personal). 

Mshike.  
Huu ni uwanja hatari sana, lakini ni kitu unachopaswa kujifunza kwa sababu unataka kujua jinsi ya kumchangamsha msichana, si ndiyo? Hivyo kumshika katika muda muafaka inakamilisha point ya hii ya mambo ambayo unapaswa kuyajua wakati unataka kumfurahisha mwanamke. Kama utafanikiwa kulifanya hili kwa usahihi, utakua umejichukulia point kubwa sana. 

Sasa kumshika msichana ni kama kucheza na moto. Ukiushika fasta hauwezi kusikia joto, lakini ukiushika muda mrefu utaungua! Unaona ilivyo hatari?  Unaweza kumshika bega au mikono kama tayari ushamfurahisha vya kutosha. Lakini kumbuka hili, mshike tu pale unapokua na sababu ya kumshika, mfano mshike masikio kama unayasifia masikio yake au nywele kama unazisifia nywele zake, au mfute koti lake kama kuna kauchafu hatakama hana hako kauchafu, au mshike begani kama unatembea nae barabarani/ mtaani. 

Kumbuka kumshika mtu ni very personal, hivyo inabidi uwe makini sana na uangalie anamuitikio gani wakati unamshika kabla haujamshika tena. Kama unataka kujua jinsi ya kumchangamsha msichana, yatumie haya mambo matano wakati utakapokutana na mwanamke next time. Na baada ya hapo utaona ni jinsi gani unavyoweza kumfurahisha mwanamke na kumfanya ayapende maongezi yako kwa mara ya kwanza!.

Jumatatu, 15 Julai 2019

Orando-Malaika-Audio download

Download-orlando-Malaika Audio free


  

 
Size 3.96 Mb
N/A · 34 minutes ago


Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mbalimbali ambayo yanahusiana na masuala ya kibiashara. Na miongoni mwa maswali ambayo wamekuwa wakiniuliza ni kuhusu ni nini faida ya kutangaza biashara kwa sehemu kubwa? 

Swali hili ndilo limenifanya nishike kalamu yangu ili niweze kulijibu. Nakusihi twende sambamba ili niweze kueleza kwa kinagaubaga, kwa nini unapaswa kuitangaza biashara yako tena kwa nguvu zote. 
Matangazo ni usambazaji wa taarifa  sahihi  kuhusu bidhaa au huduma kutoka kwa mfanyabiashara kwenda kwa mteja. Matangazo ndiyo roho ya biashara, kwani bila kufanya biashara yako bila matangazo ni sawa na bure. 

Nafikiri pia utakubaliana nami ya kuwa ili uweze kufanya biashara  yenye tija ni lazima uitangaze biashara yako, kwani " biashara ni matangazo".  Matangazo ndiyo yatakuyokufanya uweze kuongeza mauzo ya kibiashara kila wakati. 

Kwa kuzingatia hilo unaweza kuitangaza biashara yako kwa njia ambayo itakuwa ni rahisi kwako. Na sababu kubwa ya kuitangaza biashara yako ni kuongeza wateja wapya. 

Leo na dhumuni kubwa la kutangaza biashara yako ni kukutana na na watu wapya,  ukiona umetangaza biashara yako na hakuna mteja mpya hata mmoja ujue fika kuna mahala ambapo umekosea. 

Hivyo fanya tathimni upya na ujipange upya na kuona ni jinsi gani unaweza kuitangaza biashara hiyo. Vile vile katika upangaji wa malengo ya kibiashara hakikisha ya kwamba unapanga na mbinu za kukutana na watu wapya kila siku. 

Nasisitiza juu ya kukutana na watu wapya, kwa sababu nimegundua ya biashara nyingi zimekuwa hazifanyi vizuri kwa sababu zimekuwa na watu ambao wanaizunguka biashara ile ni wale wale kila siku. Hivyo kila siku fanya tathimini juu wateja wapya ambao wamekuja katika biashara yako. 

Asante kwa kutembelea mtandao huu wa dira ya mafanikio,  usisite kumshirikisha na mwingine ili aweze kujifunza.

Download

https://www.mediafire.com/download/astemzzag9g21b4

Orando montana x man piro x spero spera malaika

https://www.youtube.com/watch?v=238tsWknd_g&feature=share

Jumamosi, 13 Julai 2019

Jinsi ya kumfanya mumeo awahi kurudi nyumbani


KAMGISHA BLOG· 5 hours ago




Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani. 

Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi ya mapenzi ? 

Baada ya maswali hayo naomba ufahamu kwamba mapenzi yoyote yale lengo lake kubwa ni kuleta utulivu na kuhurumiana. 

Je ndoa yako inakupa utulivu na mnahurumiana?, kama mnahurumiana iweje Mumeo achelewe kurudi nyumbani huku akijua fika kwamba wewe Mkewe hupendi achelewe kurudi nyumbani na kuchelewa kwake kunakuondolea utulivu ?.

Hatua Zifuatazo zitakusaidia kumrejesha Mumeo nyumbani mapema: 

Je wewe sio chanzo cha Mumeo kuchelewa kurudi nyumbani? Na kama wewe unachangia kwa namna yeyote ile basi rekebisha yale asiyoyapenda Mumeo na hapo utakuwa umemaliza tatizo. 


Pambana na tatizo na sio Mtu, tambua tatizo, tafuta elimu ya tatizo husika ili upande daraja. 


Kuwa mvumilivu, mwenye hekima, busara, msikivu, mwenye kusamehe na kusahau. 


Kiri makosa yako na omba msamaha. 


Kubali kushindwa na usiwe mshindi kila siku hata kama umeshinda. 


Penda kabla hujapendwa. 


Toa kabla hujapokea. 


Japo inauma lakini usimuulize alikuwa wapi na kwa nini amechelewa kurudi. 


Mkaribishe kwa bashasha na mpe pole ya huko alikotoka. 


Hakikisha anakukuta ukiwa msafi na mwenye mvuto kama vile umerudi kutoka matembezi. 


Mpe chakula na kaa ule pamoja nae na kama ulishakula kaa karibu yake. 


Onesha kama vile unafurahia yeye kuchelewa kurudi, japo unaumia kwa ndani. 


Usioneshe kama vile una wivu wa yeye kuchelewa kurudi, bali onesha kuwa unahofia usalama wake anapochelewa kurudi. 


Usimnyime tendo la ndoa hata kama kachelewa kurudi na furahia tendo hilo kama vile ulikuwa ukimsubiria kwa hamu. 


Anapotoka onesha kama vile na wewe utatoka lakini usitoke bila ridhaa yake.


Mambo ambayo wanawake wanapaswa kuyazingatia kabla na baada ya kuolewa


N/A · Yesterday




Naomba kuleta kwenu mambo ambayo naamini ni muhimu kuyatafakari na kuyapa uzito wenye kustahili. 

Yafuatayo ndiyo mambo ambayo unapaswa kuyazingatia kabla na baada ya kuolewa: 

1. Kujitambua 
Kila msichana aweze kutambua nini kinamfanya kuwa mwanamke. Kwa maana kama ni maumbile hiyo ni default settings, kama ni kuzaa mwanaume haendi leba, sasa ni nini kinakufanya kuwa mwanamke? Kujitambua, kujiheshimu na kuwajibika. Nyumba yenye mwanamke anayeheshimika ni Baraka na nyota njema. Nyumba yenye mwanamke asiyejiheshimu na kuheshimika huwa haitamaniki, wewe wataka kuwa yupi kati yao? 

2. Kila mwanaume ni tofauti 
'wanaume wote ni wale wale tu'' Ni vibaya sana kumchukulia mwanaume sawa tu na wengine (hata kwa rafiki wa kawaida tu). Kuwa unajua au umesikia sifa mbaya za wanaume flani na flani, au umewahi kuwa na mahusiano na ukaona sifa mbaya kadha wa kadha za huyo, ukaja ukampata mwingine harafu unamchukulia ni sawa na hao wengine tu. (kosa kubwa sana) Kila mwanaume ana sifa zake na mapungufu yake. Sifa na mapungufu ya mmoja sio sawa na mwingine. 

3. kuamua kuolewa au kutokuolewa 
Uamue kama unajiona una wito wa kuolewa au la, tena uamue kwa utashi wako mwenyewe. Usipokuwa umeamua unakosa nafasi adhimu ya kuwa umejianda kuwa chini ya mume na utaona kama unaonewa vile!! Mabaya aliopitia mama au jirani yako kwa mumewe isiwe ndio determinant factor kwa huwa hutaolewa kwani utaolewa na huyo mtesaji au huyu unayemchukia? 

Hakika Utaolewa na mwanaume mwingine mwenye sifa na tabia tofauti na kila kitu tofauti na hao, kwa nini uwatumie hao kama ndio wawakilishi wa wanaume wote na ndio wako hivyo? Kwa nini wengi wenu msijifunze kwa wanawake waliofanikiwa kwenye ndoa kuliko hao role models wa kwenye taarabu na saluni? tunajifunza kutoanguka kwa walioanguka iweje hao walioshindwa ndoa ndio wawe chachu kwako? si unajua ni wanawake wachache sana wanapenda kuona mwenzake akifanikiwa?? wengi wanapenda mabaya au shimbo alioanguka na mwenzake nae aanguke hapo. 

5. Dhana ya haki sawa 
Binafsi naamini kila binadamu ni sawa, ila linapokuja swala la mume na mke huwa nashindwa kuelewa ni haki zipi izo zinazopiganiwa wakati katiba ya nchi haitamki jinsia kwenye haki na stahili?. Au mnataka mke akiwa anakata kitunguu mume awe anakata nyanya?? Mwanamke anapewa heshima ya kuwa msaidizi wa mume. Kuna umuhimu sana wa kutambua na kuchukua nafasi yako kama mwanamke. Beijing waache na wabeijing wenzao. Mwanaume ni Kiongozi wa Mkewe na familia nzima (sifa ya kiongozi- anajali- anawatanguliza wenzake, anasikiliza, anashaurika, anaona mbele, anawajibika, hekima na busara etc) 

6. Kujua kupangilia matumizi 
Kwa pesa ya familia ya yake kwa ajili ya matumizi binafsi "spending wisdom'' sio kila nguo mpya unayo, msuko mpya unao, kiatu kipya unacho, saa mpya unayo, mkufu mpya unao, kulikoni kwani, Kwa kile kingi au kidogo mnachojaliwa, kitumieni kwa hekima na shukrani.

Jumatano, 10 Julai 2019

Unachotakiwa kufanya unapokuwa umeachwa katika mahusiano ya kimapenzi

Unachotakiwa kufanya unapokuwa umeachwa katika mahusiano ya kimapenzi

N/A · Yesterday



Mapenzi yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma. Inauma sababu ulikuwa na maono ya mbali na penzi lako. Unaumia kwa sababu hukutegemea kama safari ya uhusiano wenu itaishia katika hatua hiyo. Inawezekana ulifikiri kwamba mngefika kwenye hatua ya ndoa lakini haikuwa hivyo. 

Yawezekana ulikuwa na ndoto ya kuwa na familia, uitwe baba au mama. Ulikuwa unatamani kuzaa na mwanaume au mwanamke wa ndoto yako lakini kumbe sio. 
Anaondoka kwenye kipindi ambacho wewe bado unamhitaji. 

Leo nataka nikupe siri ya ushindi kupitia safu hii. Inapotokea umeumizwa penzini, unachotakiwa kufanya ni kutulia. Itulize akili yako vizuri na usiiweke kwenye mawazo hata kidogo. Muhimu ni kukubaliana na kitendo kilichotokea. 

Kama mwanaume au mwanamke wako amekuacha, kubali. Ona kwamba kuna sababu za wewe kukuacha lakini usihangaike nazo sana wakati huo maana zitakutesa bure tu. 
Kuanza kuwaza kwamba labda sijui amekuacha sababu wewe si mzuri, kwamba huna fedha, utaumia tu! 

Kuwaza kwamba sijui una upungufu gani, sijui kwa nini ni wewe kila siku unaumizwa ni makosa makubwa. Kubaliana na matokeo haraka. Ifanye akili yako iwaze vitu vipya hata kama uliyekuwa naye ulimpenda kiasi gani. 

Ameshaamua kukuacha, ana sababu zake hivyo ukiendelea kupigana kuzijua hizo sababu ni kazi bure. Muache aende na wewe utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuingia kwenye uhusiano mwingine hapo baadaye kama aliyekuacha hatajirudi. 

Marafiki zangu, maisha ya uhusiano yana siri kubwa sana. Kila mmoja kwenye historia ya uhusiano na mwenzi wake anapitia mengi hadi kufikia hatua ya kuingia kwenye ndoa. Wakati mwingine inakuwa hata ni vigumu kujua kwamba atakayekuoa au kumuoa ni nani. 

Unaingia na mtu kwenye uhusiano, mnaishi miaka miwili mitatu mnaachana. Unaingia kwenye uhusiano na mtu mwingine, mnaachana. Unarudi kwa yule wa awali, mnakaa kipindi fulani lakini wapi. Kidudu mtu anaingia, uhusiano unayumba tena. 

Unavurugwa mno. Unajiona kama huna bahati na unasahau kwamba maisha ya uhusiano ndivyo yalivyo. Unayekwenda kuingia naye kwenye ndoa wakati mwingine ni vigumu sana kumjua. Akili za kibinadamu mara nyingi zinatudanganya tu. 
Ndugu zangu, licha ya kwamba sisi binadamu tuna macho yetu na akili lakini juu ya nani hasa unakwenda kuingia naye kwenye ndoa huwa ni Mungu ndiye ajuaye. 
Mungu anatujua sisi tangu tukiwa matumboni mwa mama zetu. Anajua mahitaji ya maisha yetu kabla hata hatujamuomba. 

Tunahangaika na dunia yetu hii ya uzuri wa sura. Tunapagawa na mambo ya kidunia lakini unganiko la ndoa alijuaye ni yeye pekee. Unapoona kuna janga limetokea kwenye uhusiano wako, mshukuru Mungu tamka neno hili; ‘hili nalo litapita.’ 

Kama aliyekuacha amepangwa awe wako atakuwa. Kama hajapangwa basi atakuja ambaye ni sahihi. Cha msingi wewe sema tu na moyo wako. Tamka tena maneno haya; ‘ipo siku tu.’ Maneno hayo matatu ni muhimu katika mustakabali wa furaha yako. 

Yatakufariji. Yatakutia nguvu ya kuendelea na maisha upya hata kama umeumia kiasi gani, utasema lazima maisha yaendelee. Kataa kuwa mtu wa mateso kila siku. Usiwaze sababu kama huyo ameondoka na si wako basi amini kwamba ipo siku atakuja mtu sahihi. 

Utashanga atakapokuja mambo yananyooka tu yenyewe bila hata kutumia nguvu nyingi. Mwezi wa kwanza wa pili mambo yanajipa. Mnaingia kwenye ndoa na maisha yanakuwa ni bambam. 

Jumamosi, 1 Juni 2019

Maneno mazuri ya kumwambia mpenzi

MANENO MAZURI 60 YA KUMWAMBIA MPENZI WAKO UMPENDAE:
Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu.Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka,Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza .
Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza.
sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele.
1.Macho yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama.
2,Unanifanya niwe mwanaume bora , kwa hio nastahili mapenzi yako.
3.Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu.
4.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.
5.Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha.
6.Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi.
7.Hapana.wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo.
8.Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti.
9.Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.
10.Siamini , maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.
11.kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife.
12.Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.
13.Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.
14.Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.
15.Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia , hapo hupotea kabisaaa.
16.Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi.
17.Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda.
18.Napata furaha nikiwa na wewe.
19. Napenda kutumia muda na wewe.
20.Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa.
21.Natamani maishsa yangu yote nikuone ukiwa na furaha.
22.Usibadilike nakupenda jinsi ulivyo.
23.Nikiwa na wewe nafurahi kama mtoto.
24.Napenda nywele zako.
25.Napenda nikukumbatie ninapokuaga.
26.Natamani kukubusu kila sehemu ya mwili wako.
27.Naanza siku na wewe ndani ya mawazo yangu, na ninamaliza siku na wewe kwenye ndoto zangu.
28. ukiwa na mimi huwa natamani kusimamisha muda, maana muda unakwenda haraka.
29.Nikisikia sauti yako asubuhi , siku nzima ni mtu wa furaha.
30.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke.
31.Unaponiaga napata shida kukuruhusu uende.
32. Umenielewa vizuri, ni kama unasoma mawazo yangu.
33.Mungu alikupendelea kukuumba, akili na kila ulichonacho.
34.Najivunia kuwa na wewe na ninafurahia.
35.Napenda unavyosema unanipenda.
36.Mapenzi yetu ni kama mawimbi ya bahari, wakati mwingi hutulia, na wakati mwingine huvuma,lakini yanarudi palepale.
37.mapenzi yetu yawe kama ua rose ambalo halina miiba.
38.Najua kwa nini watu wanatutazama , ni kwa sababu wewe ni mzuri kuliko mwezi.
39.Muda utakuwa hauna thamani endapo sitatumia na wewe.
40.kama siku yangu ingeanza na busu lako, nisingehitaji kahawa.
41.Kama ningeambiwa nielezee rangi, basi ningeenda kwenye rangi za rainbow, kwa sababu wewe ni mzuri.ni wa muujiza.
42.Mimi bila wewe ni mbaya, lakini ni mzuri nikiwa na wewe.
43.Tukishikana mikono na mioyo yetu inashikana,na nafsi zetu zinapatana .
44.Siku ya kwanza tulipokutana, nilijua ipo siku tutakutana tena, na nafurahi imetokea.
45.Nafurahi tumekua pamoja, sina cha kukosa hata kidogo.
46.Moyo wangu unapumua kama ndege, kila unapotabasamu.
47.Kila ninapokuwa nimeshuka moyo, nikikusikia wewe moyo wangu unapata nguvu.
48.Shika mikono yangu nami nitashika moyo wako, tunza kwa maisha yote.
49.Maisha yote , milele yote,isio na mwisho, toka nimekutana na wewe maneno yote yana maana.
50.Siku naona kama mwaka, na siku inapita kama sekunde.
51.Natamani ningekuwa kama pweza mwe

Alhamisi, 30 Mei 2019

Kauli Kumi(10) Zitakazobadili Mtazamo Wako Kuhusu Furaha Na Kukuwezesha Uwe Na Furaha Ya Kudumu.


AMKA MTANZANIA

Kauli Kumi(10) Zitakazobadili Mtazamo Wako Kuhusu Furaha Na Kukuwezesha Uwe Na Furaha Ya Kudumu.

 Dr. Makirita Amani

4 years ago

Habari mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA? Karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza tena mambo ambayo yanabadilisha maisha yetu kiujumla.
‘’Mimi ni mwamini mkubwa kwamba kama ukitafuta furaha,mafanikio yatafuata’’ maneno haya nimenukuu kutoka kwa bilionea Richard Branson ambaye niliyasoma katika moja ya makala zake kupitia tovuti yake ‘’ I’m a big believer that if you find happiness, then success will follow’’ ni kweli kabisa furaha huwa ina leta mafanikio katika maisha yako.
Furaha hufungua milango ya fursa kubwa, ukiwa na furaha maisha yako yatakuwa mazuri kila siku. Furaha hujenga uhusiano mzuri. Ni vema kuwa na furaha na maamuzi ya kuwa na furaha yako mikononi mwako acha maisha ya kuwa na kisirani, tabasamu, cheka nakadhalika.

 
Furaha ya kweli katika maisha itakupa hamasa kubwa ya kufanya kazi ili kufikia katika mafanikio makubwa. Makirita Amani aliandika hivi katika falsafa mpya ya maisha ‘’kila mmojawetu anafanya anachofanya kutafuta furaha kwenye maisha. Juhudi zote tunazofanya kwenye maisha ni kwa ajili ya kupata furaha’’ kwa hiyo kila mtu anapigania kuwa na mafanikio ili kutafuta furaha ya kudumu na siyo furaha ya muda mfupi.
Chagua kuishi maisha ya falsafa yako ambayo yatakupa furaha ya kudumu katika maisha yako na ukiendelea kuishi maisha ambayo si yako, maisha ya kushindana basi ni dhahiri kabisa utakuwa unaikimbiza furaha. Njia nzuri ya kupata furaha kwanza kuwa na shukrani kwa kile ambacho unacho sasa na kwa kile ambacho unakipata hii itakusaidia kukupa hamasa ya maisha, itakuletea furaha na itakuongezea juhudi na maarifa ya kutafuta zaidi na utaziona fursa lakini kama hutoshukuru kwanza kwa kile ambacho unacho ni ngumu kupata furaha ya kudumu.
SOMA; Kama Unafikiri Vitu Hivi Ndivyo Vitakupa Furaha Ya Kweli Katika Maisha Yako, Unajidanganya Mwenyewe.
Dale Carnegie katika kitabu chake cha How to stop worrying and start livingaliandika hivi ‘’ Think and Thank’’ yaani fikiri na na shukuru. Fikiri vyote ambavyo tunapaswa kutoa shukrani na mshukuru Mungu.
Zifuatazo ni kauli kumi zinazohusiana na furaha kutoka kwa watu mbalimbali;
10. ‘’Happines is not something ready made.it comes from your own actions’’ – Dalai Lama
Furaha siyo kitu ambacho tayari kimetengenezwa. huwa inakuja kutoka katika matendo yako mwenyewe’’
9.’’ Happiness is like a kiss. You must share it to enjoy it’’– Bernard Meltezer
Furaha ni kama busu. Lazima mgawane ili mfurahie
8. The greater part of our misery or unhappiness is determined not by our circumstance but by our disposition’’– Martha Washington
Sehemu kubwa ya kutokuwa na furaha kwetu inatambulika siyo kwa mazingira yetu bali kwa ubora halisi wa tabia ya mtu.
7. ‘’ Remember that the happiest people are not those getting more, but those giving more’’-H.Jackson Brown,jr
Kumbuka kwamba watu wenyewe furaha sana siyo wanaopata zaidi, bali wale wanaotoa zaidi.
6. ‘’Action may not always bring happiness; but there is no happiness without action’’ -Benjamini Disraeli 
Matendo mara nyingi siyo lazima yalete furaha, lakini hakuna furaha bila matendo.
SOMA; Starehe za Muda Mfupi Zinakukosesha Furaha ya Muda Mrefu.
5. ‘’Happiness is not the absence of problems,it’s the ability to deal with them– Steve Maraboli
Furaha siyo hali ya kutokuwepo na matatizo, bali ni uwezo wa kukabiliana nayo
4. If you want happiness for an hour take a nap.
If you want happiness for a day –go fishing
If you want happiness for a year – inherit a fortune.
If you want happiness for a lifetime-help someone else
-chinese proverbs
Kama unahitaji furaha kwa saa moja pata usingizi wa muda mfupi.
Kama unataka furaha kwa siku moja, nenda kavue samaki.
Kama unataka furaha kwa mwaka mmoja, rithi mali.
Kama unahitaji furaha kwa maisha saidia watu wengine.
Hizi ni nukuu kutoka katika methali za kichina
3. Happy people are beautiful. They become like a mirror and they reflect that happiness’’- Drew Barrymore
Watu wenye furaha ni wazuri. wako kama kioo na wana akisi furaha hiyo.
2. ‘’everyone wants to live on top of the mountain, but all the happiness and growth occurs while you’re climbing it-Andy Rooney
Kila mmoja huwa anapenda kuishi juu ya kilele cha mlima, lakini furaha yote na kukua huwa inaonekana wakati ukipanda mlima.
SOMA; Mambo Sita(6) Muhimu Ya Kuzingatia Ili Kuwa Na Maisha Yenye Furaha Na Mafanikio Makubwa.
1. Happiness is not a goal…it’s by –product of a life well lived’’ – Eleanor Roosevelt
Furaha siyo malengo bali ni zao la kuishi maisha mazuri
Kwa hiyo mpenzi msomaji mpaka hapo umepata kujifunza umuhimu wa wewe kuwa na furaha hivyo basi chukua hatua leo furaha iwe sehemu ya maisha yako siku zote.
Makala hii imeandikwa na Deogratius Kessy ambaye ni mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali, unaweza kuwasiliana naye kupitia namba 0717101505 au kwa barua pepe deokessy.dk@gmail.com au unaweza kutembelea tovuti yake www.actualizeyourdream.blogspot.com

Categories: MAFANIKIO NA HAMASA


AMKA MTANZANIA

Blog at WordPress.com.

Back to top

Jumatano, 8 Mei 2019

Wakabet

Naanzaje?
Unaweza kubashiri kwa kutumia njia 2 katika Wakabet.

Unaweza kujisajili katika [kiunganishi] na kisha kuingia na kuweka pesa zako kwenye Pochi ya Waka. Uwapo na pesa unaweza kufanya ubashiri.
Njia ya pili ni kutengeneza tiketi ya ubashiri unaoutaka na kufanya malipo kwa simu katika [kiunganishi].
Nawekaje pesa kwenye akaunti yangu?
Unapokuwa umejisajili na Wakabet, unaweza kuweka pesa kwenye Pochi yako ya Waka kwa kufuata hatua zifuatazo [kiunganishi].

Tigo

Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*01#.
Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
Ingiza kumbukumbu namba 000.
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.
Mpesa

Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*00#.
Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
Ingiza kumbukumbu namba 000.
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.
Natowaje pesa kwenye Pochi ya Waka?
Fuata hatua zifuatazo:

Nenda kwenye kiunganishi: Toa pesa.
Kwenye sehemu ya "Toa pesa" ingiza kiasi unachotaka kutoa kisha bofya kwenye "Ombi la kutoa pesa".
Kiasi ulicho chagua kitaongezwa kwenye akaunti ya simu yako na kutolewa kutoka kwenye salio la pochi yako.
Nini kinatokea nikishinda ubashiri wangu?
Kama tiketi yako uliitengeneza kwa kutumia pochi ya Wakabet, unaposhinda kiasi ulicho shinda kitaongezwa moja kwa moja kwenye pochi yako. Kama ulilipia tiketi yako kwa 'simu'; Faida yako itahamishiwa kwenye akaunti yako moja kwa moja.

* Iwapo umefanya malipo kwa njia ya 'simu'; ndani ya muda usio pungua masaa matatu kutoka mechi ya mwisho kwenye mkeka wako. Kama malipo yatacheleweshwa kidogo itakuwa kwasababu matokeo ya mechi hayajathibitishwa.

Kipi kitatokea ikiwa nimebashiri na mchezo umeahirishwa au kufutwa?
Kama baadhi ya michezo itafutwa, mambo 2 yatatokea:

Iwapo michezo yote itaahirishwa kwa mazingira hayo mteja atarudishiwa pesa yake yote ya mkeka husika.
Kama baadhi ya michezo haijafutwa kwenye mkeka, Kwa mazingira hayo utalipwa kwa mechi ulizo shinda bila kuhusisha michezo iliyofutwa, lakini ni lazima uwe umeshinda michezo yote iliyobaki.
Nini maana ya 1, X na 2?
Maneno yaliyo orodheshwa la kwanza ni 1 (timu ya nyumbani), na la pili ni 2 (timu ya ugenini) na sare ni X.

Je! Wakabet wana App yao?
Wakabet wana App inayopatikana kwenye simu zenye mfumo na uwezo wa Android.

Unaweza kupakua App hiyo Kutoka kwewnye [kiunganishi] kifuatacho.

kucheza Kubashiri na kushinda na Wakabet ni rahisi zaidi. Jinsi ya kubet bila kujisajili.

Toggle navigationWakabet



 Jisajili

Jinsi ya kucheza

Kubashiri na kushinda na Wakabet ni rahisi zaidi.

Jinsi ya kubet bila kujisajili.

Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wako bets michezo na mechi unayotaka.


Eelekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.


Chagua muamala wako na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kulipa bet yako.


Bonyeza kwenye tuma tiketi ili utume mkeka wako.


Chini utaona muktasari wa mkeka ulio ufanya na maagizo kutoka kwa operator wako.

Jinsi ya kujisajili na kunufaika na bets za bure.

Katika tovuti yetu bofya chaguo la kuingia.


Ingiza jina lako na namber ya simu (utaweza kutoa ela na kuweka kwa kutumia namber hiyo tu) utaweka neno lako la siri mara 2.


Kubaliana na sera zetu na masharti ya tovuti yetu.


Kukubali bofya kujiandikishaili utume data kwenye mfumo wetu na kukubali masharti ya tovuti yetu


Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wa michezo na mechi unazo taka


Elekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.


Chagua mfumo wa kulipa na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kwa ajili ya kulipa bet yako


Bonyeza tuma ticket ili kutuma mkeka wako


Kama umeweka Barua pepe yako, utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya barua kwenye mtililiko huu. Bonyeza kwenye kitufe kukubali, na utaweza kupata nafasi ya kujiunga na kucheza bure (utapata nafasi ya kucheza bure**)

Aina ya bets

Mpira wa miguu

Normal.Ubashiri wa kawaida juu ya hitimisho ya matokeo ya mwisho yatakavyo kuwa ndani ya dakika 90.dakika za ziada na penati hazita hesabiwa.


45 Minutes 1st.Dakika 45 YA 1(mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda) katika kumaliza dakika 45 za kwanza.


45 Minutes 2nd.KIPINDI CHA PILI (mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda katika kumalizia kipindi cha mwisho cha pili.


Handicap Home. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya mchezo laki timu ya nyumbani inapata faida ya goli moja ambalo litahesabiwa katika matokeo ya mwisho.


Handicap Away. Bashirinjuu ya matokeo ya mwisho ya mchezo lakin timu mgeni inapata faida ya goli moja ambalo liotahesabika katika matokeo ya mwisho.


Double Chance. Bet to 2 of the 3 game options of type normal game.

1X – timu ya mwenyeji ishinde au mchezo uishe kwa sare


12 – timu mwenyeji au timu mgeni ishinde


X2 – mchezo uishe kwa sare au timu mgeni ishinde


Over/Under 2.5. Bashiri kuwa jumla ya magoli mwisho wa pambano yatakua ni zaidi ya 2.5 au chini ya 2.5.

OVER = +2.5 MAGOLI


UNDER = -2.5 MAGOLI


Over/Under 1st Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho wa pambano la kipindi cha kwanza yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.

OVER = +1.5 MAGOLI


UNDER = -1.5 MAGOLI


Over/Under 2nd Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho ya pambano la kipindi cha pili yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.

OVER = +1.5 MAGOLI


UNDER = -1.5 MAGOLI


Both team Scores. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya dakika 90 na utachagua ndiyo au hapana.


Both Scores 1st Hf. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya kipindi cha kwanza na utachagua ndiyo au hapana.


Both Scores 2nd Hf. Bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga kwenye kipindi cha pili utachagua ndiyo au hapana.


Correct Score. Matokeo halisi ya mechi. Idadi ya magoli ambayo kila timu itashinda


Draw No Bet.Bashiri kwa timu moja kushinda,ikiwa matokeo ya mwisho ni sare,ubashiri utafutwa na odd itahesabiwa kama 1.


Masumbwi

Normal. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya pambano.


Over/Under 8.5. Bashiri jumla ya rounds za mwisho wa pambano kama litakua juu ya 8.5 au chini ya 8.5.

OVER = +8.5 MIZUNGUKO


UNDER = -8.5 MIZUNGUKO


Over/Under 9.5. Bashiri jumla ya rounds za pambanao la mwisho kama litakua juu ya +9.5 au chini ya -9.5

OVER = +9.5 MIZUNGUKO


UNDER = -9.5 MIZUNGUKO


Draw No Bet. Mbashirie mmoja wa wapambanaji kama mchezo ukiisha kwa sare basi kiasi kitarejeshwa


KO, TKO or DQ. Bashiri kama pambano litaisha kwa mbinu KO, KO au kushindwa kwa masharti (chagua ndiyo) au mshindi apatikane kwa alama au maamuzi (chagua hapana).


Kikapu

Normal. Bashiri wa kawaida juu ya matokeo ya mwisho na dakika za nyongeza zitahesabika.


Over/Under Score. Bashiri kuwa matokeo ya timu ya 2 zinazocheza yatazidi au hayatakua kama yalizopendekezwa.

OVER = + magoli


UNDER = - magoli


Even/Odd. Bashiri kuwa magoli yatakayo patikana mwisho wa mchezo yatakua yanagawanyika kwa mbili au yasigawanyike.


Tenisi

Normal. Bashiri matokeo yatakayo kuwa ya mwisho kwenye Mechi ya tenisi. Ushindi wa Nyumbani au ugenini.


Number of Sets. Bashiri jumla ya seti kwenye mechi ya tennis. Kwa mfano:

3-1 = 4 Seti


0-2 = 2 Seti


Both win a Set. Bashiri kama wachezaji wa tenisi watashinda japo seti moja kwenye mechi. Machagulio ni Yes au No


Correct Score. Matokea halisi ya mechi. Idadi ya seti ambazo kila mchezaji wa tenisi atashinda


* Kampuni yetu ina haki ya kufuta au kusimamisha matangazo ya bonasi bila taarifa.

** Wakabet itaweza kubadilisha masharti ya matangazo na bonasi wakati wowote na bila onyo la awali isipokuwa vinginevyo, matangazo yetu yana uhalali wa siku 90. Bonasi au promotion yoyote itatolewa baada ya kipindi icho na bila ya taarifa.

MAELEZO NA USAIDIZI

How to play


Terms and Conditions


Responsible Game


Financial Intelligence Unit


Gaming Act 2003


Gaming Regulations 2003


Sports Betting Rules 2016


18+

Wakabet is an adult site intended for players aged 18 or over.

"Winners know when to stop."


Umejitoa kwenye promosheni na matangazo

MSAADA

0677 045 926 / 0677 045 927


0743 555 013 / 0743 555 014 0743592888


0789 834 929. 0692403469 


0622 598 611   0620566634 


LESENI


All correspondence to Director General
Physical Address: 3rd Floor, Harbour View Towers, Samora Avenue
Postal Address: PO Box 1717, Dar es Salaam, TANZANIA
 Phone Number: +255 22 2124703 / +255 22 2124704
 Fax: +255 22 2124705
Gaming Board of Tanzania Licence Number 00526. Issued on 2017-12-13.

WAKABET

WakaBet Sport betting:
TIN: 133-619-526
Reg. Company N: 428765
Tanzania, Dar Es Salaam, Ilala District

Office Address:
Ohio Street, 606, Block 39, Plot 778, P.O.BOX: 76421
WASHIRIKA WETU
  - Tigo: +255-07-16123103
  - Vodacom: +255-07-54705000
  - Airtel: +255-07-84105400
  - Halotel: +255-06-20100100
08:00-22:00 Jumatatu mpaka Jumapili
msaada@wakabet.co.tz / info@wakabet.co.tz


© 2019 Wakabet Sport Betting. All rights reserved ®



Triventure Investments Limited