MWANANGU.
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!
2. Mwanangu, usimfanye mwanamke wako kuwa ndio wa kupika na kufanya kazi zote za jikoni peke yake, tabia hiyo sio nzuri Kwani hata nyakati zetu, mashamba yetu yalijulikana kwa majina yetu wanaume lakini tulifanya kazi pamoja!
3. Mwanangu, nikikwambia wewe ni kichwa cha familia, simaanishi kutuna kwa pochi lako, usiangalie kabisa pochi yako, angalia kama utaona tabasamu usoni kwa mke wako. Pesa sio kila kitu katika ndoa na haileti ukuu wa familia!
4. Mwanangu, ukitaka kuwa na maisha marefu na ukapunguza misongo ya mawazo, ongea na mkeo pangeni bajeti ya mahitaji yenu, kisha mwache mkeo awe na jukumu la kuratibu mahitaji ya kila siku ya familia kwa kumkabidhi fungu husika hata kama limetokana na michango yenu wawili. wanawake wanajua sana kupanga bajeti na hii haitakuwa rahisi kwa yeye kutumia hela hovyo wakati akijua kuwa nyumbani kuna mahitaji ya msingi, lakini hela zikiwa mikono mwako ataendelea kuomba hata kama utakuwa umeishiwa!
5. Mwanangu, Usithubutu kumpiga mkeo, maumivu ya kipigo hukaa ndani ya moyo wake kwa muda mrefu sana na huacha kidonda ambacho hukawia sana kupona. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye majeraha moyoni!
6. Mwanangu, sasa unaamua kuoa,kama bado utaendelea kuishi maisha kama ya ubachela na mke wako, sio muda mrefu utakuwa bachela tena. ukioa Badilika anza kuishi maisha ya mke na mume!
7. Mwanangu, zamani,tulikuwa na wake wengi na watoto wengi kwa sababu tulikuwa na mashamba makubwa na mavuno yalikuwa makubwa, lakini kwa sasa maisha yamebadilika, kwa hiyo mkumbatie mwanamke wako peke yake kwani hakuna ardhi tena na mahitaji ya watoto ni makubwa sana. Angalia ukubwa wa familia yako!
8. Mwanangu, chini ya mwembe ambao nilikuwa nikikutana na mama yako inaweza kuwa ni hoteli kubwa kwa nyakati zenu,lakini kumbuka, kitu pekee tulichoweza kufanya chini ya mwembe ilikuwa ni kukumbatiana pekee.nakushauri ukikutana na marafiki wa kike kikubwa unachoweza kufanya nao ni kupeana mikono na ikizidi ni kukumbatiana hadharani sio vinginevyo!
9. Mwanangu, usibadilike mara utakapoanza kupata mafanikio Zaidi, kuliko kuwahudumia hao viruka njia wa mtaani ambao hawajui mmetoka wapi na mkeo, nakushauri utumie na kufurahia mafanikio yako na mkeo ambae aliweza kusimama imara wakati wote wa mapito yenu magumu.
10. Mwanangu, kumbuka unapoanza kusema au kuona mke wako kabadilika, ujue kuwa kuna kitu ambacho ulikuwa ukikifanya umeacha kukifanya. Jitathmini na anza kufanya au kutimiza wajibu wako.
11. Mwanangu, usijaribu kumfananisha au kumlinganisha mke wako na mwanamke mwingine wa nje, kwani hata yeye anakuvumilia sana na hajakufafanisha na mwanaume mwingine yoyote huko nje na ndio maana aliamua kuwa na wewe.
12. Mwanangu, sasa hivi kuna hiki kitu kinaitwa haki za wanawake, sawa,kama mwanamke anasema ana haki sawa na wewe katika nyumba, basi gawanya mahitaji yote ya ndani kwenu katika sehemu mbili zilizo sawa,halafu timiza nusu yako na mwambie atimize nusu iliyobaki.
13. Mwanangu, nilimuoa mama yako akiwa bado kigoli (bikra) na nilikuwa naenda sana kwao kabla sijamuoa, lakini kutomkuta mkeo bikra kusikufanye umlaumu kuwa alikuwa muhuni, kumbuka wanawake wa enzi zetu na wasasa ni tofauti, ulimchagua mwenyewe na ukigoli wake hukuujua kabisa. Usiingize mambo ya kabla ya ndoa kwenye ndoa yenu.
14. Mwanangu, sikuwapeleka dada zako shule kwa kuwa nilikuwa mjinga kama wazee wengi wa hapa kijiji wasemavyo, tafadhari usifanye ujinga huu, kwani kiwango cha mafanikio ya wanawake sasa kimefanya wanaume waonekane ni watu wa kawaida sana na sio muhimu kama enzi zetu. Ukijaliwa watoto wape elimu.
15. Mwanangu, zamani enzi za ujana wetu, wanawake walikuwa na urembo wa asili, ingawa siwezi kukudanganya, wengine waliongeza urembo kwa kujichora hina na hata kutoboa pua na masikio lakini usisahau hawakuonyesha maumbile yao nyeti hadharani kama sasa. Hakikisha mkeo analijua hili!
16. Mwanangu, mama yako na mimi hatuna hisa katika kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yenu, jaribuni kutatua changamoto zenu wenyewe bila kila mara kuja kwetu kuomba usuluhishi. Ndoa ni pamoja na ukomavu wa kutatua changamoto zenu bila kuziuza kama gazeti kwa kila mtu.
17. Mwanangu,nilimnunulia mama yako kifaa cha kupikia vitumbua ili aanzishe mradi wa kuuza vitumbua, pia nilimsaidia kununua cherehani yake ya kwanza, tafadhari msaidie mke wako kutimiza ndoto zake kulingana na uwezo wako kama ambavyo unahangaika kutimiza ndoto zako.
18. Mwanangu, usiache kutusaidia mimi na mama yako, utu uzima una changamoto nyingi sana na Mungu akikujalia utaziona muda ukifika. Pamoja na kutimiza majukumu yako kama baba wa familia kumbuka pia bado tunaishi na wewe ni mtoto wetu.
19. Mwanangu, kila upatapo muda wa kusali, Sali na familia yako, kuna kesho ambayo huijui, ongea na MUNGU wako ambae anajua kila kitu kila siku!
20.NAKUTAKIA MAISHA MEMA YA NDOA MWANANGU….NAKUPENDA!
Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa
Tafuta katika Blogu Hii
Jumanne, 28 Agosti 2018
Mwanangu
Jumamosi, 18 Agosti 2018
Kwanini Wanawake Wengi Siku Hizi Hawaolewi? Jibu Mubashara Hili Hapa
Kwanini Wanawake Wengi Siku Hizi Hawaolewi? Jibu Mubashara Hili Hapa
Kamgisha blog / 1 day ago
KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO*
Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. _HAPO UMEPISHANA NA MUME_
Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. _HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME._
Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unaweka picha mapaja wazi, kifua umebust. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._
_Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Niambie sasa ni mara ngapi umepishana na mume!_
@2017king mafla
Ijumaa, 10 Agosti 2018
TAFUTA MCHUMBA/MPENZI AMA RAFIKI MPYA HAPA
TAFUTA MCHUMBA/MPENZI AMA RAFIKI MPYA HAPA
Ili kuweza kutumiwa majina mapya kila mara pasipo mtu mwengine kujua Bofya Hapa>>
Habar jina naitwa EMERIA wa mbeya nina umri 25 nina mtoto mmoja nimeishia form2 mm sio mref wala mfup
nipo kati ninatafta mchumba mwenye mapenz ya kweli mwenye kunijal sio mwongo na awe na umri27-33asiwe
mlev mambo mengine tutaongea namba 0753801714
Kwajina naitwa Sakina, napatikana pande za Arusha nina umri wa miaka 18, natafuta marafiki wa kuchati nao. namba zangu ni +155689567531
Kwajina naitwa Nasma napatikana pande za Tanga. Natafuta mchumba. awe anajitambua na kujielewa. namba yangu ya simu ni 0763367727
Hello, naitwa Happy ni mkazi wa Dar lakini kwasasa nipo safarini Bukoba. Umri wangu ni miaka 20. Natafuta mchumba kuanzia miaka 25 32. Sifa awe mwaminifu, mpole, mcha mungu na mwenye mapenzi ya kweli. Pia awe tayari kupima VVU. kwa aliyetayari na masharti haya anipigie kwa namba hii 0784962562
Naitwa karoli nipo dar natafuta rafiki wa kike uwe mweupe awe na umbo na mchamungu awe na umri
miaka17 hadi 21, namba zangu ni 0718703103
Kwajina naitwa James nipo Dar miaka yangu 23, natafuta mchumba awe anaishi Dar awe na mapenzi ya dhati, umri miaka 18 - 23. Anitafute kwa namba hizi 0688210628
Naitwa GANICUS BIFO natokea daar, Umriwangu ni miaka 22 siomrefusana nasio mfupi wakawaida,
Natafuta MPENZI umri miaka 17 hadi 20
VIGEZO: 1 mpole,2 Asiwe mrefu sana,3 Asiwe na dharau,4 Asiwe mweusi sana,5 Awe na matiti madogo
hatakama yametepeta. Anitafute kupitia namba hizi 0755 566 674, 0767 206 098, 0769 117 903, 0716 002 822.
Habari zenu naitwa ROJA toka morogoro natafuta JIMAMA lakunilea lenye kuhitaji mapenz matamu zaidi ya ASALI ninauwezo mkubwa wa kumrizisha mpaka akarizika. Kwa alie tayar anitafute.0766357077
NAITWA MUSTAFA NIPO DAR NATAFUTA MCHUMBA MKE.UMRI WANGU 43 WAKE 38
SIFA AWE MUISJAM SWALA TANO AWE NA UWEZO KI PESA AWE MLEFU KIASI MAJI
YA KUNDE AWE ANAJIIFAZI.ALIYE TAYARI PIGA 0656171667
Naitwa karoli nipo dar natafuta rafiki wa kike uwe mweupe awe na umbo na mchamungu awe na umri
miaka 17 hadi21, namba zangu ni 0718703103
Mambo naitwa Abdully toka moro natafuta mchumba sichagui sibagui kwa alietayari namba zangu.
0655352928. Apige au atume sms asibip.
NAITWA SELEMANI NAISHI MBAGARA DAR NATAFUTA MARAFIKI WA KUBADILISHANA
MAWAZO KUUSU MIAKA YANGU NINA UMLI.26 NAPENDA MARAFIKI. NAMBA YANGU. 0712274746
Naitwa karoli nipo dar natafuta rafiki wa kike uwe mweupe awe na umbo na mchamungu awe na
umri miaka17 hadi 21, namba zangu ni 0718703103
Naitwa Anifa npo tanga natafuta mchumba mwenye umri wa 20_25 .awe anaish dar mi nna umr wa 19
awe na elim ya 4m4 au kuendelea anitafute kupitia namba 0786212515 .cmc zitajibiwa
MIMI JACKSON MUSHI NATAFUTA MCHUMBA MWANAMKE WA KUOA SIFA,1 AWE
MREFUWA WASTANI, 2 AWE NA SURA YA MAJI YA KUNDE AU MWEUSI KIASI,3 AWE
NA UMBO LANANE,4 AWE HAJAWAHI KUOLEWA AU KUZAA,5 AWE ANAFANYA KAZI
YOYOTEINAYOMWINGIZIA KIPATO,6 AWE NA ELIMU YA FORM FOUR NA KUENDELEA
7 AWE NA HESHIMA KWA WAKUBWA NA WADOGO 8 AWE MWAMINIFU KUPITA
KIASI MIMI NIKO SERIOUS NICHEKI KWA NAMBA HIZO 0769453464
Naitwa anifa npo tanga natafuta mchumba mwenye umri wa 20_25 .awe anaish dar mi nna umr wa 19
awe na elim ya 4m4 au kuendelea anitafute kupitia namba 0786212515 .cmc zitajibiwa
Salam kwa watanzania wote, poleni na majukum ya hapa na pale ya kamaisha
Hitaji langu kuu ni kupata marafiki wa kike (18/24) mm kwa jina naitwa jemus (25) huo ndo umr wangu
sf zake mweupe, anaejua samani ya mtu
mkristo na asitumiye kilevi chochote mwanza ndiko napatikana namba yangu ni 0755107885
mimi ni "AHAMIDU"
naishi "MORO GORO" Natafuta"RAFIKI" sichagui"JINSIA"naitaji mwenye kujitambua
tubadilishane"MAWAZO" karibu kwangu. NAMBA 0787 14 72 14 /0714 59 08 41
Naitwa Adam nipo Dar nina miaka 26 natafuta mpenzi awe na miaka 18 mpaka 20 bila shaka nitampa upendo wa kweli atume mesage kwenye namba 0712 248494
Hello, kwajina naitwa Musa natokea Zanzibar, miaka yangu ni 21. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Wawe na miaka kuanzia 15 - 20. Fursa hii ni kwa waislamu, namba zangu ni 0777867461
Naitwa Hamiyar nipo dar es salaam, mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka kati ya 23 - 25. Natafuta mchumba wa kike, sifa awe mwembamba, mrefu, umbo wastani. Awe na miaka 18 - 22. Namba yangu ya simu ni 0719523330
Naitwa Enjo JF NATOKEA MKOA WA TANGA NINA MIAKA 17, kiumbo smref sana wara smfp sana ni wasaizi ya kati si mnene wa la mwembamba nipo saizi ya kati
kielimu nimeishia kidato cha pili kwa ss hivi nipo veta najifuza upambaji . naitaji marafiki wa kuchati nao
sichagui jisia wala dini wala kabila sichagui mwanafunzi wala asio soma kiumri mwenye miaka kuanzia
18au25
tafadhari siitaji rafiki mwenye matusi naitaji rafiki mturivu .ambae anapenda kubadilishana mawazo ya
kimaish\kielimu\ asiwe mnywapombe wala mvuta bangi .atakaekuwa teyali anitafute .0657056146
Mimi naitwa joseph mhondela-Ng'hm.niko pande za shinyanga.natafta marafik wa kuchati nao,jinsia zote,wakike/kiume ilimladi awe na
fikiranzuli na awe anamjua mungu yaan awe na dini yoyote inayohusu mungu,na asizidi umri wa
mika 25.kwan mi hapa nina miaka 22.akipatikana atumie no 0785539856.ndo atakua nami masaa 24.
WAPENDWA NAITWA PITTA NIPO DAR NATAFUTA MKE WAKUOA JINSIA AWE MKRISTO MWENYE TABIA NZURI NAMBA ANGU NI 0752557577
CHRIS npo ARUSHA umri 26 kaz mjasiriamali, najtokeza kwa mara nyngne kwan bado cjapata mwanamke alye serious kwa kujenga nae maisha hvyo nahtaj mpenz wa kike mwenye sifa zfuatazo:mnene kias mrefu kias,elimu kuanzia form4,awe na kazi halal yakumpatia kpato either kujiajir au kuajiriwa, umri 20-26 usiwe na mtoto pia usiwe mwanafunzi,kwa walio arusha mtapewa vpau
mbele.VGEZO vzngatiwe 2ma msg kwa 0783453143 au 0754675956 msg zote ztajbiwa.
Naitwa Sara muheza Tanga Natafuta mchumba wakuish nae c chagul lang wala kabla alie tayar awasiliane
nam 0719045291 mesej zitajibiwa thnkxy
Naitwa Mlugu wa Dar yombo. 26 ndio umri wangu natafuta rafiki wa kike alietayari kuwa na mm
tuwasilane kwa no.0652323603
Mi naitwa HASHIMU nipo bagamoyo nata futa marafiki wakike wa kuchati nao namba zangu ni 0688838775
Habar jina naitwa EMERIA wa mbeya nina umri 25 nina mtoto mmoja nimeishia form2 mm sio mref wala mfup
nipo kati ninatafta mchumba mwenye mapenz ya kweli mwenye kunijal sio mwongo na awe na umri27-33asiwe
mlev mambo mengine tutaongea namba 0753801714
HI naitwa Prince Daniel toka Mbeya natafuta mchumba kuanzi miaka 18-20 my no 0754495725 or
0712797242.
Naitwa Neema natokea dar es salaam nina umri wa miaka 26 natafuta mchumba wa kunioa awe tiyari kuishi na mimi sibaguhi dini wala kabila Anitafute kuipitia no 0762593839 Sms zitajibiwa
Ili kuweza kutumiwa majina mapya kila mara pasipo mtu mwengine kujua Bofya Hapa>>
Powered by Blogger.
Jumanne, 7 Agosti 2018
Hii Ndiyo Aina ya Wanawake Wanaopendwa Zaidi na Wanaume
Hii Ndiyo Aina ya Wanawake Wanaopendwa Zaidi na Wanaume
Kamgisha blog/ 10 hours ago
Wenye msimamo
Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio.
Wapenda usawa
Aina ya pili inayohitajika katika ulimwengu wa kimahusiano ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu ya kifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenyeuwezo wa kuongoza jamii kwa asilimia 50 kwa 50.
Wanaojua mapenzi
Wanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa ni uwezo wa kutosheleza katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa sita kwa sita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za wanaume bila kujali sifa zao za nje au za ndani.
Marafiki
Wanawake wenye sifa sawa na rafiki ni aina ya nne inayowavutia wanaume. Wao hutegemea zaidi nguvu ya kushawishi inayotokana na namna wanavyojali na kujitolea kuhakikisha wanakuwa marafiki wa kweli kwenye shida na raha kwa wapenzi wao. Si wakorofi, waungwana na wapenda amani.
Wa wazi
Aina nyingine ya wanawake inayowavutia wanaume ni wenye msimamo na uwazi. Si wepesi wa kuburuzwa katika maamuzi ya msingi kwa kisingizio cha wao ni wanawake. Utafiti unaonesha wanawake wa aina hii wamekuwa muhimu hasa kwa wanaume wenye tabia za ubabe na udhaifu katika uelewa wa mambo.
Wanaoweza kujitegemea
Wanawake wanaojitegemea wana soko kubwa kwa wanaume tofauti na akina naomba vocha kila siku. Uchunguzi unaonyesha kuwa wanaume wa leo hawapendi wanawake tegemezi, wasiokuwa na kazi na wanaoendekeza starehe za upande mmoja.
Wasio na presha
Nikisema wanawake wasiokuwa na presha namaanisha wasiolazimisha vitu vitokee haraka haraka. Wao siku zote huacha mambo yatokee yenyewe na kazi yao kuwa ni kutenda sehemu ya majukumu yao kama wapenzi.
Maridadi
Kundi lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia usafi na kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje. Lakini pia ni waelewa wa mazingira, si washamba. Wanapendeza kwa muonekano.
Wanaoridhika
Wanawake ambao huridhika na hali walizonazo ni kivutio kikubwa kwa wanaume, hili ni kundi linalohitajika sana katika ulimwengu wa mahusiano kwa upande wa wanaume ambao maisha ya sasa yamekuwa yakiwageuza kutoka juu kwenda chini au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili tabia ni sifa njema ya mwanamke.
Wa mmoja
Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari kukwepa kila aina ya vishawishitoka kwa wanaume ambao kimtazamo wana vitu vya ziada zaidi ya waliowachagua mwanzo wanahitajika sana. “Niliye naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu mwingine.” Kundi la wanawake wa aina hii ni adimu na muhimu sana.