HUYU NDIO MWANAMKE WA KUOA ILA SIJUI KAMA TANZANIA YUPO😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃
1-Mwanamke ambaye anakuja kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari kisha akaamua kula nawe,
huyo mwanamke oa.
2-Unakwenda naye hotelini na anaagiza ugali dagaa na maji tu, huyo oa kwani
anajua uchumi.
3-Mdada aliye amua kumuacha bwana anae miliki 🚘 gari na kukufata wewe wa 🚶🏽miguu mitupu, usimuache huyo.❤❤❤❤
4-Mwanamke anaekuja kwako akakuta 👕👖 nguo zako chafu akaamua kufua zote mpaka za wadogo zako, huyo mke usimuache.
5-Mwanamke unampa 💸 Tsh 5,000 akafanye shopping sokoni kisha akarudisha chenji, huyo usimuache kwan anajua kuban matumizi na muaminifu.
6-Ukimpat mwanamke ambaye anakupigia cm na kukuuliza je anaweza kukutumia credit au hela ya lunch au anakupa pocket money saa nyingine, huyo mwanamke mtangazie ndoa fasta.
7-Mwanamke ambaye anakupa password ya bank laptop cm na emails zake, oa haraka sana watamfukuzuia wenzako.
8-Mwanamke ukipanda nae daladala anakulipia nauli au mkitoka aut analipia bili ya vyakula na vinywaji, huyo usimuache anajua wajibu wa wanandoa.
9-ukimpat ambaye mnapokula yeye anachagua mifupa na kukuachia minofu, huyo oa fasta kwani anajali afya yako.
10-ukipat mwanamke ambaye kila ukimuuliza umletee nini unapotok kazin lakini yeye anakwambia kuwa hahitaji chochot bali anataka tu urudi salam, huyo ndie mke sio kila siku unatumwa chipsi
SHARE