Tafuta katika Blogu Hii

Alhamisi, 2 Machi 2017

Historia ya Mkwawa

HISTORIA YA MKWAWA AMBAYE ALIWAHI KUWA CHIFU WA UHEHE

Kamgisha blog/ 10 hours ago


PICHA YA MKWAWA

Mkwawa alikuwa kiomgozi wa jadi wa kabila la wahehe nchini Tanzania, ni moja kati ya viongozi shupavu wa jadi waliowahi kuishi duniani japo mapokeo yao yanaharibiwa taratibu na mabadiliko ya sayansi na technolojia lakini kumbukumbu zao hazitasahauliki hata vizazi vingi vijavyo. miongoni mwa machifu wanaotajwa kuwa na nguvu za kiutawala kwa kipindi hicho ni pamoja na kinjekitile ngwale wa songea aliyeongoza vita za majimaji, Mirambo wa Tabora nk 

KUZALIWA Mkwawa alizaliwa mnamo mwaka 1855 katika kijiji cha LUHOTA nje kidogo na mjini Iringa.

Jina halisi aliitwa MKWAVA au MKWAVINYIKA likiwa na maana ya MTAWALA WA NCHI,

Mkwawa alikuwa mtoto wa chifu aliyeitwa MUNYIGUMBA aliyekufa mwaka 1879.

Baba yake alifanikiwa kuunganisha temi ndogondogo za wahe he na makabila ya jirani na kuwa dola moja , mfumo huo alinakili toka kwa falme za WASANGU waliowahi ku wa kabila lenye nguvu amabalo mbinu hii pia nao walijifunza toka kwa WANGONI.

Hadi miaka ya 1870 eneo la wahehe lilipanuliwa kuanzia kusini hadi katikati ya Tanzania ya leo.

Baada ya kifo cha chifu MUNYIGUMBA watoto wake waliingia tofauti kubwa sana katika harakati ya nani achukue madaraka ya hayati baba yao.

Mwisho mkwawa alishinda na akawa kiongozi mpya wa wahehe Mkwawa aliendelea kupanua dola ya wahehe hadi kufikia mwaka 1880 alitawala sehemu muhimu za njia ya misafara kati ya pwani na ziwa Tanganyika.

Ambapo misafara hiyo ilikuwa ikibeba bidhaa za nje kama vita mbaa, visu, silaha kutoka pwani na ziwa Tanganyika.

 Misafara hiyo ilipaswa pia kulipa kodi iliyojulikana kama HONGO ambayo iliongezwa uwezo wake nguvu za kijeshi na kiutwala kwa ujumla MKWAWA NA UVAMIZI WA WAJERUMANI Tangu mwaka 1855 hivi, Wajerumani walianza kuunda Koloni lao katika Tanzania bara, Rwanda na Burundi ya leo.

Mnamo mwaka 1891 mkwawa alituma jeshi lake katika kambi ya WAJERUMANI iliyokuwepo mpwapwa na akawaadhibu vibaya wajerumani, sambamba na eneo la USAGARA ambako nako pia alishinda vita dhidi ya wajerumani.

 Gavana mpya wa kijerumani EMIL VON ZELEWSK alisikia habari za uvamizi wa wahehe, na akaomba kibali cha kuwashambulia wahehe toka BERLIN.

EMIL VON ZELEWSK KIONGOZI WA WAJERUMANI ALIYEONGOZA VITA ZA LUGALO

MAPIGANO YA LUGALO Mwezi julai 1891 Von Zelewsk aliongoza kikosi cha maafisa 13 na askari waafrika kutoka sudani 320 pamoja na wapagazi 113.

Walikuwa na bunduki za kisasa na mizinga midogo. Zelewsk aliwadharau wahehe kama washe nzi ambao walikuwa na mikuki na pinde tu kwahiyo hakuona haja ya kutuma wapelelezi wa awali.

Tarehe 17 agost 1891 Zelewsk na jeshi lake walipita eneo la LUGALO km kadhaa toka Iringa mjini MKWAWA alikuwa aki msubiri akiwa na askari wapatao 3000,

Mkwawa aliwashambuliwa wajerumani kwa kushtukiza na dakika kadha wajerumani wengi waliuawa akiwemo kiongozi wao ZELEWSK, wachache kati yao walikimbia ili kujiokoa nafsi zao.



 ASKARI WA KIHEHE WAKIWA TAYARI KWA VITA...picha sio halisi



ASKARI WA KIJERUMANI WAKIWA TAYARI KWA MASHAMBULIZI  

Baada ya vita vya LUGALO mkwawa aliona kuwa wajerumani walikuwa na silaha nzito na muda wowote angeweza kupinduliwa hivyo akatuma wajumbe au mabalozi kwa Gavana VON SODEN walioeleza ya kwamba wahehe walikuwa wakijihami tu juu ya mashambulizi ya lugalo na kwahiyo hawakuwa na lengo la kuwaangamiza vile wanaomba maelewano na amani, 

Wajerumani walikubali lakini kwa masharti magumu kuwa misafara ya wafanya biashara ipite kwenye milki yake bila kutozwa HONGO na asishambulie tena vijiji vya jirani zake kwa maana ya kupanua tena himaya yake.

 Mkwawa hakuwa tayari kuahidi yote na hivyo akachelewesha mkutano wa makubali ano hayo, wakati huo kamanda mpya mjerumani TOM VON PRINCE alijenga boma jipya la wajerumani uhehe na MKWAWA alijibu mashambulizi kwa kushambulia vikosi vidogo vya kijeshi vya kikoloni. 

Gavana SODEN alidai kutoendelea na mapigano lakini mwaka 1893 aliondoka Afrika na gavana von schele alitaka kulipiza kisasi akaa muru mashambulizi dhidi ya mkwawa.

 AMANI YA MUDA Mwezi oktoba 1894 Von Schele aliongoza kikosi cha maafisa wajerumani 33 na askari waafrika pamoja na wa pagazi zaidi ya 1000 kuelekea KALENGA. 

Walipofika mbele ya Kalenga Wahehe walijisikia salama kutokana na kuta imara zilizokuwepo, lakini kutokana na mizinga waliyokuwanayo wajerumani, kuta hizo zilivunjwa kwa m izinga na wakauawa wahehe wengi wakiwemo askari. 

Mnamo alfjiri ya tarehe 30 oktoba askari wa jeshi la schtzt ruppe walipanda ukuta katika sehemu iliyodhoofishwa tayari kwa kuingia bomani, mpaka kufika jioni ya siku hiyo mji wote ulikuwa mikononi mwa wajerumani. 

Mkwawa alikimbia na kujificha mstuni pamoja na askari wake. 

Gavana Von schelle alishindwa kuendelea na mashambulizi kwasababu gharama za uendeshaji wa vita zile zilikuwa kubwa ukilinganisha na makisio aliyoyapeleka Berlin mbali na hilo pia wabunge wa upinzani mjini B erlin walipinga vita za kikoloni na pia wakakataa kuongeza fedha kwa ajili ya vita hizo.

 Baada ya kuondoka wajerumani MKWAWA aliweza kurudi na kujenga tena boma katika kijiji cha KALENGA Mnamo sept 1895 Mkwawa alikuwa tayari kujadiliana tena na wajerumani na tarehe 12 oktoba walipata amani na wajerumani walimkubali Mkwawa kama chifu wa wahehe.

 Wahehe waliahidi kurudisha silaha zote walizoziteka kutoka mikononi mwa wajerumani na kupandisha bendera ya wajerumani kwenye himaya yake vilevile ku waruhusu wafanyabiashara. 

Mkwawa alimwagiza mjomba wake kutia saini lakini alikataa kwa madai kuwa hiyo ni sawa na kujiua mwenyewe. 

KUANGUKA KWA DOLA YA KIHEHE NA KIFO CHA MKWAWA Baada ya miezi kadhaa WABENA waliendesha shambulio kali dhidi ya WAHEHE jambo ambalo lilipelekea Wahehe kuomba msaada kwa wajerumani.

 Lakini urafiki huu ulidumu kwa muda mfupi sana ambapo afisa mmoja mjerumani alifika KARENGA kwa ajili ya kuonana na chifu Mkwawa lakini alizuiliwa kwa madai ya kulipa HONGO ya bunduki 5 , kwa tukio hilo maafisa wa jeshi la wajerumani waliokuwa wakilinda mpaka ambao bado walikuwa wakitafuta njia ya kulipiza kisasi cha LUGALO wakadai kuwa chifu amevunja makubaliano.

 Kapteni wa kijerumani Tom Von Prince alijenga boma jipya karibu na karenga. 

Baada ya kuona wajeruma ni wamemgeukia Mkwawa alijaribu kujenga mapatano na majirani zake wakiwemo wabena bila mafanikio, WABENA walikataa kata kata hasa walipokumbuka jinsi walivyoshambuliwa na wahehe kipindi cha nyuma. 

Baadhi ya viongozi wa mkwawa walianza kumsaliti akiwemo mdogo wake aliyeitwa MPANGILE aliyeshikamana na wajeru mani. 

Mnamo septemba wahehe waligawanyika na sehemu kubwa ya viongozi waliokuwa wamechoka vita iliku wa tayari kuwakubali wajerumani, wajerumani walimsimika MPANGILE kama chifu mpya wa wahehe

 Lakini baada a ya siku 50 alisimamishwa na kuuawa na wajerumani kwa madi kuwa alikuwa akimsaidia kaka yake kwa siri. 

Kwa kipindi hicho cha mwaka 1896 Mkwawa alikuwa ameondoka IRNGA baada ya kuona mgawanyiko alifuata mkondo wa mto ruaha akilindwa na wenyeji waliokuwa tayari kumficha na kumlinda dhidi ya wajerumani waliokuwa wakimtafuta. 

Mnamo Disemba 1896 alihamia milima ya Udzungwa, kutoka huko aliteremka mara kwa mara kwenye mabonde alikopata chakula na kushambulia vikosi vidogo vya askari wa kijerumani. 

Julai 1897 kikosi kikubwa cha wasangu pamoja na wahehe wakiongozwa na wajerumani walivamia eneo alilokuwa am ejificha chifu mkwawa mlimani, lakini mkwawa alikimbia na wakamkosa kwa kipindi hicho. 

Julai ya 1898 watu waliokuwa wakimlinda walibaki wachache mno, askari walikuwa 4 pekee, baadaye wakabaki wawili tu ambao majina yake yalipata kufahamika sana MUSIGOMBO na LIFUMIKA, 

Kwa hofu ya kuuawa na mkwawa LIFUMIKA aliamua kukimbia asubuhi ya tarehe 19, julai lakini hakufika mbali akakutana na wajerumani waliomlazimisha awaambie mkwawa aliko alikataa na baada ya kuadhibiwa sana akawaambia kuwa chifu alikuwa mgonjwa mahali palipo na umbali wa masaa 3. 

Walimlazimisha kuwaongoza njiani walisikia muungurumo wa sauti ya risasi 1 wakaendelea na baada ya masaa mawili walikuta maiti za Mkwawa na kijana mmoja.

Jifunze kuishi kwa malengo

Jifunze kuishi kwa malengoKAMGISHA BLOG / 10 hours ago

MSOMAJI wangu, nakukaribisha tena katika mfululizo wa makala hizi za maisha yetu, zinzokujia kila Alhamisi.

Leo tutaangalia jinsi unavyoweza kupanga malengo makubwa katika maisha yako.
Watu wengi hushindwa kufikia malengo makubwa kwa kuwa, mara zote hujikatisha tamaa kuwa hawawezi kufanya jambo kubwa la kimaendeleo, kabla ya kujaribu kulifanya.

Tabia ya baadhi ya watu hao wanaokuwa na malengo madogo katika mazingira wanayoishi, ina maanisha eneo hilo hakuna ushindani wa kimaendeleo, ama wao wenyewe hawana jitihada za dhati za kupiga hatua zaidi mbele.

Lakini ikimbukwe kuwa, katika kutafuta mafanikio hayo ili uwe na maisha bora, usimwangalie mtu jinsi alivyo, kwamba ana urefu gani, ana pesa kiasi gani, digrii aliyonayo ama kuangalia historia ya maisha yake, bali hupimwa kwa uwezo wa kufikiri kwake.

Watu wengi wanaofikiria kuwa na malengo makubwa ya mafanikio, katika maisha yao ni kutokana na matarajio waliyonayo.
Inakupasa kila mara ujitahidi kupanua mawazo yako na kubuni mbinu mpya za kukutoa hapo ulipo na kukuweka katika hatua nyingine nzuri zaidi kimaendeleo.

Hivyo utambue kuwa, unapotaka kufanya mambo makubwa inakupasa ujijue wewe ni nani na una thamani gani.

Kwa maelezo mengine usijishushe hadhi yako kwa kuona kuwa huwezi kufanya mambo makubwa ya kimaendeleo ambayo yatakutoa hapo ulipo na kukuweka katika hatua nyingine nzuri zaidi.

Tuangalie mfano wa kijana mmoja aliyeshindwa kupiga hatua mbele baada ya kujishusha hadhi yake na kujiona hawezi.

Kijana huyo, aliona tangazo la kazi katika gazeti. Kazi aliyokuwa anapenda kuifanya na pia ameisomea.

Lakini hakufanya jitihada za dhati za kuomba nafasi ile, kwa kuwa alijiona hawezi kuipata hata kama angeomba.

Aliona kuliko ajitaabishe ni heri aache  nafasi hiyo. Mfano huo si mzuri kwa mtu anayetaka kupiga hatua kimaisha.

Usijishushe hadhi yako ama usikatishwe tamaa kwa hali yoyote ile. Ni vema kujaribu kile unachokipenda na unachokihitaji katika maisha yako, kuliko kuacha kujaribu kwa kuogopa kuwa hautafanikiwa.

Kwani matokeo huja baadaye, hata utakaposhindwa, utakuwa na nguvu ya kujaribu tena sehemu nyingine.
Wengi wetu, tumekuwa tukijikatisha tamaa katika shughuli mbalimbali tuzifanyazo ama tunazotaka kuzifanya.

Yawezekana umeanzisha biashara kwa lengo la kukuinua kiuchumi, lakini matokeo yake, biashara hiyo haiendi kama vile ulivyotarajia.
Jambo la msingi, inakupasa kukaa chini na kujitathmini, kuangalia ni sehemu gani unayokosea.

Ama kuangalia, kama una washindani wengi katika eneo hilo, ili uweze kufanya vizuri zaidi yao, kwa kuweka vitu vingi tofauti na kuboresha eneo la biashara yako.
Kuwa mbunifu katika biashara yako kutakupa wateja wengi,  utafanikiwa zaidi. Cha msingi usikate tamaa katika kufikia malengo unayoyakusudia.

Kutokana na hali ya kujikatisha tamaa, miongoni mwa watu wengi, wanasaikolojia mbalimbali wamekuwa wakishauri ni vema, watu wajijue vile walivyo ili waweze kujirekebisha pale penye upungufu na kusonga mbele kimaisha.

Hali ya kujikatisha tamaa ni mbaya sana, ni sawa na ugonjwa usiopona katika mwili wako. Ili kuutibu ugonjwa huo, inakupasa ujielewe wewe ni nani, na una upungufu gani, pamoja na kukubali mabadiliko.
Tatizo kubwa lililopo kwa watu wengi, hawajui kuwa, wao wana uwezo mkubwa tofauti na wanavyojifikiria.

Hivyo ni vema kuweka mawazo yako kwenye kipimo halisi, uyachuje na kuchukua yale yaliyo na thamani.
Penda kufikiri mambo makubwa. Usijishushe hadhi yako kwa kujiwekea au kufikiri malengo madogo.

Anza sasa kuwaza mambo makubwa ili uwe mtu mwenye ndoto njema ya maendeleo.
Kutokana na hali hiyo ya watu kujikatisha tamaa, wale ambao wamewahi kufanya biashara na kufilisika, wengi wao wamekuwa wakisema kuwa hawatarudia tena kufanya biashara hiyo.

Lakini kumbe, haikuwapasa kukata tamaa, bali kujipa moyo, na kuelewa kuwa pamoja na hali hiyo ya kushindwa inawapasa kujaribu tena.
Kamwe usikate tamaa katika jambo lolote unaloliwaza ama kulifanya. Kwa kuwa, upo msemo mmoja unaosema, penye nia pana njia.

Kanuni6 za mafanikio, kutoka kwa Arnold Shwarzegger

Kanuni 6 Za Mafanikio, Kutoka Kwa Arnold Shwarzenegger

KAMGISHABLOG / 6 hours ago

Wengi wetu bila shaka umeshawahi kumuona au kumsikia mcheza sinema maarufu duniani kwa kipindi hicho ambaye kwa sasa ni Gavana wa jimbo la calfornia, Anord Shwarzenegger. Enzi zake alicheza sinema nyingi ambazo zilimpa mafanikio makubwa sana. Leo hii akiwa kama Gavana, Anorld anatushirikisha baadhi ya kanuni za mafanikio alizozitumia hadi kufikia viwango vya juu vya mafanikio.

Zifuatazo Ni Kanuni 6 Mafanikio Za Kutoka Kwa Arnold Shwarzenegger.
1. Jiamini wewe mwenyewe.
Watu wengi mara nyingi hutafuta ushauri wamafanikio kwa watu mbalimbali ili kuwafanikisha. Ni jambo zuri. Lakini kitu cha cha muhimu hapa kwako ni kujiamini wewe mwenyewe kuwa unaweza kufanikiwa. Tafuta ni kipi unachokipenda, unataka kuwa nani na kisha tekeleza kwa kujiamini kabisa, UTAFANIKIWA.

2. Vunja sheria zinazokuzuia kufanikiwa.
Tunaishi katika ulimwengu ambao unasheria nyingi nyingi za uasili zinazoweza kutuzuia kufanikiwa. Sasa hizi ni sheria ambazo kwa vyovyote vile ni lazima zivunjwe. Sheria hizi zinaweza zikawa ni uvuvi au mazoea fulani mabaya tuliyojijengea. Kwa kung’ang’ania sheria hizi hakuna mafanikio yanayoweza kupatikana.

3. Acha kuogopa kushindwa.
Siri kubwa ya mafanikio  ni kujifunza kutokuogopa kujaribu. Kama kuna fursa imejitokeza jaribu kufanya kwa ujasiri mkubwa na acha kukaa katika mkao wa kuogopa hiyo haitakusaidia sana. Hautaweza kufanikiwa kwa kukaa tu. Jitoe mhanga na hakikisha mpaka mipango na malengo yako makubwa yatimia.

4. Acha kusikiliza maneno ya wanao kukatisha tamaa.
Yatasemwa mengi kwamba huwezi kufanya hili wala lile. Wasikilize kisha achana nao. Lililo kubwa kwako jiamini mwenyewe kuwa utafika kule unakotaka kufika na kisha endelea mbele. Najua ni mara nyingi umewahi kusikia kauli hizi zikija kwako. Jambo la kufanya zipuuze kauli hizo, halafu fanya kile unachoamini kitakupa mafanikio.

5. Fanya kazi kwa bidii sana.
Hiyo ni nguzo kubwa ya mafanikio yako. Fanya kazi kwa bidii kwa kuamua kujituma na kulipia gharama zote za mafanikio. Hakuna mafanikio ambayo yatakuja kwako bure zaidi ya wewe kuwekeza nguvu na uwezo wako wote mkubwa kwenye kufanya kazi kwa bidii na maarifa makubwa siku zote. Hapa ndipo mafanikio makubwa yanapopatikana.

6. Kumbuka kutoa.
Mafanikio yoyote utakayokuwa umeyapata , hakikisha unatoa kwa jamii yako kiasi fulani  kama sehemu ya shukrani. Hii ni sheria au kanuni ya asili ambayo itakusidia kufikia mafanikio makubwa siku zote.

Hizo ndizo kanuni za mafanikio ambazo unaweza kuzitumia kufikia mafanikio makubwa, kama zilivyotolewa na Arnold Shwarzenegger, Gavana wa jimbo la Calfornia marekani.

Jumatatu, 27 Februari 2017

Liverpool

Vardy hits nyuma katika Leicester wakosoaji

Feb 28, 2017

Jamie Vardy anahisi Leicester mikononi majibu kamili ya upinzani juu ya kufukuzwa kwa Claudio Ranieri na wao 3-1 dhidi ya Liverpool katika Ligi Kuu ya Jumatatu.

Mshambuliaji wa England alifunga mabao kama Foxes kumbukumbu ushindi wao wa kwanza wa msimu wakati wao kusadikika kuwapiga Reds, na Vardy anaamini utendaji dhidi ya upande Jurgen Klopp mapenzi kufuta hofu ya kushuka daraja katika King Power Stadium.

"Tumekuwa kuja chini ya mengi ya fimbo haki na mambo ambayo imekuwa katika vyombo vya habari na online siku za hivi karibuni," Vardy aliiambia Sky Sports baada ya mechi.

"Umeona vijana hawa alitaka kuweka katika majibu na sasa ni juu yetu ya mfululizo kufanya hivyo.

"Mimi naweza kusema wewe [kwa nini Leicester wamekuwa hivyo maskini], mimi hakuweza kuweka kidole yangu juu yake.tumekuwa kufanya kazi kwa bidii na ni haijawahi kutokea lakini, bahati, ni wote clicked

"Napenda kusema [kulikuwa na] juhudi zaidi.shakes [kocha wa muda Craig Shakespeare] kabla ya mchezo aliniambia kucheza mengi juu na kulikuwa na udhaifu ambapo tulidhani tunaweza kuwadhuru.

"Nimekuwa frustrated sana na kiasi cha mabao Mimi nimepata msimu huu lakini hopefully hizo mbili kushinikiza yangu juu na kuna kura zaidi ya kufuata.

"Sisi tu zinazohitajika ili kuonyesha kwamba sisi tumepewa kwamba mapigano kiwango.kushinda au kupoteza, kwa muda mrefu kama tulipata utendaji haki tunaweza kushikilia vichwa vyetu high mwishoni lakini nadhani sisi alistahili pointi tatu. "

Danny Drinkwater, Foxes 'nyingine mfungaji usiku, sifa kurudi kwa mbinu ambao ulisababisha wao taji la ligi msimu uliopita kwa kuonyesha yao ya kuvutia dhidi ya Liverpool.

"Sisi aina ya kufanya mchezo wetu juu ya mambo ya msingi hao - kuzungumza, kusonga, shinikizo, high kiwango.ni kuhusu kwenda nyuma ya msingi na kufanya hivyo kutokea, "Drinkwater alisema.

"Sisi taabu yao juu juu ya lami, kuwafanya matatizo na imetusaidia.

"Ni jambo ambalo tunahitaji kujenga juu ya. Pointi Watatu dhidi ya Liverpool ni kushinda mkubwa na tuna teke juu ya kutoka hapa."

Vardy hits back at Leicester critics

Vardy hits back at Leicester critics

Feb 28, 2017

Jamie Vardy feels Leicester delivered the perfect response to criticism over the sacking of Claudio Ranieri with their 3-1 win over Liverpool in the Premier on Monday.

The England striker scored a brace as the Foxes recorded their first win of the season when they convincingly beat the Reds, and Vardy believes the performance against Jurgen Klopp's side will allay fears of relegation at the King Power Stadium.

"We've come under a lot of unfair stick with the stuff that's been in the press and online lately," Vardy told Sky Sports after the match.

"You've seen the lads wanted to put in a reaction and now it's up to us to consistently do that.

"I couldn't tell you [why Leicester have been so poor], I couldn't put my finger on it. We've been working hard and it's not been happening but, luckily, it's all clicked

"I wouldn't say [there was] more effort. Shakes [interim manager Craig Shakespeare] before the game told me to play a lot higher and there were weaknesses where we thought we could hurt them.

"I've been very frustrated with the amount of goals I've got this season but hopefully those two will push me on and there are lots more to follow.

"We just needed to show that we've got that fighting intensity. Win or lose, as long as we got the performance right we could hold our heads high at the end but I think we deserved the three points."

Danny Drinkwater, the Foxes' other goal scorer on the night, credited a return to the approach which led them to the Premier League title last season for their impressive showing against Liverpool.

"We kind of make our game on those basics - talking, moving, high pressure, high intensity. It's about going back to basics and making it happen," Drinkwater said.

"We pressed them high up the pitch, it caused them problems and helped us.

"It's something we need to build on. Three points against Liverpool is a massive win and we have to kick on from here."

Klopp tears into 'not good' Liverpool

Klopp tears into 'not good' Liverpool

Feb 28, 2017

Following the sacking of Claudio Ranieri last week, the Foxes delivered the perfect response to their critics with an emphatic win over the Merseysiders.

Danny Drinkwater struck a spectacular long-range effort either side of a Jamie Vardy brace, before Phillippe Coutinho got one back for the visitors late on.

The result sees Leicester move out of the relegation zone while Liverpool remained in fifth, albeit having played a game more than Manchester City and Arsenal above them, and Manchester United below them on the Premier League table.

"If we make our best game and play really good and we lose I have to accept it, that's football," Klopp told Sky Sports.

"We did not do enough. It looked like we'd never spoken about the strength of Leicester. That's the real problem.

"I spoke in the dressing room about it. That's not enough, for sure. That's not even close to being enough.

"We have to work, obviously and try with everything we have to do better next time.  It is really hard to see what we would usually be able to do in this performance.

"Not good in offence, not good in defence - that's how you lose football games.

"There is no reason at this moment for this. You can always find excuses but I am not ready to look for an excuse."

Liverpool host Arsenal in their next match next week and another defeat will be a significant blow to their Champions League qualification chances.

The Reds have an excellent record against their rivals for the top for, with four of their five Premier League defeats coming at the hands of sides in the bottom half.

"We have a week to prepare and we have to show a reaction. That's what we have to do," Klopp added.

"We are all playing for our future. I don't want to be too serious but that's how it is.

"We have to perform differently to what we did. We can be much better, we have shown it already. Not doing it feels really disappointing.

"Thank God we don't have to play again tomorrow. After you win and you lose you have to analyse, show the boys and react on it again."

Jumanne, 14 Februari 2017

Nakaribia kushidwa kuitunza bikra

Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda...Marafiki zangu wanadai hiyo kitu ni tamu sana.

Sometimes, natamani niende na mwnaume yoyote tuu. Ushauri wenu tafadhali. "Ndege mjanja asinase kwenye tundu bovu.

Pata namba 0743592888