Tafuta katika Blogu Hii

Jumamosi, 18 Agosti 2018

Kwanini Wanawake Wengi Siku Hizi Hawaolewi? Jibu Mubashara Hili Hapa

Kwanini Wanawake Wengi Siku Hizi Hawaolewi? Jibu Mubashara Hili Hapa


Kamgisha blog / 1 day ago




KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO*

Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. _HAPO UMEPISHANA NA MUME_

Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. _HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME._

Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unaweka picha mapaja wazi, kifua umebust. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

_Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Niambie sasa ni mara ngapi umepishana na mume!_

@2017king mafla 

Ijumaa, 10 Agosti 2018

TAFUTA MCHUMBA/MPENZI AMA RAFIKI MPYA HAPA

TASWIRA MPYA
King Mafla

TAFUTA MCHUMBA/MPENZI AMA RAFIKI MPYA HAPA

Ili kuweza kutumiwa majina mapya kila mara pasipo mtu mwengine kujua Bofya Hapa>>

Habar jina naitwa EMERIA wa mbeya nina umri 25 nina mtoto mmoja nimeishia form2  mm sio mref wala mfup
 nipo kati ninatafta mchumba mwenye mapenz ya kweli mwenye kunijal sio mwongo na awe na umri27-33asiwe 
mlev mambo mengine tutaongea namba 0753801714  
Kwajina naitwa Sakina, napatikana pande za Arusha nina umri wa miaka 18, natafuta marafiki wa kuchati nao. namba zangu ni +155689567531
Kwajina naitwa Nasma napatikana pande za Tanga. Natafuta mchumba. awe anajitambua na kujielewa. namba yangu ya simu ni 0763367727
Hello, naitwa Happy ni mkazi wa Dar lakini kwasasa nipo safarini Bukoba. Umri wangu ni miaka 20. Natafuta mchumba kuanzia miaka 25 32. Sifa awe mwaminifu, mpole, mcha mungu na mwenye mapenzi ya kweli. Pia awe tayari kupima VVU. kwa aliyetayari na masharti haya anipigie kwa namba hii 0784962562 
Naitwa karoli nipo dar natafuta rafiki wa kike uwe mweupe awe na umbo na mchamungu awe na umri
 miaka17 hadi 21, namba zangu ni 0718703103
Kwajina naitwa James nipo Dar miaka yangu 23, natafuta mchumba awe anaishi Dar awe na mapenzi ya dhati, umri miaka 18 - 23. Anitafute kwa namba hizi 0688210628
Naitwa GANICUS BIFO natokea daar, Umriwangu ni miaka 22 siomrefusana nasio mfupi wakawaida,
Natafuta MPENZI umri miaka 17 hadi 20
VIGEZO: 1 mpole,2 Asiwe mrefu sana,3 Asiwe na dharau,4 Asiwe mweusi sana,5 Awe na matiti madogo
hatakama yametepeta. Anitafute kupitia namba hizi 0755 566 674, 0767 206 098, 0769 117 903,  0716 002 822.
Habari zenu naitwa ROJA toka morogoro natafuta JIMAMA lakunilea lenye kuhitaji mapenz matamu zaidi  ya ASALI ninauwezo mkubwa wa kumrizisha mpaka akarizika. Kwa alie tayar anitafute.0766357077
NAITWA MUSTAFA NIPO DAR NATAFUTA MCHUMBA MKE.UMRI  WANGU 43 WAKE  38
 SIFA AWE MUISJAM SWALA TANO AWE NA UWEZO KI PESA   AWE MLEFU KIASI MAJI
YA KUNDE  AWE ANAJIIFAZI.ALIYE TAYARI PIGA 0656171667
 Naitwa karoli nipo dar natafuta rafiki wa kike uwe mweupe awe na umbo na mchamungu awe na umri
 miaka 17 hadi21, namba zangu ni 0718703103
Mambo naitwa Abdully toka moro natafuta mchumba sichagui sibagui kwa alietayari namba zangu.
0655352928. Apige au atume sms asibip.
NAITWA SELEMANI NAISHI MBAGARA DAR NATAFUTA MARAFIKI WA KUBADILISHANA
MAWAZO KUUSU MIAKA YANGU NINA UMLI.26 NAPENDA MARAFIKI. NAMBA YANGU. 0712274746
 Naitwa karoli nipo dar natafuta rafiki wa kike uwe mweupe awe na umbo na mchamungu awe na
 umri miaka17 hadi 21, namba zangu ni 0718703103
Naitwa Anifa npo tanga natafuta mchumba mwenye umri wa 20_25 .awe anaish dar mi nna umr wa 19 
awe na elim ya 4m4 au kuendelea anitafute kupitia namba 0786212515 .cmc zitajibiwa
 MIMI JACKSON MUSHI NATAFUTA MCHUMBA MWANAMKE WA KUOA SIFA,1 AWE
MREFUWA WASTANI, 2 AWE NA SURA YA MAJI YA KUNDE AU MWEUSI KIASI,3 AWE
 NA UMBO LANANE,4 AWE HAJAWAHI KUOLEWA AU KUZAA,5 AWE ANAFANYA KAZI
YOYOTEINAYOMWINGIZIA KIPATO,6 AWE NA ELIMU YA FORM FOUR NA KUENDELEA
7 AWE NA HESHIMA KWA WAKUBWA NA WADOGO 8 AWE MWAMINIFU KUPITA
KIASI MIMI NIKO SERIOUS NICHEKI KWA NAMBA HIZO 0769453464
Naitwa anifa npo tanga natafuta mchumba mwenye umri wa 20_25 .awe anaish dar mi nna umr wa 19 
awe na elim ya 4m4 au kuendelea anitafute kupitia namba 0786212515 .cmc zitajibiwa  
Salam kwa watanzania wote, poleni na majukum ya hapa na pale ya kamaisha
Hitaji langu kuu ni kupata marafiki wa kike (18/24) mm kwa jina naitwa jemus (25) huo ndo umr wangu
sf zake mweupe, anaejua samani ya mtu  
mkristo na asitumiye kilevi chochote mwanza ndiko napatikana namba yangu ni 0755107885  
 mimi ni "AHAMIDU"
naishi "MORO GORO" Natafuta"RAFIKI" sichagui"JINSIA"naitaji mwenye kujitambua
 tubadilishane"MAWAZO" karibu kwangu. NAMBA 0787 14 72 14 /0714 59 08 41
Naitwa Adam nipo Dar nina miaka 26 natafuta mpenzi awe na miaka 18 mpaka 20 bila shaka nitampa upendo wa kweli atume mesage kwenye namba 0712 248494

Hello, kwajina naitwa Musa natokea Zanzibar, miaka yangu ni 21. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Wawe na miaka kuanzia 15 - 20. Fursa hii ni kwa waislamu, namba zangu ni 0777867461
Naitwa Hamiyar nipo dar es salaam, mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka kati ya 23 - 25. Natafuta mchumba wa kike, sifa awe mwembamba, mrefu, umbo wastani. Awe na miaka 18 - 22. Namba yangu ya simu ni 0719523330
Naitwa Enjo JF NATOKEA MKOA WA TANGA NINA MIAKA 17, kiumbo  smref  sana   wara  smfp  sana  ni  wasaizi  ya  kati   si mnene wa la mwembamba nipo  saizi ya kati 
 kielimu nimeishia  kidato cha pili  kwa ss hivi nipo veta najifuza  upambaji . naitaji marafiki wa kuchati nao  
sichagui jisia wala dini wala kabila   sichagui mwanafunzi wala asio  soma  kiumri mwenye miaka kuanzia  
18au25
  tafadhari siitaji rafiki mwenye matusi naitaji rafiki mturivu  .ambae anapenda kubadilishana mawazo ya
 kimaish\kielimu\ asiwe mnywapombe wala mvuta bangi  .atakaekuwa teyali anitafute .0657056146
Mimi naitwa joseph mhondela-Ng'hm.niko pande za shinyanga.natafta marafik wa kuchati nao,jinsia zote,wakike/kiume ilimladi awe na
 fikiranzuli na awe anamjua mungu yaan awe na dini yoyote inayohusu mungu,na asizidi umri wa
mika 25.kwan mi hapa nina miaka 22.akipatikana atumie no  0785539856.ndo atakua nami masaa 24.
WAPENDWA NAITWA PITTA NIPO DAR NATAFUTA MKE  WAKUOA  JINSIA AWE MKRISTO  MWENYE TABIA  NZURI    NAMBA ANGU NI  0752557577
CHRIS npo ARUSHA  umri  26 kaz mjasiriamali, najtokeza kwa mara nyngne kwan bado cjapata mwanamke alye serious kwa kujenga nae maisha hvyo nahtaj mpenz wa kike mwenye sifa zfuatazo:mnene kias mrefu kias,elimu kuanzia form4,awe na kazi halal yakumpatia kpato either kujiajir au kuajiriwa, umri 20-26 usiwe na mtoto pia usiwe mwanafunzi,kwa walio arusha mtapewa vpau
mbele.VGEZO vzngatiwe 2ma msg kwa 0783453143 au 0754675956  msg zote ztajbiwa.
Naitwa Sara  muheza Tanga Natafuta mchumba wakuish nae c chagul lang wala kabla alie tayar awasiliane
 nam 0719045291 mesej zitajibiwa thnkxy
Naitwa Mlugu wa Dar yombo. 26 ndio umri wangu natafuta rafiki wa kike  alietayari kuwa na mm
 tuwasilane kwa no.0652323603 

Mi naitwa  HASHIMU  nipo bagamoyo nata futa marafiki wakike wa kuchati nao namba zangu ni    0688838775

Habar jina naitwa EMERIA wa mbeya nina umri 25 nina mtoto mmoja nimeishia form2  mm sio mref wala mfup
 nipo kati ninatafta mchumba mwenye mapenz ya kweli mwenye kunijal sio mwongo na awe na umri27-33asiwe 
mlev mambo mengine tutaongea namba 0753801714  

HI naitwa Prince Daniel toka Mbeya natafuta mchumba kuanzi miaka 18-20 my no 0754495725 or
0712797242.

Naitwa Neema natokea dar es salaam nina umri wa miaka 26 natafuta mchumba wa kunioa awe tiyari kuishi na mimi sibaguhi dini wala kabila Anitafute kuipitia no 0762593839 Sms zitajibiwa

Ili kuweza kutumiwa majina mapya kila mara pasipo mtu mwengine kujua Bofya Hapa>>


Home

View web version

Powered by Blogger.

Jumanne, 7 Agosti 2018

Hii Ndiyo Aina ya Wanawake Wanaopendwa Zaidi na Wanaume

Hii Ndiyo Aina ya Wanawake Wanaopendwa Zaidi na Wanaume


Kamgisha blog/ 10 hours ago


Wenye msimamo

Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio.

Wapenda usawa

Aina ya pili inayohitajika katika ulimwengu wa kimahusiano ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu ya kifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenyeuwezo wa kuongoza jamii kwa asilimia 50 kwa 50.

Wanaojua mapenzi

Wanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa ni uwezo wa kutosheleza katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa sita kwa sita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za wanaume bila kujali sifa zao za nje au za ndani.

Marafiki
Wanawake wenye sifa sawa na rafiki ni aina ya nne inayowavutia wanaume. Wao hutegemea zaidi nguvu ya kushawishi inayotokana na namna wanavyojali na kujitolea kuhakikisha wanakuwa marafiki wa kweli kwenye shida na raha kwa wapenzi wao. Si wakorofi, waungwana na wapenda amani.

Wa wazi

Aina nyingine ya wanawake inayowavutia wanaume ni wenye msimamo na uwazi. Si wepesi wa kuburuzwa katika maamuzi ya msingi kwa kisingizio cha wao ni wanawake. Utafiti unaonesha wanawake wa aina hii wamekuwa muhimu hasa kwa wanaume wenye tabia za ubabe na udhaifu katika uelewa wa mambo.

Wanaoweza kujitegemea

Wanawake wanaojitegemea wana soko kubwa kwa wanaume tofauti na akina naomba vocha kila siku. Uchunguzi unaonyesha kuwa wanaume wa leo hawapendi wanawake tegemezi, wasiokuwa na kazi na wanaoendekeza starehe za upande mmoja.

Wasio na presha

Nikisema wanawake wasiokuwa na presha namaanisha wasiolazimisha vitu vitokee haraka haraka. Wao siku zote huacha mambo yatokee yenyewe na kazi yao kuwa ni kutenda sehemu ya majukumu yao kama wapenzi.

Maridadi

Kundi lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia usafi na kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje. Lakini pia ni waelewa wa mazingira, si washamba. Wanapendeza kwa muonekano.

Wanaoridhika

Wanawake ambao huridhika na hali walizonazo ni kivutio kikubwa kwa wanaume, hili ni kundi linalohitajika sana katika ulimwengu wa mahusiano kwa upande wa wanaume ambao maisha ya sasa yamekuwa yakiwageuza kutoka juu kwenda chini au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili tabia ni sifa njema ya mwanamke.

Wa mmoja

Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari kukwepa kila aina ya vishawishitoka kwa wanaume ambao kimtazamo wana vitu vya ziada zaidi ya waliowachagua mwanzo wanahitajika sana. “Niliye naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu mwingine.” Kundi la wanawake wa aina hii ni adimu na muhimu sana.

Alhamisi, 14 Juni 2018

Mke ,Mume Kuweka Password Kwenye Simu ni Dalili Tosha Kwamba Mnachepuka

Mke ,Mume Kuweka Password Kwenye Simu ni Dalili Tosha Kwamba Mnachepuka


Kitu cha ajabu sana hiki. Utakuta mume ameweka password very complicated na mke nae vivyo hivyo. Hii n tabia za wachepukaji. Huwezi kuweka password mkeo au mumeo asijue.

Unaficha mapicha yako. Unaficha 'appointments'. Unaficha mwenzio asimtambue ambaye unachepuka nae.

Just be free utaenjoy life.

Jumatano, 30 Mei 2018

*JE IMANI AU MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI YANAPATIKANA KATIKA BIBLIA?*

*JE IMANI AU MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI YANAPATIKANA KATIKA BIBLIA?*
*&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&*

Wakatoliki wengi huyumbishwa kwa kuambiwa huamini mambo ambayo hayako au ni kinyume na Biblia. Aya zifuatazo zitakusaidia wewe mkatoliki kuelewa au kujua mistari ya Biblia inayofafanua  imani katoliki.

1) KUOMBEA MAREHEMU:
     2 Mak. 12:38-46
      Hek. 3:1
      Tob 4:17

2) MATUMIZI YA SANAMU NA VISAKRAMENTI
     2Fal 3:20-21
      Hes. 21:8-9
      Kut. 25:17-22
      Kol. 1:20, 2:14
      Yn. 12:32
      Mt. 19:11-12

3) USAHIHI WA MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI KAMA CHANZO CHA IMANI
        2 The 2:15
        2 Kor. 10:10-11
         Yn 21-25
         2 Yoh. 1:12
         3 Yoh. 1:13

4) KUABUDU JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI(SABATO).... Hasa ni kwa sababu Yesu aliitukuza siku ya kwanza ya juma kwa ufufuko wake na kwa kuwatokea wanafunzi wake siku hiyo.
         Ufu 1:10
         Mdo 20:7
         Mt 28:1-8
         Lk. 24:1-7
         Lk. 24:13ff
         1 Kor. 16:1-2
         Yn. 20:1-22

5) MAMLAKA YA PAPA KAMA MFUASI AU MRITHI WA MT. PETRO
         Yn. 21:15-17
         Mt 16:18-19
         W 2:1-14
      
6) MAPADRI KUITWA BABA WAKATI BABA NI MMOJA ALIYEKO MBINGUNI
          Mwa 17:4
          Yer. 7:7
           Hes. 12:14
           Yn. 6:49
           Mt 23:30
           Lk. 1:73

7) JE BIBLIA INATAMBUA MUUNDO WA UONGOZI WA KANISA?
          Efe. 4:11-13
          1Tim 5:17-25
          1Tim 3:1-7,8-18

8) JE BIBLIA INASEMAJE KUHUSU TOHARANI.
           Isa 35:8, 52:1
           Zek 13:1-2
           1Kor 3:15
            Lk 12:47-48, 58-59
           Ufu 21:27
           Ebr 12:22-23
           Ayu 14:13-17

9) KUHUSU MATUMIZI YA UBANI
          Kut 30:34-37
          Hes 16:6-7
          Law 16:12-13
          Lk 1:10
          Ufu 8:3

10) ROZARI IKO KATIKA BIBLIA?
           Lk 1:28
           Lk 1:42
   
11) JE KUTUMIA MAJI YA BARAKA NI MAPENZI YA MUNGU?
           2Fal 2:19-22
           Yn 5:1-18
           Yn 7:37
            Hes 19:1-22

12) KWANINI TUNAOMBA WATAKATIFU WATUOMBEE?
           Mit  15:8, 15:29
           Ayu 42:8
           Yak  5:16
            Mt 16:19

13)KWANINI TUNATUMIA MEDALI, MISALABA, SCAPURALI NA MIFUPA YA WATAKATIFU?
           2Fal 13:20-21

14) KWANINI TUNAUNGAMA DHAMBI ZETU KWA PADRI
         Mt 16:19,1-20
         Yak 5:15-16

15) UBATIZO WA WATOTO WACHANGA UKO KATIKA BIBLIA
           Mdo 16:15-33
           Mdo 18:8
           Mt 28:19
           Mdo 10:47-48

16) KUSIMIKWA KWA UTUME
          Kut 28:4-43

17) RANGI ZA KANISA
         Kut 27:9-29

18) MATUMIZI YA MISHUMAA
       Kut 25:31-40; 27:20-21
       Hes 8:1-4

19) MPAKO WA MAFUTA YA KRISMA
      Kut 30:22-32

20) MPAKO WA MAFUTA YA WAGONJWA
       Yak 5:14-15
*Hii ni kwa ajili ya wakatoliki wote wasiokua na uhakika wa wao kuwa wakatoliki*
*~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~*
Mtumie na mkatoliki mwenzio ili tujijenge kiimani na kiroho pia.
   
       *Roho wa Bwana awe nawe*

Jumapili, 29 Aprili 2018

Methali

​​​Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:​​​
1. Mwenzako akinyolewa tia maji.
_*• Siku hizi tunanyoa kwa mashine.
Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.
Mara wapgwa shot ya umeme uvurugike akili *_

2. Barua ni nusu ya kuonana.
_*• Siku hizi watu wanaonana kwa watsap.
Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.*_

3. Akili ni nywele.
• Vipi kuhusu Mawigi?

4. Mchagua jembe si mkulima.
• siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.

5. Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.
• siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.

6. Polepole ndio mwendo.
• siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki kwenye foleni kutwa

Hatupendi mambo ya kizamani...

Uwe na asubh njema..nakwenda kulala kidooogo prt 2

Jumapili, 15 Aprili 2018

Ulishajiuliza Unapenda Nini Kwa Mpenzi Wako ?

Ulishajiuliza Unapenda Nini Kwa Mpenzi Wako ?


Kamgisha blog.Darasa la Mapenzi / 3 days ago



Leo kwenye safu hii nimekuja tuongelee suala hili la wapenzi kupendana na kufikia kuwa mwili mmoja je, umewahi kujiuliza maswali kuhusiana na mwenza wako? Maswali haya yanawahusu wote.

Mnatafuta nini ndani ya wenza wenu ni kitu gani mnaangalia/mnakiona ndani ya mtu unayeamua kuwa naye kama mchumba/mume/mke. Je, ni macho yake au tabasamu, ama ni muonekano wake, uchangamfu au upole, ni kitu gani unachokiona ndani ya mtu kinachokuvutia. Wengine wanavutiwa jinsi mtu anavyofikiria, au mwili wake, wewe je?

Unaweza ukawa umevutiwa na kitu kimojawapo, lakini unajua uhusiano mzuri haujengwi na vitu hivi tu, kuwa na uhusiano mzuri na mwenza wako inahusisha vitu vingi sana tofauti na tabasamu lake iwe unatafuta mtu wa kuwa naye au kama tayari upo katika uhusiano hakikisha mnakubaliana vitu muhimu ambavyo mkividharau kisa umempenda kwa sababu ya shepu yake au ucheshi wake vinaweza kuharibu uhusiano huko mbele ambapo ni pagumu zaidi.

Vitu unavyotakiwa kuangalia zaidi

Hivi ni baadhi ya vitu unavyotakiwa kuangalia ndani ya mwenza wako kama unataka uhusiano mzuri na kama kweli atakuwa mke au mume, epuka kuangalia vitu vya awali kama hivyo nilivyovitaja hapo.

Anakupa heshima yako, haijalishi kama yeye ni mkubwa kwako, na hapa heshima siyo salamu kama wengi mnavyodhani.

Anaheshimu maamuzi yako, kama ni katika kazi au kitu unachoamua kufanya na siyo kukucheka au kukudharau.

Hakukatishi tamaa anakuunga mkono kwenye kila jambo na kukupa moyo wa kushinda kila wakati.
Hakasiriki ukijipa muda na marafiki au familia yako, unatakiwa kuwa na uhuru wa kujichanganya na watu wengine siyo yeye tu.

Anasikiliza mawazo yako na kukushauri

Mnashea vitu unavyovipenda kama vile kuangalia muvi, aina ya muziki, kucheza. Angalau muwe na kitu kimoja ambacho wote mnapenda ili muwe na kitu cha kufanya pamoja, vitu vingine mnaweza kutofa-utiana haina shida kwa sababu hata mapacha waliozaliwa pamoja kuna wakati huwa wanato-fautiana lakini iwe kuna kitu mnaendana ambacho mtashiriki pamoja.

Mpenzi huyo asiwe mkaidi kwa kila kitu unachomwambia, hii inawahusu wapenzi wote si wanaume ama wanawake tu.

Awe anaheshimu mipaka yako, siyo atake kujua kila kitu chako kama vile kukagua simu au wapi unapokuwa saa 24, kama mpo katika uhusiano mnatakiwa mheshimiane maana mwanzo wa kufuatiliana saa zote ndiyo mwanzo wa ugomvi usiyoisha.

Asiogope kukuambia anavyojihisi, hii itawasaidia hata pale mtakapokuwa na matatizo ili muweze kusuluhisha mambo yenu, itawaondoa kwenye hali ya kila mtu kumuwekea mwenzake kinyongo.

Kumbuka uhusiano unahusisha watu wawili, wewe na patna wako muwe na usemi ndani ya uhusiano wenu na msiogope kuambiana mnachohisi na kusikilizana pia.

Ndani ya kila uhusiano kuna kugombana, hiki ni kitu cha kawaida kabisa. Wale mnaowaona wana furaha katika uhusiano wao wameweza kujua jinsi ya kuyamaliza matatizo yao.

Usimpende mtu kwa sura, fedha, uvaaji wake bali iwe kwa mapenzi ya dhati.